SONY DSC
Hakuna kurudi nyuma hadi kieleweke! – Zanzibar
30/05/2012, Maoni 21

Salma Said, JUMUIYA ya Mihadhara ya kiislamu (Uamsho) imetoa msimamo mkali dhidi ya Serikali ikisema kuwa haitarudi nyum ...

Picha kutoka blog ya Mapara
Viongozi wakutana kurudisha hali ya utulivu visiwani
29/05/2012, Maoni 30

Salma Said, HALI bado ni tete katika visiwa vya Zanzibar kwa baadhi ya maeneo ambayo vitendo vya uvunjifu wa amani vinae ...

Zanzibar leo hii imejikuta ikirejea kule ilipotoka baada ya matukio ya uvunjifu wa amani kujitokeza kwa mara nyengine tena ambapo wananchi na jeshi la polisi kwa pamoja wamekuwa wakifanya vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu. Vijana wenye hasira wamechoma moto matairi barabarani na kuharibu mali za watu lakini na Polisi nao wamekuwa wakiwakamatwa vijana hao na kuwapiga kwa marungu na mateke jambo ambalo ni kinyume na haki za binaadamu ambapo Tanzania imeridhia azimio la umoja wa mataifa la kuheshimu haki hizo.
Watu wapatao 30 wafikishwa mahakamani
28/05/2012, Maoni 10

Salma Said, JUMLA ya watu 30 wakiwemo wanaodaiwa kuwa viongozi wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanz ...

Taarifa ya SMZ ya matukio ya uvunjifu wa amani
27/05/2012, Maoni 31

Aidha, Serikali iliwasihi viongozi hao kuepuka matumizi ya lugha na vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa amani katika nchi ...

Mtoto huyu ni miongoni mwa Wazanzibar waliohudhuria kongamano la Baraza la Katiba hapo ukumbi wa Bwawani. Hii ni symbol ya ukombozi wa Zanzibar
Uamsho wakanusha kuhusika na uchomaji wa kanisa
27/05/2012, Maoni 28

JUMUIYA YA UAMSHO NA MIHADHARA YA KIISLAMU (JUMIKI) للجنة الدعوة الإسلامية THE ASSOCIATION FOR ISLAM ...

Maelfu wa wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakifanya matembezi ya amani
Matembezi ya amani Zanzibar (habari yote)
26/05/2012, Maoni 13

Maelfu wa wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) ...