21 January 1964: A last moment of glory for the Sultan?

Written by  //  15/01/2014  //  Makala/Tahariri  //  Maoni 14

From the archive, 21 January 1964: A last moment of glory for the Sultan?
Originally published in the Guardian on 21 January 1964

The Guardian, Saturday 21 January 2012

Sultan Seyyid of Zanzibar arrived at St Pancras Station, London, from Manchester yesterday afternoon for what was perhaps a last moment of glory in his public career. The photographers were there with lights and cameras, the reporters with their notebooks, the police with their strong arms, the stationmaster with his top hat, and the Duke of Devonshire with a welcoming handshake on behalf of the Commonwealth Relations Office.

But there also were familiar attendants of disaster – the Red Cross ladies with bundles of old clothes for “kitting out” cold, impoverished refugees, and the Zanzibar Ambassador to Egypt, who had flown to London especially to meet the Sultan and was distributing copies of a petition he had sent to the United Nations Commission on Human Rights asking for “immediate interference to stop the widespread massacres in Zanzibar” and “nonrecognition of this new anarchist regime” there.

The Sultan, his wife, his mother, his five children and 52 other refugees of all ages, stepped from two reserved carriages with no more luggage than a few brown paper parcels, and were driven to the St James’s Court Hotel, round the corner from Buckingham Palace. It was barely a week since they had left the sunshine of Zanzibar.

A CRO spokesman said that there were no plans at the moment for the Sultan to meet any British Ministers, but no doubt there would have to be talks soon with the Sultan’s representatives on how best to wind up the British Government’s obligations to the Sultan – with a word on the final bill for the chartered aircraft from Dar-es-Salaam, the train from Manchester to London, and the accommodation at the hotel, all being paid so far by the British Government.

Before leaving Manchester, where his aircraft had been forced to land because of fog at London Airport on Sunday, the Sultan said he was sorry to hear of the trouble in Tanganyika and hoped the reports were not true. He emphasised his appreciation of British hospitality and said he hoped to stay in Britain for the time being.

Mr A S Kharusi, private secretary to the Sultan, denied that the Sultan had come to England for financial aid. He wanted only British hospitality; friendship from old friends.

[Sultan Seyyid was the last Sultan of Zanzibar, with the Sultanate being overthrown by revolution in 1964. Zanzibar later merged with Tanganyika to become Tanzania.]

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 14 katika "21 January 1964: A last moment of glory for the Sultan?"

 1. asas 15/01/2014 kwa 8:00 um ·

  NOW WE HAVE NEW SULTAN AND VIBARAKA WAKE.BUT THIS SULTAN IS BLACK AND IS HIDING FOR KAULI MBIU YA MAPINDUZI DAIMA AND MUUNGANO DAIMA.

 2. sam islam 15/01/2014 kwa 8:12 um ·

  Asalam alykum.
  Niliwahi kubahatika tarehe 11/1/2014 kusikiliza mahojiano ya moja kwa moja ya DW kuhusu Historia ya Zanzibar ya Mapinduzi, walioshiriki mahojiano yale walikua ni washiriki wahayo mapinduzi ya 1964, nilisikia mengi ambay sikuwahikuyasikia na nilitamani niyasikie na nikayasikia.
  Nilichogundua pale baada ya Zanzibar kupewa uhuru 1963 kupitia uchaguzi kilichofanyika hapo ni kilikilicho tokea LIBYA, IRAQ, MISRY ambopo kwa sasa amani ni tunu kwao, yote hayo ni kwasababu ya Madaraka!.

  Tulikosa amani, haki, usawa, umoja, mapenzi baina ya waZanzibar kwa waZanzibar, maendeleo, nakujazwa chuk, fitna, ubaguzi, ndio hadi tumefikia hap bila ya kuelewana wala kusikilizana wenyewe kwa wenyewe, ile misingi imara ya maendeleo ilisha zikwa tokea 1963, kwa kisingizio cha ukoloni ambao tuliupaka rangi nyengine hadi sasa tunao tunautumikia.

