Uchambuzi,tahariri au makala, lakini sio habari mara nyingi ni maoni ya mwandishi au hisia ya mwandishi.

Mtihani mwingine Zanzibar
22/02/2012, Maoni 10

Na Salim Said Salim MAMIA ya vijana wa Zanzibar waliofanya mtihani wa kidato cha nne wanakabiliwa na mtihani mwingine, t ...

Wazee wahoji uwiano ndani ya bodi ya mitihani
22/02/2012, Maoni 1

SUK yatakiwa kuchukua na sio kulaza shingu Wataka suala la elimu liwemo katika ajenda za mjadala wa katiba Na Ally Saleh ...

Wananchi wa Uzini wainusuri CCM
16/02/2012, Maoni 2

Jabir Idrissa, WANANCHI wa jimbo la Uzini wamekinusuru chama wakipendacho – Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya an ...

Hoja kutoka Zanzibar – Sheria na utawala bora
15/02/2012, Maoni 1

Na Ally Saleh, Wiki iliyopita Zanzibar iliiadhimisha Siku ya Sheria ambayo sasa imeanza kuwa kalenda muhimu katika rubaa ...

Chadema
Chadema’s Assault on Zanzibaris
10/02/2012, Maoni 6

I was keeping abreast with the latest developments in Tanzania by reading online content of the Mwanahalisi newspaper an ...

Wazanzibari Munasikia?.. “AGENTINA ” Wanapeleka KESI Kuishitaki UK
10/02/2012, Maoni 8

SMZ GNU inatakiwa Ichukue hatua za haraka sana kuhusu kazia ya Tanganyika kuomba Ongezeko la Bahari. Mh. Jussa amefanya ...

Jinsi Nyerere alivyomtia hofu Karume
10/02/2012, Maoni 7

Ahmed Rajab KUFIKIA mwanzoni mwa mwezi wa Aprili mwaka 1964, kama miezi mitatu baada ya Mapinduzi ya Zanzibar, mambo Vis ...