Uchambuzi,tahariri au makala, lakini sio habari mara nyingi ni maoni ya mwandishi au hisia ya mwandishi.

DSC_1138
Serikali inayokosa kuweka vipaumbele
28/08/2015, Maoni 6

Vumawimbi ni eneo la ufukwe liloko Kaskazini ya mji wa Konde – Pemba. Eneo hili limepata umaarufu wa mambo mawili ...

Matukio katika Picha CCM v UKAWA
26/08/2015, Maoni 7

Kisonge wameuliza Swali Lowasa wa ZNZ anasubiri nini? Magari yakisubiri kuhamisha watu wakajaze mkutano.

othman-masoud
Mkono wenye baraka
24/08/2015, Maoni 6

Ilikuwa ni baada ya sala ya Ijumaa katika msikiti wa Mazrui ndipo nilipobahatika siku hiyo kuugusa ‘mkono uliobarikiwa ...

CUF ya subira na uzembe
23/08/2015, Maoni 9

Na Rashid Abdallah Miezi mitatu nyuma, asubuhi ya saa tano nilikuwa nimepanga foleni kusubiri kitambulisho , sasa ikaone ...

BALOZI_seif
Anguko la makada wa chama tawala
21/08/2015, Maoni 9

Salma Said, TUNAPOULIZANA sababu “hasa” za anguko la makada wakubwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kura za maon ...

Waficha siri wanapozifichua siri
20/08/2015, Hakuna Maoni

Na Rashid Abdallah Kule Zanzibar kulisemwa kuwa, hatutoi nchi kwa makaratasi (yaani ushindi hautolewi kwa kura),kisha Ja ...

vyama+vitatu
NEC ijipambanue kama mtoa haki wa kweli
11/08/2015, Maoni 3

Maoni ya Mhariri wa Mwananchi Posted Jumanne, Agosti 11, 2015 Hakuna anayeweza kubisha kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ...