MAGUFULI
 //   //  30/09/2015  //  Maoni 1

Magufuli anakimbia chama chake au chama kinamkimbia ?

KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho unachokiita ukweli, lakini ambacho kinaweza kuwa mbali kabisa na […]

Mtoto Nassra akiwa pamoja na Mama yake na Mwandishi alieandika makala kueleza tatizo la mtoto huyu wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa Zanzibar muda mchache kabla ya kuondoka kuelekea India.
 //   //  29/09/2015  //  Maoni 6

Nassra safari India kwa matibabu

Alhamdulilah,nineno la shukrani ambalo mja humshukuru Mola wake kwa kila jambo.Kwa upande wangu nimeamua kutumia neno hili leo baada ya kufanikiwa kile ambacho kilikuwa kimenikaa rohoni juu ya mtoto huyu pichani (Nassra)anaesumbuliwa na mguu tangia akiwa […]

pic+maalim-seif
 //   //  27/09/2015  //  Maoni 1

M.Seif na turufu ya Urais

Na Jabir Idrissa RAIS anayesaka ridhaa ya kuendelea kuongoza, Dk. Ali Mohamed Shein, anatumia jukwaa la kampeni kutetea mapinduzi ya Januari 12, 1964, kama vile kuna ubishani kwamba mapinduzi yale ni halali au haramu. Kwa hakika, […]

maalim1
 //   //  23/09/2015  //  Maoni 16

Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha wananchi-CUF- Maalim Seif Sharrif Hamad amesisitiza kuwa anahitaji siku 100 tu kwa Zanzibar kuwa na mamlaka yake kuhusu sera na uchimbaji wa mafuta kisiwani humo. Maalim ametoa msimao huo […]

maalim-ilani
 //   //  21/09/2015  //  Maoni 2

Ufunguzi wa ilani ya CUF Zanzibar

Zanzibar. Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar kimezindua ilani yake inayoainisha vipaumbele 35 ambavyo kitavifanyia kazi chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa iwapo kitashinda Oktoba 25. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ilani […]