ZenjiLikiz, Tetezi na habari zote sizokuwa rasmi

Tetesi: Jk atoa 1500 wanajeshi kwenda Pemba na Unguja
08/04/2015, Maoni 18

Habari zisizo kuwa na uhakika, nimezipata leo kuwa JK ambae ndio amir jeshi mkuu, ametoa wanajeshi 1500 kuja visiwani Za ...

komba 4
Break news Kuna tetesi Mbunge wa Mbinga ccm Capteni John Komba afariki Dunia
28/02/2015, Maoni 14

Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya ...

Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar ambae pia nikatibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif  Sharif  Hamad akionesha msisitizo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Tetesi: Hivi ni kweli Maalim seif kajiuzulu.
08/10/2014, Maoni 33

Kuna habari kwamba makamo wa rais wa kwanza amejiuzulu,hizi habari zipo katika media tofauti. Sababu kuu ni kutoka na Mw ...

nk
Breaking News : Dk. Shein Amteua Mwanasheria Mkuu Zanzibar
07/10/2014, Maoni 29

Mhe Said Hassan Said Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Tuesday, October 7, 2014 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la M ...

othman
Othman Masoud kufukuzwa nafasi ya MMWZ na Kupewa Mkusa Sepetu..Bado iko siri
07/09/2014, Maoni 12

Assalamu Alaikhum Ndugu Wazanzibari wa Ndani na Nje ya Visiwa vyetu adhimu. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Allah alie ...

Zanzibar kutengewa 21% ajira katika wizara za Muungano
24/05/2014, Maoni 23

Angalizo ktk hii makala: Hii mada nimekuta http://www.jamiiforums.com/ nikaikopy na ku paste hapa kutoka kwa memba aliej ...

bunge
Kujitoa kwa UKAWA:Bunge la katiba lajipanga kutengua kanuni
18/04/2014, Maoni 5

Nilipotea kidogo kuwapa habari za ndani kuhusu yanayoendelea ndani ya Bunge maalum la katiba. Jana kulikuwa na kikao cha ...