  Sinabudi kusema ‘Zanznibar ni nchi pekee duniani iliyokosa uhuru baada ya kuutupa uhuru’.

 3. BIN ALAWI 16/01/2014 kwa 1:09 mu ·

  AH!MASKINI ZA MUNGU BABU ZETU WALIVYOTUHARIBIA NCHI KWA KUENDEKEZA UKABILA,LAITI KAMA WALINGALIKUA KITU KIMOJA BILA YA KUJALI UARABU,USHIRAZI,UAFRICA WAO N.K MAADUI WAS NGELIWEZA KUWAINGIA NA KUTUFIKISHA HAPA TULIPO LEO.LAKINI WAPI !WAHENGA WALISHA SEMA “ASIESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU”,”ASIEFUNZWA NA MAMAE HUFUNZWA NA ULIMWENGU”,”SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA”……
  KWA WALE WALIOKUA MADARAKANI VIPI WALIJIAMINI KUIONGOZA SEREKALI AMBAYO KIUKWELI ILKUWA NA RIDHAA YA WAPIGA KURA 46% NA KUWAACHA WENZAO ASILIMIA 54%WAKIWA HAWAJARIDHIKA NA HILO BILA YA HATA KUHOFU?,KWA NINI HAWAKUFIKIRIA KUEKA MBALI UTUKUFU WAO NA KUFANYA SEREKALI YA UMOJA WA KITAIFA ?
  NCHI YETU ILIKUA NA MAKUNDI TOFAUTI YA KIJAMII,NA KILA MOJA LINA SILKA ZAKE KTK MASUALA FULANI YAKIWEMO YA MIFIMOYA KIUTAWALA.KWA NINI KUNDI LILILOKUWA NA 46% KULAZIMISHA WATU WOTE KUWAFUATA WAO KWA KUWAEKEA MFUMO WA KIFALME UNAOTOKANA NA SILKA ZAO PEKE YAO NA KUPUUZA ZA WENGI(54%)?KAMA WAO WANGEPUUZWA NAMNA HII WANGALIRIDHIKA?KWA WAKATI HUO ZANZIBAR ILIKUA NA 100% YA WAISLAMU,IKIWA HAWAKUPENDEZWA NA MIFUMO MENGINE YA KIUTAWALA KWANINI BASI WASINGELIAMUA KUFUATA MFUMO WA KIKHALIFA AMBAO USILITENGA KUNDI LOLOTE MAANA UKHALIFA HAURITHIWI KAMA UFALME NA WALA HAUTEGEMEI MTU/KIONGOZI ATOKE UKOO AU KABILA FULANI?
  KWA NINI MBALI NA UBAGUZI WALIOWAFANYIA WENZAO WALIO WENGI BASI WAKASHINDWA HATA KUJIWEKA TAYARI KIULINZI KWA LOLOTE LITALOTOKEA?KWA NINI WANAJESHI WAKIGENI AMBAO NDIO WALIOKUA WAKIHUDUMU KTK JESHI LETU WASIWAONDOE HARAKA NA KUWAREJESHA MAKWAO MAAANA NDIO HAWA WALIOFANYA KAZI YA KUTEKA MABWALO YA SILAHA NA KURAHISISHA MAUAJI?HIVI WAZEE WETU AMBAO WALIKUA VIJANA WABICHI WAKIPARAMIA MINAZI NA MIKARAFUU KUANZIA NCHA YA KASIKAZINI PEMBA HADI KUSINI UNGUJA HAWAKUA NA UZALENDO WA KUINGIZWA KTK JESHI KWA DHARURA NA KUILINDA NCHI YA AU MPAKA WATAFUTWE WALE WANAOFANANA