ZANZIBAR TAKE THIRD-PLACE
Written by Stonetown (Kiongozi) // 08/12/2012 // Habari // 24 Comments
Congratulations Zanzibar for defeating Tanzania Mainland on East and Central African cup.
We have overcome all those negative publicity and we have shown the world that Zanzibar has the talent and competent footballers. We are also sending a clear message to Tanzania political spin Doctors that, Zanzibar will also defeat you politically on gaining its membership in United Nations





24 Comments on "ZANZIBAR TAKE THIRD-PLACE"
Slightly better than before!It could be much better if all players were Zanzibarians.But unfortunately majority of our players are from Tanganyika(Tanzania main land) as you called it.Aggrey Morris,The goal keeper of today are those from Tanganyika.Next time its better if you write in Swahili or in Arabic so majority of Zanzibarians can comments.Other wise it is good &Congratulation to our boys!
Ndugu zetu waTanganyika wamejaribu kutubana, kutubinya na kutukamuwa kwa nguvu zao zote walizojaaliwa kama vile mpishi anavoikamuwa nazi kwa ajili ya kupata “TUWI” lakini wapi!!! hawakufuwa dafu, kwa ufupi tunathubutu kusema kuwa hawatuwezi kwa FANI YA MICHEZO NA ZILE HARAKATI ZA KISIASA HAPA NCHINI.!!!
Sasa hebu tuangalie ni kitu gani ambacho kinasababisha hii Nchi yetu kudhofika tukawa hatujimudu wala hatuwezi kujiqimu!!! Si-jambo la kufikiri sana; kwani kila kitu kinaonyesha hadhir na kinaga ubaga na tunaweza kusema kuwa si-chengine dhida yetu, bali tatizo letu kubwa ni huku kutawaliwa ni hawa wakoloni weusi, faqat.
Mwisho nabashir kuwa mengi yale yanayofanywa ni Nchi za wenzetu yakaleta maendeleo, bila shaka na sisi tunaweza kuyatenda na pengine tunaweza kuebuka tukawapikuwa na kuelekea kuwapiga mrisi au kapa!!!
Lakini yoooote haya hatuwezi kuyasimamisha kwa miguu yake ila pale tutakapo pata Nchi yetu yenye mamlaka kamili, kitaifa na kimataifa na tukawa tunaweza kujiamulia mambo yetu ya ndani na nje bila ya kupangiwa kutoka DODOMA!!!
JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR…..KWANZA
NAWAKILISHA
MCHONGOMA
,
@Shamhuna u r totally wrong, if u say majority in which number? and second most of the Zanzibari are mixed from different places so wat do u mean majority of our players are from Tanganyika?
Plz don’t plqy game with arabic language. If u like it or not. Is a language of Quran and language of day of judment.
Hardline should read Zanzibar defeat Tanganyika on their Independence Day eve.
Hongera Zanzibar heroes
Huu nI ushindi kwetu dhidi ya mkoloni. Tunasubiri ushindi kwenye nyanja nyengine ikiwa ni pamoja na kisiasa, kuuchumi, kitaaluma, kijamii, na mengineyo
Shime kila mmoja ajitambue na achukuwe nafasi yake
@SHAMUHUNA
Kabla ya yote ‘CONGRATULATIONS HEROES, Message sent’
Sasa nageukia kwa SHAMUHUNA. Kwanza naomba nijitambulishe kuwa mimi katika hii mzalendo ndie ‘Chief whip’, maana naona Ashakh, Froasty, na Stonetown, wanakuoneeni haya wapuuzi kama wewe mnaotumia mtandao huu kwa matusi, na kukejeli juhudi na kila mafanikio ya Mzanzibari. Mimi nitatumia fursa hii kuwapa nidhamu zenu.
Pili, naomba nikueleweshe tu kuwa hofu yako iondoe, Zanzibar haiwezi hata siku moja kushindwa kwa lolote na Mkoloni wake, si kiuchumi, kiusiasa, ustaarabu, na hata huo mpira Zanzibar daima mbele. Hofu ondoa, na ndio ukaona Tanganyika yazidi kuikalia kooni Zanzibar ili kuyaficha haya yasije juu.
Tatu, hoja yako ya kuwa ‘asilimia kubwa’ ya wachezaji wa heroes ni wa bara imekojoa kitandani ukubwani. Huo ni uzushi naamini ni sawa sawa na prpaganda za mbumbumbu kama vile Omar Uwesu, na Borafya hivi sasa wanazozitumia kuwapumbza wasiozitumia akili zao kufikiri na kumeza kila waambiwalo kama hivyo wewe. Kwa fikira zako hapa mzalendoni kuna wajinga wa aina hio? Huu mtandao bwana achana nao, una wasomi waliokosa hata kazi ya kufanya kwa kuzidiwa ni taaluma na jinsi akili zao zilivyo makini katika kufikiri na kujenga hoja. Hivyo sio rahisi kuleta upuuzi kama huo watu wakauelewa hapa. Sisi kwa taarifa yako furaha yetu yazidi nguvu ya mwili kuona Heroes wamewafunga WAKOLONI wao bila huruma wewe unaleta kijinga hapa?
