Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, amevitaka vyombo vya ulinzi nchini kusimamia vyema majukumu yake ili kuhakikisha kuwa bahari na mipaka ya nchi inakuwa salama. Amesema Zanzibar ikiwa nchi ya visiwa, …
TANGAZO! Haya haya wazanzibari! Kumekucha! La mgambo likilia kuna jambo! Kamati ya Maridhiano inawatangazia wapenzi wazanzibari wote, kike kwa kiume, wapenda nchi yao kwa jumla kuhudhuria kwa wingi katika kongamano kubwa la aina yake litakalofanyika siku …
Asalam Alaikum, Ndugu Waislam, munaombwa kufungua account isiyoliwa na wadudu wala kufilisika kwa kuchangia ujenzi wa msikiti ulioko huko Ijitimai Fuoni. Eneo hili limekuwa na uhaba wa nafasi yakusalia baada ya kijisikiti chao kidogo kilichojengwa kwa …
NA MWINYI SADALLAH 10th May 2013 Nyaraka za barua za mawasiliano kuhusu maendeleo ya jalada la kesi ya mauaji ya Padri Evarist Mushi inayomkabili Omar Mussa Makame, zimevuja baada ya wakili anayemtetea mtuhumiwa huyo kuziwasilisha mahakamani …
Wanasheria wa Serikali za Muungano (SMT) na Mapinduzi Zanzibar (SMZ) pamoja na wataalamu wa nishati wameanza majadiliano kuuwezesha kila upande kutafuta na kuchimba gesi asilia na mafuta yake. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –Muungano Samia …