NA MTUKUFU MFALME MBAO WENGI WAO WALIKU WAMEJAA KIBURI CHA UTUKUFU NA KUTOTAKA KUFANYA KAZI ZISIZOFANANA NA HADHI ZAO ZA KIFALME?KWELI MUDA ULIKUWA NI MFUPI LAKINI KWA HALI ILVYOKUA NI YA DHARURA,HAIWI LEO HII TUNASHUHUDIA BAADHI YA NCHI HUTOKEKEA WATU KUKUSANYANYA VIJANA WASIO NA HATA UELEWA MKUBWA SANA WA MAMBO YA KIVITA TENA KWA MUDA MFUPI NA KUZIPOROMOA SEREKALI ZAO.
  KWA UPANDE WA WALE WALIOTENGWA KWA NINI WALICHAGUA NJIA YA KUMWAGA DAMU KUTATUA TATIZO?NA HASA KILICHOHARIBU ZAIDI NI KILE CHA KUWASHIRIKISHA WATU KUTOKA NJE YA ZANZIBAR AMBAO WALIFANYA MAAFA YAWE MAKUBWA ZAIDI,HAWA HAWAKUA NA KIPIMO NA WANACHOKIFANYA MAANA AMA KILIKUA NIMIONGONI MWA YALE WALIOAGIZWA NA WALIOWATUMA AU KUTOKUA NA HISIA ZA UCHUNGU NA KISISI.NAAMINI MAPINDUZI YANGEFANYWA NA WENYEWE WAZAWA BASI MAAFA YAKE YASINGELIZIDI ZAIDI YA YALE YA USIKU WA 11/1/1964 AMBAYO YALIACHA WAHANGA WASIOZIDI MIA KADHAA NA WENGI NI MIONGONI MWA WAPIGANAJI.
  PIA KWA NINI WAKAAMUA KUTUMALIZIA URITHI WA VISIWA VYETU KWA KUTUMEZESHA KWA WATANYIKA HUKU WAKITUDANGANYA KWA KUSEMA NI MATOKEO YA NADHARIA YA UMAJUMUI WA AFRICA,MBONA HADI LEO MIAKA 50 HAKUNA WENGINE WALIOTUUNGA MKONO?AU SISI TU NDIO WAAFRIKA?
  KWA NINI BAADA YA MAPINDUZI WALIAMU KUANGAMIZANA WENYEWE KWA WENYEWE BADALA YA KUKAA PAMOJA NA KUTULETEA MAENDELEO WALIYOYATAZAMIA KUYALETA?
  KWA KWELI WAZEE WETU WA PANDE ZOTE(WALIOBAGULIWA NA WALIWABAGUA WENZAO KTK UONGOZI WA NCHI)HAWAWEZI KUEPUKA LAWAMA KWA KUTUFIKISHA HAPA TULIPO,CHA MSINGI KWA KIJANA WA LEO LAZIMA AJUE KWAMBA KUMEZESHWA NADHARIA NA PROPAGANDA KUTOTA KWA YEYOTE KUTOKA PANDE HIZI NI KUZIDI KUIFANYA HALI IWE NGUMU.WAPO WANAOTAMANI KUYAREJESHA YALE YALIWAFANYA WATU WAMWAGE DAMU BILA KUJUA KUWA HATA WAKIFANIKIWA KUFANYA HIVYO BASI KITACHOFUATA NI KUJIREJEA KWA MAAFA KAMA YALE AMA KULIKO YALE YA AWALI.HATUNA BUDI VIJANA KUKIELEWA VYEMA WALICHIKOSEA WAZEE WETU NA TUKAE PAMOJA KUJIPAPATUA NA KUANZA ENZI MPYA LA SIHIVYO HISTORIA ITAKUA IKIJIREJEA KILA BAADA YA MIAKA 50 AU 100.
  “KOSA SI KOSA BALI KOSA NIKUREJEA KOSA”