La mwisho, Aggrey Morris ni mzaliwa wa Jang’ombe mkabala na Skuli ya Jango’ombe sekondari na ni mzanzibari halisi sawa na Charles Hillary. Aggrey ni mruguru kiasili na kila mzanzibari ana asili yake kutoka bara kubwa au bara arabu kwa hio kuwa kwake mruguru hakumuondolei haki zake za kuwa Raia wa Zanzibar. Namjua Agrrey tangu anatahiriwa, kisha akachezea timu ndogo ya Jang’ombe na akina Edi Mara, Kojjan, na Wengineo wengi timu hio yaitwa ‘Celtics’. Isitoshe yeye na wazee wake wajinasibu kuwa Wazanzibari japo ni waruguru kwani uzanzibari sio ukabila ni utaifa, kama huna akili nzuri ndio ujuwe.
Isitoshe, kama waona mtu wa bara lazima awe na jina la kikristo tu pia umekosea kwani Zanzibar haijabarikiwa waislamu tu ni kila mzawa na alipeta haki ya kuwa mzanzibari hata kama wazee wake sio wa hapo, muradi kisheria ametimiza haki na wajibu wa kuwa mzanzibari. Ni huyo Mwadini Ali, ndio kabisa huna hoja ya kusema. Hivi ingekuwa aggrey ni wabara TFF wangenyamaza na huo ubwabwa wako wa shingo?
Zanzibar has got talents man! Upo shosti? Kanyonye ukalale huko, Mzalendo sio jukwaa la kasumba bwana, hapa ni watu wenye hoja na akili timamu tu wanaosavaivu, kama una hoja mgando nenda blogu nyengine sio hapa au subiri ugombanie umoja wa vijana CCM upate ukapige watu kasumba, huko ndiko watu kama wewe wanakokaribishwa sio hapa.
Zanzibar hata kama golini kwetu tusingeweka kipa kwa hawa watanganyika basi bado tungewapiga cha bata.
Kajifunzeni tena kisha mje hata alfajir mabao yataendelea tu.
ITAFAHAMIKA TU.
wengine tuko mbali tuekeni scores basi
@ Kishanshudas
Kumbe saa nyengine huwa unaandika maneno yenye maana? mi nilifikiri huwa muda wote unaandika utumbo na ndio maana mara nyingi hu-comment baadhi ya maandishi yako.
@mohamed
sawa kabisa tumewabika cha bata.
Aslaam Aleykum Wanaukumbi. Hongera nyingi vijana mashujaa wa Zanzibar ktk mashindano ya East and Central African (ECA) yaliyomalizika Kampala, Uganda. Ushindi wetu ni mweupe usio doa. Basi ni hivohivo tutashinda kisiasa miezi michache ijayo.
Pole nyingi kwa SHAMHUNA, na sijui kama ni mtu mwenye jina lake au amekopa. We Shamhuna wa kukopa umeona kama ulichoeleza ni hoja dhaifu? Kila mwenye akili timamu anaona namna ulivojaa sentiments za kuwagawa Wazanzibari ambao wala hawaitwi Zanzibarians, bali Zanzibaris. Basi na Wasomali waite Somalians!!! Soma vizuri mambo. Sasa umeipata background ya Aggrey Moris? Then unazungumzia mwandishi wa taarifa angetumia Kiswahili au Kiarabu. Yaani kwako unaamini Wazanzibari hawamudu Kiingereza siyo? Umepotoka sana, na ndio wengi wanaifahamu Zanzibar, (rudi kwa Kishanshudas uelewe). Kama upo Ulaya lazma unajua Wazanzibari wengi waliowahi Ulaya wana kazi kubwakubwa tena za kitaalamu. Wapo wahandisi, walimu, wafizikia nk. Ni Wazanzibari kwa taarifa yako.
Na kama unaamini Kiarabu ndio lugha inayofahamika zaidi ya Kiswahili au Kiingereza wewe una tatizo sawa na wale waliolishwa maneno kwamba kikitawala chama kisichokuwa CCM, basi Zanzibar watarudisha Usultani. Kwa akili yako unadhani kina Kisasi wa Mtoni, kina Lyimo wa Kikwajuni, na wengineo walioleweya Zanzibar hawaheshimiki? Wazanzibari khalisa. Muflis. Na hata wakirudi, kama wananchi wenyewe wanataka warudi maana ni ndugu zao, utakosa nini ww? Wacha kuparaganya wananchi ndani ya nchi yao.
Soma sana mambo.
Wakatabahu.
Aslaam Aleykum Wanaukumbi. Hongera nyingi vijana mashujaa wa Zanzibar ktk mashindano ya East and Central African (ECA) yaliyomalizika Kampala, Uganda. Ushindi wetu ni mweupe usio doa. Basi ni hivohivo tutashinda kisiasa miezi michache ijayo.
