ZenjiLikiz, Tetezi na habari zote sizokuwa rasmi

bunge-movie
Breaking news:Hatimae Azimio la Kanuni lapita !
11/03/2014, Maoni 8

Baada ya wiki takriban mbili hivi Kamati ya wajumbe 20 ya Kuchambua Rasimu ya Kanuni iliyoundwa na Mwenyekiti wa Muda wa ...

Breaking News: BLW Kuikana Kauli yake ya “Mamlaka” Tatu
02/03/2014, Maoni 15

Kuna habari au tetesi kuwa BLW CCM linakutana Dodoma jioni hii (baada ya alasiri) na agenda kuu ni moja tu: KUIKANA KAUL ...

Milipuko miwili ya bomu yatoke Zanzibar
24/02/2014, Maoni 13

Jamani kuna habari zimezagaa JF kuwa milipuko miwili imetokea Zanzibar, jee kuna ukweli?

Haya ya Warioba Kuhusu huu Mungano ni kweli kabisa
12/02/2014, Maoni 19

Leo kuna kikao kinaendelea katika Hoteli ya White Sands , ambacho KIMEANDALIWA na TCD , ambacho kimepewa jina la “ ...

kamati_moyo
Kamati ya Maridhiano Kufukuzwa CCM?
12/07/2013, Maoni 34

Kuna tetesi na mpango wa chini kwa chini unaofanywa na UVCCM na Muhafidhina wa CCM Zanzibar kuwafukuza au kuwanyanganya ...

KUTOKA JAMII FORUMS
23/06/2013, Maoni 19

Rais Jakaya Kikwete aiweka nchi rehani kumuokoa mwanae asinyongwe China. Ni ngumu kuamini lakini ni UKWELI Taarifa za up ...

Nyaraka za IMF, Bot na Zanzibar
24/04/2013, Maoni 2

Zanzibar Share IMF 1964