  • Ashakh (Kiongozi) 16/01/2014 kwa 7:00 mu ·

   Ile skuli yenu kaombeni ibadilishwe jina iitwe OTHMAN SHARIF SECONDARY SCHOOL

 4. Ashakh (Kiongozi) 16/01/2014 kwa 6:51 mu ·

  Bin Alawi

  Siwatetei mababu zetu lakini kuna hoja nyengine M/Mungu hukuekea kioo nawe kujiangalia. Kama hivi:

  1. Kwani hivi sasa wanaoongoza si wale waliopata 34%, na wale waliopata 66% wamenyimwa.

  2. Serikali ya umoja mbona kwenye historia suala hilo lilikuweko. Ndio kisa cha Othman Sharif kufikwa na yaliyomfika. Mbona wote walikwenda Lancaster House kudai uhuru. Amma kwa upande mwengine hawa wa sasa si nijuzi ndio imekuja SUK. Vipi kuhusu miaka 15 iliyopita na watu kufika kuuliwa.

  3. Suala la Ufalme, kwani Uganda hauko ufalme, Lesotho, Swaziland, Nigeria. Hizo ni nchi za kiafrika. Lakini ukija nchi nyingi za Europe ni ufalme. Nchi za Kiarabu zile zenye urais basi ni mithili ya ufalme. Tatizo liko wapi kwa Zanzibar kuwa chini ya utawala wa ufalme.

  4. Kuhusu Makundi ukitaka ufahamu zaidi nenda kuisome Mauritius, uone makundi yaliyoko na visiwa vilivyoko na wote wako wamoja.

  5. Kilichowaponza Zanzibar ni ule ukaribu wake na Bara. Ni kilomita 50 tu kushafika Bara, na kwa Mombasa ndio hivyo tena. Laiti Zanzibar ingekuwa chini ya Bahari ya Hindi hizo fitna zote zingeepukika.

 5. rasmi 16/01/2014 kwa 10:45 mu ·

  @Ashakh,

  Mimi nitaigusia hoja yako namba 3 iliyouliza tatizo liko wapi kwa Zanzibar kutawaliwa na Ufalme. Hisia yangu ni kwamba tatizo lipo kwenye ridhaa ya hao watawaliwa kuwa wameridhia huo utawala wa kifalme.

  Naomba niulize suala ambalo wengi hulikwepa katika kuliuliza. Hivi tunaambiwa kwamba wazee wetu wakiwemo wa ZNP na ASP na ZPPP walienda kudai ‘UHURU’ Uingereza. lakini kwa nini hatujiulizi kwamba Uhuru huu walioudai walidai uwe katika mfumo gani wa Utawala, Je walidai wapewe Uhuru lakini uwe chini ya utawala uliokuwepo kabla mfano wa utawala wa kama hao Waingereza ama walidai Uhuru wawe na Republic?

  Nakusudia kuuliza kwamba akina Mzee Abeid Amani Karume nao walidai Uhuru kwa ajili ya kubakisha utawala wa kifalme wa kabla ama walitaka Uhuru kwa kuanza upya? Ikiwa ilikuwa hakuna ridhaa hiyo ni vipi ilipita pita baada ya Uhuru hata Serikali ikaja ikawa iko chini ya Serikali ya Ufalme? yaani Constitutional Monarchy.

  Naomba ufafanuzi…

 6. rasmi 16/01/2014 kwa 11:10 mu ·

  Lengine Ashakh ambalo nimesahau kulianisha uliposhangaa kwamba hata Uganda na Nigeria kua na Ufalme. Nafikiri unaelewa kwamba Ufalme wa nchi hizo ni wa tawala za kijadi na hauhusiki na Serikali, nchi hizo ni republics na zina maraisi na serikali zake, tawala zipo na zinaheshimika na kuruhusika na watu wake ila hazihusiki katika masuala ya uendeshaji wa nchi.

