NYUMBA INAUZWA
Written by Gombani // 11/12/2012 // Matangazo // 4 Comments
Asalam alaykum,ndugu zangu niko na nyuba ya vyumba 4 nauza,Pia ina kiwanje cha ziada cha nyumba nyengine, Ambamo muna minazi 5 , mitomoko 2 ,mi avocado 2 , mdalasini 1 ,mtufaa 1 nk. Nyumba iko Bu3 silver kwa maelezo piga no hii +447448808859.asanteni





4 Comments on "NYUMBA INAUZWA"
Huuuzi nyumba wewe haya maelezo gani ? tuwekee maelezo yakutosha , kisha utuwekee na picha tuone nyumba ilivo nje na ndali
watuletea porojo hili ndo vipi hivi
wewe banda mbona unakuwa sio mstaarabu mfhaamishe vizuri mwenzio sio kutoa kugha za jeuri kiburi na matusi wewe umejuwaje kama hauzi nyumba tuwe wastaarabu wabillahi taufik
MOHAMED -KOLASH FUONI – NI VIZURI ULIVYOTAJA ILA MBONA NAMBA ULIZOWEKA NI ZA UENGEREZA NA WAKATI NYUMBA IPO BUBUBU? TUWEKEE NAMBA ZA TZ ILI TUNUNUE
mas,nikweli unavyosema lakini,sina mtu dhamana kwa znz ila ukinipigia nitakupa data na mtu wa kumfata ila no yake siwezi kuiweka humu,lakini ikiwa uko serious nipigie japo miss call,baadae nitakupigia,asante sh.mohamed.