Wafanye wafanyavyo hakuna baraka watakayopata kwa Wananchi au jumuia za kimataifa

Written by  //  21/02/2016  //  ZenjiLikiz  //  Maoni 24

Screenshot_2016-02-08-14-14-19-1-1

Tumepata fununu kutoka ndani ya kikoa chaona mipango yao ccm kwa mwenzao , yakua uchaguzi wamepanga wasitoe majina yote ya wagombania. Na ccm watachukua majimbo manne tu ya cuf likiwemo la mansour. Na kwenye majimbo mengine watajiongezea kura kidogo kidogo ili wapate za urais . Halafu watawaita cuf wende baraza la wawakilishi na wapeleke jina la makamu wao wa rais. Wakikataa cuf watakuwa wao washapata point kua mmejitoa wenyewe kwa hio cuf ndo walovunja suk. na hapo ndo watapata sababu ya kutawala pekeyao.

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 24 katika "Wafanye wafanyavyo hakuna baraka watakayopata kwa Wananchi au jumuia za kimataifa"

 1. Sabra Mabruk 21/02/2016 kwa 10:54 mu ·

  kwani nyinyi CUF tatizo lenu hasa nini maana naona mnaropokwa tu mara mazombi mara Maalim ameambiwa na Mataifa makubwa kuwa hakuna uchaguzi mara moja uchaguzi usimamishwe hivi nikuulizeni nyinyi kwani sisi tunaamuliwa na mataifa makubwa kama ndio lengo lenu kutegemea mataifa makubwa basi mara hii mtanawa tu na kula hamli sisi Wananchi wa Zanzibar wapenda amani na utulivu tunachosuburia hivi sasa ifike tarehe 20/03/2016 kwenda kutimiza demokrasia yetu hapa nchini kwa kila mwenye sifa ya kupiga kura basi ajitokeze kwa wingi siku hiyo, hao wananchi unaosema wewe ni wepi au CUF ndio ambao watakaosusia uchaguzi wa marudio tunasema tupo pamoja tutashiriki uchaguzi wa marudio sote tunaopenda amani katika Taifa hili

  • salali 21/02/2016 kwa 8:11 um ·

   Anti (sabra) kama umekosa mabwana Znz nenda kwenu Tanganyika ukafanye kazi za kusuka wanawake wenzako(salun) au ma bar-medy uwahudumiye walevi hii ni nchi ya kiislam hatukubali kudhulum wala kudhulumiwa.

 2. abuu7 21/02/2016 kwa 11:14 mu ·

  Yoyote atakaye kwenda kupiga kura. Utakuwa umehalalisha haram.
  Na ujuwe unawangamiza uislam.sababu CCm si chama.ni wahuni walokosa maadili na hulka.
  Inshalah.wasifanikiwe chochote.na madole yao yanguwe yote.kabla kufika tarehe 20.

 3. znznkwetu 21/02/2016 kwa 11:39 mu ·

  Ndugu Makame Silima mi kila nikiangalia nahisi ni kama hivo ulivosema wewe. Hio hata siajasikia na mtu lakini kila nikikaa sijaona ujinga watakao uvumbua ccm kama sio kama huo.
  Allah atajua jinsi gani ya kuwahukumu. Ama atawabadilissha nia waache kuendeleza dhulma hii walioianza tangu 64.
  Wacha tuone, ukiishi kwingi kweli kuona mengi lakini mengine yatia kichefu chefu kuyaona au kuyasikia.

 4. Piga nikupige 21/02/2016 kwa 12:11 um ·

  Kada mmoja ambae ni miongoni mwa wagombea wa uwakilishi Pemba kupitia CCM, anasema kwamba alikuwa haamini kwamba iko siku atakuja kuwa mwakilishi, lakini mara hii kaupata uwakilishi kiulaini kuliko alivyo tarajia.
  Anasema mkakati uliopo ni kupitisha katiba pendekezwa bila kupingwa, na kwa kipindi hiki ambacho CCM itaongoza kwa muda wa miaka mitano wakiwa pekeyao, wataandaa mazingira magumu zaidi ya kisheria kuhakikisha CCM inatawala hata kama dunia nzima itawakataa.
  Kamalizia kwa kusema CUF wasidanganywe CCM ishatawala, hapa CUF wasubiri 2020 wakitaka wasipotaka basi. Kikubwa mtakacho kisikia ni maneno tu vitendo hapana.
  Maamuzi ya ndai ya CCM nikwamba CUF wakijaribu kuandamana wauwawe bila huruma hakuna the Hague wala chochote, wao watafanya wanalolitaka, na katoa challenge hao viongozi wa CUF walio na midomo mirefu hawana chochote watakachokifanya zaidi ya kupiga domo nakujuta.

 5. Adili 21/02/2016 kwa 12:35 um ·

  Hao majeshi na viongozi wao hapo juu wanaomba dua kuendeleza udhalimu wao; sijui kwa mungu yupi na kwa dini ipi? Huyu Allah tunaemuamini sisi waislam anapingana na dhulma za aina zote. Nna mashaka na imani zao…

  Na sisi tutaendelea kumuomba Mola wetu atuepushe na dhulma zao na asiwape hatua. Amin.

