Uchambuzi,tahariri au makala, lakini sio habari mara nyingi ni maoni ya mwandishi au hisia ya mwandishi.

Hii  ndio CCM inayosemesha namba .       Ikiwa mikutano imezuwiwa  leo ipo uwanjani. Ikiwa hakuruhusiwi matembezi leo bendi ipo barabarani
Maalim anamaanisha kuifuta CCM
02/03/2017, Maoni 4

Jabir Idrissa, KAULI ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad kuazimia kukifuta Chama Cha M ...

Micheweni ilivyoweza kunufaika na utalii
27/02/2017, Maoni 2

Na Abdi Suleiman, PEMBA. PEMBA peremba ndivyo baadhi ya watu wanavyopenda kuita, Pemba ya miaka 50 iliyopita ya Kikoloni ...

Makabidhiano ya ripoti ya uchaguzi mkuu Zanzibar kati ya Jecha Salim Jecha (kushoto) na Dk. Ali Mohamed Shein, yaliyofanyika 9 Februari 2017 Ikulu ya Zanzibar. Anayeangalia pembeni, ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Zanzibar, Salum Kassim Ali. (Picha ya Ikulu).
Roho zao zitazidi kudamirika
24/02/2017, Maoni 6

Na Jabir Idrissa, INGAWA sijaipata nakala ya ripoti ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar ambayo tayari ilikabidhiwa kwa Dk. Ali ...

$_1 (1)
Umasikini maradhi yaliyotengenezwa
24/02/2017, Comments Off on Umasikini maradhi yaliyotengenezwa

Na Juma Duni Haji, SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetafsiri neno “umasikini” kama moja ya maradhi sugu yanayosababi ...

Dk. Mwakyembe jirudi
24/02/2017, Comments Off on Dk. Mwakyembe jirudi

Na Jabir Idrissa, TUNASHUHUDIA hali isiyoeleweka kuhusu namna Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe anavyot ...

WAZANZIBARI WANA AGENDA INAYOFAHAMIKA PROPAGANDA HAITO WAPARAGANISHA
24/02/2017, Maoni 1

MWL I.R.MCHINJITA Moja kati ya tofauti kubwa iliyopo baina ya mazingira ya kisiasa ya Zanzibar na Tanganyika ni kuwapo k ...

IBRAHIM NOOR: MSANII ANAYEUTETEA USWAHILI
18/02/2017, Maoni 2

FEB 16, 2017 by AHMED RAJAB PROFESA Ibrahim Noor Sharif Albakry ni msomi, msanii, na mwandishi mwenye sifa nyingi. Wengi ...