Uchambuzi,tahariri au makala, lakini sio habari mara nyingi ni maoni ya mwandishi au hisia ya mwandishi.

Kukuru-kakara madongo poromoka tutafika
20/06/2015, Maoni 1

Na Rashid Abdallah Man Krishna Namadas pia alijuulikana kama Mohan Kishore aliiishi katika mji wa Mymensingh mji ambao k ...

rajab
TAABINI: Salim Mzee, “mzee wa calypso” 1916-2015
19/06/2015, Maoni 1

Ahmed Rajab Toleo la 410 17 Jun 2015 WENGINE wakimwita “Maalim Salim”, wengi wakimwita “Sheikh Salim” na wakisik ...

Kama JK angekuwa Kim mafisadi tungezika
16/06/2015, Maoni 1

Na Rashid Abdallah Miezi kadhaa nyuma nilipatwa na huruma juu ya Waziri wa Ulinzi wa Korea ya Kaskazini, ambaye alihukum ...

MZIMU WA ‘HABANASI’ UNAVYOITAFUNA NA KUIKWAMISHA CUF
15/06/2015, Maoni 5

Na: Mwandishi Maalum: Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Wingwi na mjumbe wa Baraza la Mapinduzi 1970s -1990s, Al-Mar’hu ...

zantel
MWIZI WA ZANTEL, UKIMYA WA SERIKALI NA DHARAU ZA TCCRA
14/06/2015, Maoni 17

Na: Mwandishi Maalum Kama kuna mtu duniani, ukitoa Mzanzibari, asiyejua maisha waishiyo wanyama msituni, basi amuombe Mu ...

CCM walivyoigeuza Z’bar kuwa Ghetto
12/06/2015, Maoni 1

Na Rashid Abdallah Siku moja, mmoja wa rafiki zangu anayependa kunitania alinambia “kama sio ujinga wa nzi basi angeku ...

Samia Suluhu(2)
Mama Samia anapotetea ufisadi uchaguzini
07/06/2015, Maoni 11

Na Jabir Idrissa UTHIBITISHO umekuja hadharani. Ndani ya Bunge tukufu la jamhuri, kiongozi mwandamizi wa CCM anataka CUF ...