 6. Sabra Mabruk 21/02/2016 kwa 12:59 um ·

  Pga Nikipige hayo ni maneno yako mwenyewe hakuna hata kiongozi mmoja wa CCM ataesema maneno ya kipumbavu kama wewe ujuwe kuwa uchaguzi upo tu hata kama mtanuna sisi tutashiriki ucahguzi wa marudio tarehe 20/03/2016 Inshaallah Mungu atufikishe kwa salama na amani

  na wewe, abuu haramu unaijuwa au unaongea tu pumba hebu niambie uharamu upo wapi kama haramu unaijuwa wewe mngelijaribu kuwaua askari kwa kuwachinja kwa visu shingoni kama kuku huko Pemba au haramu kwa ccm tu cuf hakuna haramu nani alietia visima mavi si haramu ile na aliyepaka skuli mavi si haramu ile nani aliyechoma mikarafuu sio mharamu ile jaribu kuwa muwazi na sio uangalie upande mmoja tu na hata dini yetu inasema ukitaka kutaja aibu ya mwenzio kwanza zitaje zako ndipo uzitaje za mwenzio

  • Abdul Zakinthos 22/02/2016 kwa 2:36 mu ·

   Mi ningekushauri ukachagua jina moja kati ya Salma au Sabra,maana unajisahau,unarudia sentensi zile kwa zile ulosema kwa majina yako yote.

   Ila tunashkuru kukupata mtu kama wewe,ndio tunazidi kukusomeni.
   Je,tume mshakuwa na imani nayo saivi?

   Waswahili husema ukiwa muongo usiwe msahaulifu

 7. Reyhana 21/02/2016 kwa 1:48 um ·

  @Sabra. Hayao yote ulioyauliza basi ni nyinyi (CCM) mlioyafanya ili waonekane wananchi ambao wako against na CCM ndio waliofanya. You sound pathetic and ignorant hivo unavouliza. Kujua mnajua lakini mnajitoa fahamu.

 8. Reyhana 21/02/2016 kwa 2:10 um ·

  @Sabra. Na kama kupiga kura si mkapige tu tena porojo la nini na kulazimisha kuweka majina na picha za wagombea waliokua wamejitoa? nyie si mabavu ilikua haina hata haja ya kupiga kura ilikua mumtangaze tu sheni mumuweke basi. Au na hao mabwana zako na wao wanataka kuonesha mbwana zao kama walifanya uchaguzi? FYI hayo mataifa makubwa ulioyasema wewe ni mabwana Zaidi kwa hao mabwana zako wewe kuliko CUF na vyama vyengine. Nyie midomo mirefu kutukana mataifa ya nje mkirudi mnagaragara mugaiwe pesa. Munawatukana waarabu asubuhi na jioni mkimaliza hapo mnaenda kupiga goti mugaiwe yani ni viumbe vya kushangaza kweli. Lakini kuna msemo unasema “Qalilulhayaa Mustareekh” Just incase you don’t understand maana yake “Asokua na haya amestarehe” sasa ndio nyie.

  Like I said previously YOU SOUND PATHETIC AND IGNORANT. Eti wananchi wa Zanzibar. Wananchi wepi hao unaozungumzia wewe maana more than 60 percent are against your inhumane acts. sasa hebu niambie wepi hao? mmeshaamua kufanya haramu fungeni misamba yenu mufanye tu porojo na mabavu ya nini?

 9. makame silima 21/02/2016 kwa 2:34 um ·

  Musiumishe vichwa vyenu wana ukumbi ,kuna kitengo malumu kikiongozwa na boss wao Nepy Nawiye kulipwa kwa kazi hii tu ya propaganda ya kupindisha ukweli ,nyiyi mukisema A wao husema hio ni B.

  Kwahio huyo aka Sabra yuko kazini .

 10. daudy haji 21/02/2016 kwa 3:20 um ·

  Km sabra ni kikosi cha Nape nyie msokwisha kuzusha ni kikosi cha BALAHAU ,,,,,,,AU

 11. abuu7 21/02/2016 kwa 3:28 um ·

  Hahahaha Sabra Lukuvi. Ukweli unauma. Ok basi mkifanikiwa na njia ya haramu mutakayo fanya tarehe 20.basi mtunge jina lin gine la kabenet yenu ambalo litaitwa baraza llbatill. Yaani mkiona tayari mwilhauna nguvu tena ndio mnaanza kutubu.
  Wewe nenda katiye hiyo kura ukaribishe pombe na kufuli.
  Haki haipingiki.majuto ni mjukuu. Maalim kapima maisha yako ya badae nasi ya muda tu. Ndio maana kachagiliwa na wazanzibari. Kashaona mbele.