 7. jaluo 16/01/2014 kwa 2:03 um ·

  Kwani tatizo ufalme?
  Mbona wazanzibari wengi tu kwa maana ya wengi wamekwenda kwa ridhaa zao kuishi katika nchi za kifalme?
  kuanzia uarabuni,scandinavia,ulaya australia mbona sio wengi waliokimbilia russia au nchi kama hizo kidogo pia wapo marekani pia uoande wapili wa marekani yaani canada iko chini ya malkia
  Kwanini hao wapinga ufalme wakaweke pesa zao kwenye mabenki ya nchi za kifalme wasiweke kwao zikasaidia kuinua uchumi wa nchi zao
  Kwa nini wakiumwa wakatibiwe na madaktari wanaofanya kazi chini ya kiapo cha her majesty?
  Watafiti naomba wafanyie research mambo hayo ndiyo tujuwe tatizo liko wapi maana siasa haisemi ukweli

 8. MAWENI 19/01/2014 kwa 9:18 um ·

  January 12, 1964 was the end of Zanzibar glory. It took the first step toword becoming the a colony Again . This time Tanganyika’s colony or precisely a Zanaki colony. And the church. The move was culminated 22 April 1964.
  Imebatizwa na kuitwa Tanzania visiwani.
  Propaganda nyingi ime fanwa na mpaka leo; kuwa ASP ilikuwa na wapiga kura wengi zaidi. Na kuwa walipata kura 54% uchaguzi wa mwisho kabla ya uhuru. Nikwa kuwa watu wakipiganiya viti kwenye parliament. Sio wigi wa kura kushinda Urais. Walileta watu wengi kutoka Tanganyika na hata wengine kula kiapo kuwa ni watoto wao au jirani zao wako kwa siku nyingi. Na waengereza wakiwasadida katika udanganyifu huo. Na sikuhizi hayo bado yana endelea Wakoloni wetu wa Tanganyika wamechukuwa pahala pa Mgereza.
  Tukirudi nyuma tena 1963 huko lancaster house (uk) ambako wa akilishi wa vyama vya siasa Zanzibar walikutna kwa pamoja kwa ajili ya katiba ya Zanzubar huru.Na vilevile kupewa tareikh ya Uhuru kutoka kwa mkoloni Muingereza.Vyama vya ZNP NA ZPP, WALITOWA USHAURI KWA ASP KUWA WAUNDE SIRIKALI YA PAMOJA . NA ASP IWE NA VETO POWER KWA JAMBO LOLOTE LITALO AMULIWA NA SIKALI IKIWA W AO WANAONA KWA HOJA ZAO NZITO HALINA MASLA HI KWAO.KARUME AKA AHIDI ATAJIBU USHAURI HUWO.
  HAIKUPITA MASAA ISHIRINI NANNE, 24hrs. Karume akaenda kwenye hoteli walio fikia deligation ya ZNP NA ZPP. HATA HAKUTAKA KUINGIYA KWENYE UKUMBI WA VYUMBA WALIO FIKIA . ALI SIMAMA MLANGONI AKAWAMBIYA KUWA ” fikra zenu nzuri lakini hatutaki” . Jamaa wote hapo wali duwaaa
  Baadae ikaja juilikana kwamba Karume alimpigiya Simu Thabit kombo kumueleza. Thabit kombo kampigiya simu Nyerere kumshauri. Nyerere akamuambia msikukubali. ( Nyerere alikuwa ameshandaa mavamizi yake ya Zanzibar).
  Turejee kwenye systerm ya uchaguzi ambayo Muingereza ndio aliyo iweka kwenye kolo zake nyingi. Kama ile ya Uingereza. Na kwetu tulikuwa parlimentary Dimocracy sio presidential.
  Ikiwa tuna taka kujifunza kutokana Historia yetu, basi mfumo uno tufaa kwa chgauzi zetu za bunge la Zanzibar na sirikali basi ni – PROPORTIONAL REPRESENTATION.
  Jambo hilo lita wezekana ikiwa tuta piganiya kurejesha Dola yetu ya Zanzibar ilo huru na yenye mamlaka yake kamili, nje na ndani.

