Uchambuzi,tahariri au makala, lakini sio habari mara nyingi ni maoni ya mwandishi au hisia ya mwandishi.

Wahujumu uchumi walianza zamani Zanzibar
19/03/2012, Maoni 1

Jabir Idrissa, MTU mmoja ameniambia, “Unaandika kimafumbo ilhali unajua nani wanaiibia nchi na nani wanafuja rasli ...

Wakati umefika wa kuwa na ‘Mkataba wa Kijamii’ Zanzibar
16/03/2012, Maoni 2

Ahmed Rajab “MWANADAMU amezaliwa huru lakini kote duniani ametiwa minyonyoro,” nimeyanukuu hayo kutoka katika maandi ...

Mada: Chanzo na Sababu za Kero za Muungano
13/03/2012, Maoni 2

Katika Hati ya Muungano, kitu kilichofanyika ni kwamba, jina la Serikali ya Tanganyika likabadilishwa na kupewa jina la ...

SUK ng’oa walarushwa, wanahujumu uchumi
11/03/2012, Maoni 5

Jabir Iddrisa, UKICHUNGUZA kwa undani mwenendo wa mambo kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, utagundua rush ...

IMG_3085
Maalim Idriss hatunaye tena
10/03/2012, Maoni 2

Na Mohammed Omar (Juda) Maalim Mohammed Idriss Saleh Comorian amefariki akiwa na umri wa miaka 78. Innalillah wainnailai ...

Zanzibar bila ubaguzi inawezekana ?
07/03/2012, Maoni 7

Ali Saleh, Zanzibar Leo nataka nizungumzie kuhusu suala la ubaguzi ambalo limekuwa tatizo sugu hapa Zanzibar na zaidi ub ...

Watoto wa Kizanzibari muhimu walindwe
07/03/2012, Maoni 4

Jabir Idrissa, SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar inayoendeshwa kwa mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imepiga hatu ...