ZenjiLikiz, Tetezi na habari zote sizokuwa rasmi

Msafara wa Lowasa wazuiwa msibani
13/08/2015, Maoni 2

Polisi wa Mwanga mkoani Kilimanjaro wamezuia msafara wa Edward Lowassa kijiji cha Maroro Wilayani Mwanga sasa hivi akiwa ...

Tetesi huenda MhTundu Lissu kuziba nafasi ya Prof Lipumba
07/08/2015, Maoni 9

Habari zilizozagaa mitani huenda Mh Tundu Lissu akajiuzulu Chadema na kujiunga Chama Cha Wananchi (Cuf) ili kucover nafa ...

Tetezi:Maalim Ndani ya Dodoma Kulikoni?
24/05/2015, Maoni 7

Kuna taarifa kuwa Maalim Seif amekutana na JK huko Dodoma,kama kawaida yake kukutana na viongozi wa Tanganyika lakini ri ...

Tetezi:Wapiga kura bandia – Zanzibar
18/05/2015, Maoni 9

kuna ajenda zimefanyika ccm wameeandikisha watanganyika wageni kabisa hapa zanzibar, vipande ya kupigia kura watanganyik ...

unnamed (3)
Joto la uchaguzi lazidi kuwatesa ccm, kuna tetesi huenda Uchaguzi mkuu 2015 ukafanyika Z’bar tu wa Raisi Znz na Wawakilishi
09/05/2015, Maoni 17

Kuna tarifa za tetesi kutoka kwa makada wa ccm na mikakati yao ya mbinu gani ili waweze kupita salama katika uchaguzi mk ...

Boti ya wavuvi yazama Pemba
02/05/2015, Maoni 12

Habari zilizotufikia usiku huu Watu 3 wamekufa maji baada ya boti yao waliokuwa wamepanda kuzama huko wete mkoani Pemba ...

Tetezi:ZEC kupangua majimbo visiwani Zanzibar
26/04/2015, Maoni 16

Taarifa zilizonijia hivi punde kutoa vyanzo vyangu vya Habari Tume ya Uchaguzi Zanzibar imefikia hatua ya kuyakata majim ...