Uchambuzi,tahariri au makala, lakini sio habari mara nyingi ni maoni ya mwandishi au hisia ya mwandishi.

CCM-Mtenda Akitendewa Hujiona Kaonewa Eh?
22/11/2015, Maoni 4

Mtenda akitendewa By Farell Jnr Foum Wakati wa ufungwaji wa Baraza La Wawakilishi tarehe 13 August 2015, mualiko wa Maka ...

CCM BARA ISITUFANYE MABWEGE KIASI HIKI: UKWELI NI HUU…!
19/11/2015, Maoni 8

Na: Mwandishi wetu Katika mwaka tulioshuhudia maajabu Na kikomo cha ujinga, undava Na ubaya WA watawala wetu WA kuumeni, ...

Jee Shein Rais Halali ?
19/11/2015, Maoni 9

Jee Shein Rais Halali ? Kumekua na maoni tofauti kuhusu Kuendelea kwa Urasi wa Shein na Uhalali wake. Mwana sheria mkuu ...

Tathmini ya uchaguzi/uchafuzi na viburi mauti.”sehemu ya kwanza”
19/11/2015, Maoni 14

Kwanza nianze kwa kuwataka radhi waungwana wote hapa barzani kwa kuadimika kwangu au kukaa kimya kirefu japokuwa niliuto ...

NIONAVYO: KUNA DALILI YA CUF KUUTIA ULIMI PUANI!
18/11/2015, Maoni 20

Na: Mwandishi wetu Wenye hekima zao waliwahi kusema; ‘Kimya kingi kina mshindo mkubwa!’ Sadakta. Kwa muda usiokuwa m ...

Makamu wa Kwanza azua balaa CCM
16/11/2015, Maoni 3

Na Jabir Idrissa, Zanzibar WAKATI wananchi hawajui hasa kinachojadiliwa kwenye vikao vya viongozi wakubwa wakiwemo wasta ...

Nyote simama, kaza mguu amkia CCM!
15/11/2015, Maoni 3

“Nyote simama, kaza mguu, amkia mwalimu. Shikamoo mwalimu…”Wale wa rika langu waliopitia skuli za Zanzibar watakum ...