  ZANZIBAR KWANZA!

 9. Omar Ali 21/01/2014 kwa 3:06 mu ·

  UTAWALA WA KISULTANI HAUKUSTAHIKI KUBAKIA ZANZIBAR

  Kwa hakika inasikitisha kuona kuwa mpaka leo mwaka 2014 kuna watu Zanzibar wasiofahamu, wasiojifahamu wala kuifahamu nchi yao! Mfalme Seyyid Jemshid alikuwa ni mtawala aliyekuwa akiitawala Zanzibar kuendeleza Utawala wa mamabu zake, hili halina shaka, laiti Utawala wa Mababu zake ungetaka au kuwa na nia safi na Zanzibar kusengelitokea Mapinduzi Zanzibar; lakini madhila, dhulma, Ubaguzi na kuachwa Nyuma kimaendeleo ndiko kulikoibuwa mwamko mpya wa hisia na kuchemsha azma ya kutaka kujitawala.

  Kabla ya Mapinduzi ya Zanzibar Serikali ilikuwa na fedha nyingi lakini haikufikiria hata mara moja kuwajengea wajonge Nyumba za kukaa, bali walitosheka kuwa wao wako Mji Mkongwe na wananvhi walio wengi wako Jang’ombe, Muembe Makumbi, Mashamba na Kiembe Samaki na hawaji mjini isipkuwa kuuza Mkaa, au kukokota Marikamwa kuingia Shangani, Mkunazini, na Forodhani au Hurumzi!! Siku hizo ndugu zangu Watumbatu na wanaotoka Mashamba walikuwa hawaingii mji Mkongwe isipokuwa kwa Dharura, tabaka zilitengenezwa, hawa leo wanaosema kuwa hkukuwa na Ubaguzi labda ni watoto wa hao waliokuwa wakipewa makombo ya Mabwana zao, hawa walikuwa watumwa waliofugwa ndani ya nyumba za Ghorofa, lakini Mwafrika na mwananchi wa asili wa Zanzibar hakuwa akipata raha hizo!

  Katika zama za Ukoloni palikuwa na Watawaliwa aina mbili, walke waliofanywa matarishi, na wale waliowekwa katikam nyumba za watawala, wakivaa nguo kama zile za watawala na kula chakula cha watawala, na kama mtawala alikuwa akiumwa walikuwa na wao wanaumwa, na kama mtawala akitamani kula ndizi na wao wanatamani kula ndizi maadam Mtawala katamani!
  Mtawala akilia na wao hulia kwa huruma za watawala hao!!

  Amma wale waliotawaliwa wa aina nyengine, walikuwa ni wananchi walio wengi wa Zanzibar, wao waliomba Bahari ya Hindi ije kwa kasi kubwa kuyafunika majumba ya Kifalme ya Forodhani, kama wakisikia Mfalme ana njaa waliomba Allah aondowe chakula mbele yake kama alivyowanyima walio wengi!! Sitii chunvi ninaposema haya, niliwahi kutembelea Shamba ya Potowa mwaka 1980, naweza kusema ni juzi sana, lakini nikiangalia namna ya Shamba hiyo ilivyokuwa mwaka huo na baada ya Mapinduzi, niliuliza jee kabla ya Mapinduzi watu wa mji huu walikuwa wanaishi namna gani?

  Pia nilikaa Bambi, mwaka 1971-1972, nikaona hali ilivyokuwa miaka hiyo, wallahi nilitamani kulia, niliuliza kabla ya Mapinduzi nyinyi watu wa Bambi mlikuwa mnaishi namna gani? Nikaambiwa tulikuwa tunaishi kwa rehma za Allah, nikasema mmesema kweli lakini inavyoonyesha Serikali ya Kisultani haikuwa na habari na nyinyi hata kidogo! Wallahi hakukuwa na athari yoyote iliyofanywa na Utawala wa Kisultani kule mashamba isipookuwa zile Shamba ambazo kulikuwa na nyumba au mashamba yanayowahusu wao!!

