ZenjiLikiz, Tetezi na habari zote sizokuwa rasmi

othman
Othman Masoud kufukuzwa nafasi ya MMWZ na Kupewa Mkusa Sepetu..Bado iko siri
07/09/2014, Maoni 12

Assalamu Alaikhum Ndugu Wazanzibari wa Ndani na Nje ya Visiwa vyetu adhimu. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Allah alie ...

Zanzibar kutengewa 21% ajira katika wizara za Muungano
24/05/2014, Maoni 23

Angalizo ktk hii makala: Hii mada nimekuta http://www.jamiiforums.com/ nikaikopy na ku paste hapa kutoka kwa memba aliej ...

bunge
Kujitoa kwa UKAWA:Bunge la katiba lajipanga kutengua kanuni
18/04/2014, Maoni 5

Nilipotea kidogo kuwapa habari za ndani kuhusu yanayoendelea ndani ya Bunge maalum la katiba. Jana kulikuwa na kikao cha ...

bunge-movie
Breaking news:Hatimae Azimio la Kanuni lapita !
11/03/2014, Maoni 8

Baada ya wiki takriban mbili hivi Kamati ya wajumbe 20 ya Kuchambua Rasimu ya Kanuni iliyoundwa na Mwenyekiti wa Muda wa ...

Breaking News: BLW Kuikana Kauli yake ya “Mamlaka” Tatu
02/03/2014, Maoni 15

Kuna habari au tetesi kuwa BLW CCM linakutana Dodoma jioni hii (baada ya alasiri) na agenda kuu ni moja tu: KUIKANA KAUL ...

Milipuko miwili ya bomu yatoke Zanzibar
24/02/2014, Maoni 13

Jamani kuna habari zimezagaa JF kuwa milipuko miwili imetokea Zanzibar, jee kuna ukweli?

Haya ya Warioba Kuhusu huu Mungano ni kweli kabisa
12/02/2014, Maoni 19

Leo kuna kikao kinaendelea katika Hoteli ya White Sands , ambacho KIMEANDALIWA na TCD , ambacho kimepewa jina la “ ...