Tetesi: Pemba eneo moja kuvamiwa na jeshi la police

Written by  //  19/02/2016  //  ZenjiLikiz  //  Maoni 7

Kuna taarifa leo hii tumepokea kwamba kuna eneo moja kengeja au micheweni wamevamiwa na jeshi la police na kupigwa kuumizwa vibaya.

Wenye taarifa kamili watupatie.

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 7 katika "Tetesi: Pemba eneo moja kuvamiwa na jeshi la police"

 1. salali 20/02/2016 kwa 8:28 mu ·

  Vijana lazima tujitetee ikibidi hata kuwanyan`ganya hizo silaha zao tusizubaye huu sio wakati tena wakuzubaa hawa mbwa wametukusudiya vibaya ukimuona mwenzako anaonewa ni lazima kumsaidiya. Wito kila mtu awe na silaha karibu na wakati wenyewe ndio huu mkisikiya wahuni wapo mitaa wanataka kuuwa au kujeruhi,kuiba ni kutoka na silaha tu na tupambana nao.

 2. mpemba halisi 20/02/2016 kwa 8:34 mu ·

  hilo suala ni kweli muda nimewapigia cm watu wa pemba na kuniambia kwamba wamepiga juzi.ila wanaendelea kufanya uchunguzi wao nani na nani anahusika kutia fitna kwani kuna ccm wa kengeja ndo wanaoshirikiana na polisi na mazombi.si muda mrefu wanasrma rutapata majibu.hakuna kurudi nyuma.

 3. Fuad Suleiman 20/02/2016 kwa 9:25 mu ·

  Silaha kubwa ni tindikali tu wamwagieni hao mazombi siku ya pili hawatakuja tena kufanya kitu

 4. Abdul Zakinthos 20/02/2016 kwa 7:16 um ·

  unajua watu wa Pemba hasa wa makamo sio km wa Unguja
  kwa hiyo tusubiri
  huenda wakaasema jeshi alishambuliwa ndio wamejibu mapigo

  popobawa km mkapa vile anakuja

 5. mnyonge 22/02/2016 kwa 8:00 mu ·

  Vijana msichokozeke sawa sawa waacheni wakufanyieni yoyote wanayoyataka lakini jitahidini sana msichokozeke hata kama watawaua.

  • mundhir 22/02/2016 kwa 1:58 um ·

   Wewe kaa usichokozeke ila subiri ujeruhiwe wewe na familia yako. Unadhani wanawashambulia CUF tu? Subiri yakukute ndugu yangi.

 6. mnyonge 23/02/2016 kwa 12:03 mu ·

  Munzir sisi tunafata viongozi wetu wanavyotwambia hatuwezi kuwapinga kwahio wacha watujeruhi sote lakini sisi hatuchokozeki.

Comments are now closed for this article.