  Kama wangetaka kusihi na kuendelea kuitawala Zanzibar, at least wangeweza kuifanya lugha ya Kiarabu kuwa ndio lugha rasmi ya Zanzibar, wakachanga kizazi kiasi kuwa kusengekuwa tena na waafrika walio wengi bali walio wengi wangekuwa ni machotara wa kiafrika na kiarabu, basi nani angetaka kuwabadilisha na hali lugha ni kiarabu na kila mtu ni mwenye asili hiyo, lakini walitubaguwa sana na hata leo tunaitwa magozi!!

  Imekuwa fadhila ya Punda ni mashuzi, tumekumbuka ulipoupinduwa utawala wa Mkama Ndume huko pemba na Utawala wa Meinyi Mkuu hapa Unguja, sasa iwapo mapinduzi yako yalikuwa halali inakuwaje Mapinduzi yetu yanakuwa haramu??

  Wezi wa fadhila wamesomeshwa bure, wamepewa maji bure, wamepewa nyumba bure na walikuwa wanaajiriwa mara tu wakimaliza masomo; pamoja na kupelekwa nje kusoma kwa idadi kubwa jambio ambalo halikuwa likifanyika wakati wa Jemshid na Utawala wake, mpaka sasa maendeleo hayo hayajasimama ingawa ktokana na hali ya kiuchumi ya Dunia imevia, lakini ipo nia ya Serikali kuinyanyuwa kila hali ya mwananchi wa Zanziibar awe mwafrika wa asili au aawe na asili ya kiarabu, hapa Zanzibar ya leo HAKUNA UBAGUZI! Wala hatutaruhusu kubaguliwa kwa aina yoyote anayetaka kuishi ANAKARIBISHWA SANA LAKINI ANAYETAKA KUWA BWANA NA KUJINATA KWA KABILA LAKE, NA AKATAFUTE WENZAKE WENYE KABILA KAMA YAKE WALE HALUWA PAMOJA!

  Zanzibar hautakuwa uwanja wa kujionyesha kwa makabila wala rangi wala upumbavu uliopitiwa na wakati!! Na sisi wazanzibari khalisa HATUTAWASAHAU NDUGU ZETU WOTE WALIOTUSAIDIA KUIKOMBOWA ZANZIBAR KUTOKANA NA UTAWALA WA KIGENI!!

  MAPINDUZI DAIMA!! ZAINZIBAR KWANZA!! MUUNGANO DAIMA!!

 10. Ashakh (Kiongozi) 21/01/2014 kwa 11:29 mu ·

  Omar Ali

  Inasema:
  “Katika zama za Ukoloni palikuwa na Watawaliwa aina mbili,..”

  Kwani ukoloni umekwisha? Mbona naona ukoloni bado upo na unaendelea. Hata na mie nashangaa kuona kijana kama wewe bado unagubikwa na guo la mitazamo ya kikasumba za kiubaguzi.

  Time imebadilika na mazingira pia. Tunataka mitazamo mipya. Ukoloni Zanzibar bado upo na unaendelea. Kulikuwa na Mkoloni Muingereza (na Mkoloni Muarabu kwa maneno yako) lakini sasa kuna huyu Mkoloni Mweusi, na vibaraka vyao ni wale waliopindua. Nenda ikulu katazame nani waliomo mule. Wote lazima wawe kwenye nasabu ndio upelekwe.