 12. Salma Sudi 21/02/2016 kwa 3:28 um ·

  hahahah watu wakisema ukweli nyinyi mna anza mmsema hamshiriki uchaguzi sasa mnajidai mara mazombi mara Kikosi cha Nape siasa ni hoja jamani sio uchochezi mnaosema nyinyi kwani sisi hatujui kama huu mtandao ni wa CUF. ila na sisi wanaCCM tunawafata huku huku makusudi kukuelimisheni nyinyi vichwa tundu

  CCM mbele kwa mbele

  • mundhir 22/02/2016 kwa 3:40 um ·

   Mimi sina la ukweli wala la uongo. Nasubiri tarehe 20/3/2016 ili tuanze kuuana, maana nina hakika Wazanzibari wasio na hatia watapigwa na vikosi vya CCM, SMZ na SMT. Nategemea Wazanzibari si wabole kama unavyofikiria, hivyo wana fursa ya kulipa kisasi na visasi vikilipwa hapo ndipo tutafaidi ubora wa dhulma tunayoishabikia.

 13. Reyhana 21/02/2016 kwa 4:52 um ·

  @Abuu hawa vichwa maji hawaoni mbele ndio tatizo lao huwa wanaona hapa tu, mbele ni kiza kwao.
  @ salma huu mtandao si wa CUF tu hata vifuu tundu wanakarabishwa. Tunapata kufahamu Zaidi how wretched and stupid you are. Mwahahaaaaa.

 14. Piga nikupige 21/02/2016 kwa 5:56 um ·

  @Sabra. Mimi sitafuti mchumba humu mzalendo, kama vipi kajaribu sehemu nyengine.

 15. Reyhana 21/02/2016 kwa 6:49 um ·

  Piga nikupige. Hahahaaa unachekesha wallahi. Hata kama unatafuta sio vifuu tundu.

 16. Piga nikupige 21/02/2016 kwa 7:38 um ·

  Wameamua kuja kujiuza humu mzalendo, Mimi nawashauri nendeni kwa Raju huenda mkafanikiwa, lakini kwa humu naona mshakataliwa kuweni na aibu msitulazimishe.

 17. Wawete 21/02/2016 kwa 9:03 um ·

  We sabra naona umo tu uambiwe na weye umesema, wapemba si wajinga ivo wakatie mikarafuu moto, wavitie visima vinyesi au wazitie skuli vinyesi wakati watoto wao wanasoma skuli hizo, ebu kuwa na akili kidogo ufikirie kabla kuropokwa mambo usoyajuwa, hayo mambo uloyataja apo yote ni services ambazo wapemba wanazitumia alafu wende wakafanye uharibifu kama huo kwa mkomoa nani? Haya ni mambo yanayofanywa na ccm kwa kuwakomoa walio wengi ambao ni cuf, hili liko obvious halitaki tochi jinga wahed

 18. Feisal Amour 22/02/2016 kwa 1:59 mu ·

  Hata hiyo dua wanayo soma unafikiri imo katika mioyo yao?. Hawa ni katika wale walio tiwa mihuri katika mioyo yao. Wasinge fanya walivo fanya hala eti wana muomba Mwenyezi Mungu awasaidie katika kudhulumu.
  wanajipiga wenyewe kafara bila hata kufahamu.

 19. Jino kwa Jino 22/02/2016 kwa 5:30 mu ·

  Hata FIRAUNI alikuwa akijiita Mungu lkn siku alipoona Ukweli akataka kuamini .Kwa hivyo na nyie ccm siku mutakapoona ukweli ndio mutataka kuamini itakuwa Toolate .Kwa hivyo .

  Kila Ajae Na shari Waijua yake siri Ivunje yake Dhamiri asiweze Kusimama.

  Allah Awangamize Mahasidi wa Zanzibar( CCM ) kama alivyomuangamiza Farauni na kamu yake.

 20. nkataba 22/02/2016 kwa 6:06 mu ·

  hii dua hawa ccm jamani hivi wanaiomba kwa kwa dini gani? mana dini zote hawapo na mungu wao sijui ni yupi wanaemfanyia dhihaka hizo mana ata hao freemason wana taratibu na sheria zao wanaziheshimu

 21. znznkwetu 22/02/2016 kwa 5:08 um ·

  Nimenawashauri kitu kimoja, na hii inatokana na msemo “Ukibishana na mwendawazim na wewe utaonekna mwendawazim” nami naengezea ukibishana na mjinga nawe utaonekana mjinga.
  Achaneni nao hao watu vyengine na nyinyi mtaonekana wandawazim. Kwa sababu ni nani mwenye akili timamu asiejua kuwa yanayoendelea ZNZ ni dhulma. Sasa mukijibizana nao ndio hucharukwa hebu wachunieni tuone. Wafanye huo uchaguzi wakimaliza tuone wamepata nini na kizazi chao kitapata nini? Au sawa wache wapewe kazi na madaraka je madaraka hayo ya njia ya dhulma kwa Allah watakwenda kulipwa nini?
  Mijitu mijinga ni bora kuwa nayo mbali

Comments are now closed for this article.