Trackers kwa wenye hofu ya kutekwa

Written by  //  10/04/2017  //  Makala/Tahariri  //  Maoni 5

Asalama aleykum,
Nimeamua mwezi wa June nije Zanzibar nataka nizilete Trackers nyingi ili niwauzie watu. Ni chombo kidogo tu ambacho kina GPS, na mtu yoyote utakayempa Data zako anaweza kwa kutumia Smartphone kukutrack na kujua uko wapi mpaka Nyumba uliyofichwa mtu ataijuwa
Kwa wanaotaka Bei itakuwa kwenye 80000Tsh
ba2487d5eaf4e0c798d15d501c9adcec

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 5 katika "Trackers kwa wenye hofu ya kutekwa"

 1. Mwinyi Mkuu 10/04/2017 kwa 7:52 um ·

  Don’t waste your money, wanaoteka watu ni usalama wa taifa, they know exactly what they are doing. Gari zao nyumba zao maficho wanayowapelaka kumejaa GPS signal blocker thats cost only $5 from China

 2. Fuad Suleiman 11/04/2017 kwa 1:49 mu ·

  Mie naitaka vipi nitaipata

 3. Calif 11/04/2017 kwa 5:41 mu ·

  Azilete tu ila atafute zenye feature ya Anti-signal blocker and identity hide or disguise.
  Hii itasaidia sana ktk ku thwart mbinu chafu za utekaji

 4. Piga nikupige 11/04/2017 kwa 11:38 mu ·

  Labda hicho kifaa kimezwe tumboni ila kwa watu hawa kazi ipo.

 5. Fuad Suleiman 12/04/2017 kwa 4:48 um ·

  Kinapatikana hapa oman

Comments are now closed for this article.