 11. sale 21/01/2014 kwa 11:25 um ·

  Mzanzibari halisi ,,@Omar Ali,,hayo yalio kusikitisha wewe ulipotembelea hiyo miji ya Bambi nk uliona kweli kulikuwa na haja ya mapinduzi sawa? sasa mimi si miaka ya sabiini wala ya 80, juzi tu hapa mwaka 2010 nlitembelea sehemu nyingi kule Pemba, maisha nliyoyakuta kule kwa ufupi hakuna hata sehemu moja hapa duniani watu wanaoishi kama sehemu za Pemba ,hata hizo nchi zenye vita vya muda mrefu basi wana afadhali mara mia kuliko maisha ya wapemba ya mapinduzi matakatifu,,je kwa hali hii kuna uhalali watu wafanye mapinduzi mengine? kama ubaguzi basi naona bado umezidi hebu angalia si zamani kuanzia kwenye miaka ya 90 sehemu zote za serikali kuanzia raisi , waziri kiongozi na watu wengine zote tukipeana watu waunguja, kama kuna mpemba ana cheo cha juu basi sio hapa Zanzibar labda Tanganyika, na sisi ma cuf mkatufukuza makazini baadhi yetu watu wa unguja na Tanganyika hupita na kusema Mpemba hatawali,,je @Omar Ali, panahitajika mapinduzi mengine matukufu?

 12. kemit 23/01/2014 kwa 9:57 mu ·

  Kweli maneno yako @sale , hivi leo kuna baadhi ya viongozi wa juu na wake zao wamejichukulia ardhi na kuzizingushia senyenge na kuweka wanyamwezi ndani kuwalindia “hapa npangu”. Kule Micheweni nimeona kwa macho yangu sehemu kubwa sana imetiwa fence na ndani yaje kuna majengo wamewekwa wanyamwezi, inamilikiwa na mmoja ya wake wa rais mstaafu, wakaazi wa eneo lile wanastrugle na sehemu za kulima na kulisha wanyama wao!!!

 13. MAWENI 23/01/2014 kwa 10:19 um ·

  Sekrikali ya Zanzibar huru ilochaguliwa kwa uchaguzi ulo huru, ili ishi kwa mwezi mmoja. Kutokana na mavamizi ya umwagaji damu usokuwa na mfano kwa kisiwa kilichokuwana idadi ya watu laki tatu na nusu. Hakuna alokuwa haku athirika kutoka na msiba huo. Ikiwa si jirani yake ni jamaa yake alo dhulumiwa roho yake.
  Hazina ya sirikali kabla ya uhuru ikidhibitiwa na mkoloni Muingereza ( huyo aloo andaa mikakati ya mavamizi na kumezwa Zanzibar na Tanganyika) . Huyo sultani wakati huo basi matumizi yake yaki dhibitiwa na Muingereza. Na sultani wa Zanzibar yeye mwenyewe hakuwa na nyumba yake bi nafsi. Isipokuwa hiyyo ilyiyoko kibweni ambayo ilkuwa ya ukoo wao. Baada mapinduzi Nyumaba hiyo Karume akiitumia kuwa coner yake kwa wake na mabinti wa watu walio kuwa akiletewa na Fumu ( pimp wake ).
  Sikuhizi tizama maqasri na mashamba yanayo milikiwa na wahishimiwa na wana mabinduzi. Mashamba hayo mengi yao ni ya dhulma.
  Wzanzibari tuna hitajaji kusoma historia yetu vilivyo na kitaalamu. Bila ya chuki ili iwe ni funzo la kutupa muelekeo ulo sahihi kuikomboa nchi yetu kutoka na ukolo wa Tanganyika ( kwa wasia wa nchi za kibeberu na makanisa). Tukieka mbele huwo una itwa muungano . Hiyo Zanzibar kwanza hatekelezeki. Na mapinduzi daima wanayo imba wahafidhina maanayake waendeleze kujaza mtumbo yao , kwa hisabu ya wanyonge.
  UKOLONI WA TANGANYIKA JUU YA ZANZIBAR KWA JINA LA MUUNGANO SASA BASI.

Comments are now closed for this article.