Pole nyingi kwa SHAMHUNA, na sijui kama ni mtu mwenye jina lake au amekopa. We Shamhuna wa kukopa umeona kama ulichoeleza ni hoja dhaifu? Kila mwenye akili timamu anaona namna ulivojaa sentiments za kuwagawa Wazanzibari ambao wala hawaitwi Zanzibarians, bali Zanzibaris. Basi na Wasomali waite Somalians!!! Soma vizuri mambo. Sasa umeipata background ya Aggrey Moris? Then unazungumzia mwandishi wa taarifa angetumia Kiswahili au Kiarabu. Yaani kwako unaamini Wazanzibari hawamudu Kiingereza siyo? Umepotoka sana, na ndio wengi wanaifahamu Zanzibar, (rudi kwa Kishanshudas uelewe). Kama upo Ulaya lazma unajua Wazanzibari wengi waliowahi Ulaya wana kazi kubwakubwa tena za kitaalamu. Wapo wahandisi, walimu, wafizikia nk. Ni Wazanzibari kwa taarifa yako.
Na kama unaamini Kiarabu ndio lugha inayofahamika zaidi ya Kiswahili au Kiingereza wewe una tatizo sawa na wale waliolishwa maneno kwamba kikitawala chama kisichokuwa CCM, basi Zanzibar watarudisha Usultani. Kwa akili yako unadhani kina Kisasi wa Mtoni, kina Lyimo wa Kikwajuni, na wengineo walioleweya Zanzibar hawaheshimiki? Wazanzibari khalisa. Muflis. Na hata wakirudi, kama wananchi wenyewe wanataka warudi maana ni ndugu zao, utakosa nini ww? Wacha kuparaganya wananchi ndani ya nchi yao.
Soma sana mambo.
Wakatabahu.
Wa’alaykum Salaam swahiba!HIvi upo mbona kimya sana!tangu walifungie gazeti letu lile husikiki kabisa na huonekani kabisaaa.Karibu nyumbani tunywe kahwa na halua.
Na yule swahiba wetu mwingine Absalom Kibanda nasikia amerudi kulekule alipokunya bila kuzoa!!!!!
Any way nimekuelewa kwa hiyo Mh.Borafya ni Mzanzibar kama wewe,Balozi ni mzanzibar kama wewe Mzee Moyo na Mansur ni wazanzibar kama wewe!!Hata Augustino Ramadhani ni Mzanzibar kama wewe!Na mimi ni mzanzibar kama wewe .
Dada Ashakh vipi mbona hujaleta ile DVD uliyosema au ilikuwa danganya toto?Nasubiri uweke nimwage mboga hapa nawahakikishia mtashangaa na kushtuka kilicho nyuma ya Pazia.Tafadhali dada sema suu nipasue yai.
Huyu sio Shamhuna original huyu shamhuna Fake yupo hapa kumtukanisha baba yake.. ni sawa tuu kwani mtu huvuna alichopanda. Shamhuna alikuwa mtu wa mbele kwenye darasa za ramadhani msikiti wa kikwajuni akitafuta radhi za Allah.. tamaa ya ulwa na mali ikamtowa akakimbia akawa kabakia sijda jeusi na roho yake chafu. Mbaguzi ndani ya damu yake hata kizazi chake kinarithi ubaguzi, majungu na fitna kati wa wazanzibari. Sasa nasikia Shamhuna kahamia msikiti wa Othman Maalim ana hangaika na roho yake na hicho kiarabu husoma Qur ani leo watoto wake wanakichezea share kwa ubaguzi wao hata kwa lugha ya Allah.
SHAMHUNA KUMBUKA ” nyumba ya akhera (peponi) ni kwa wale wasiotaka ULWA na wasiofanya FISADI duniani.”… kila siku unasoma kiarabu hiki hufahamu… wewe ulwa ndio maradhi yako utafanya kila ubaya ubakie kwenye ulwa na Fasadi hakuni uliobakisha tokea kuasisi sera za utalii na umalaya na mengineo ..Amakweli hujui kiarabu wa hufahamu umebaki tuu kusikiliza kasida na mashairi ya Othan Maalim akighani vizuriii.
Watanyika wamelowa na mdomo wao mwingi wa ujuaji. Nakumbuka kuna
mechi moja miaka ya nyuma ilikuwa Zanzibar ilikuwa haina nafasi ya kusonga
mbele na ilibakisha mchezo mmoja na Tanganyika, ambao wao kama
wangeishinda Zanziba basi wanakwenda mbele kama hawatoishinda Z,bar
hawatoendelea mbele na Malawi ndiyo itoendelea mbele ya mashindano na
Zanzibar kwa kujuwa WATANGANYIKA wanatudharau na kutunyanyasa basi
walicheza kufa kupona na kuona bora Malawi waendelee mbele kuliko hao
wajuaji WATANGANYIKA na mwishowe Zanzibar waliibuka na ushindi wa bao
moja na nafikiri lilifungwa na Eddi Abdallah kama sikosei.
Hivyo wajuwe kwamba Zanzibar wanaweza kila kitu katika kutawala ikiwa kisiasa
ikiwa kisoka, HEKO ZANZIBAR ,WATANGANYIKA ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.
Hii nI hatua moja ya lesson kujifunza. Hatuhitaji kuishia hapa. Siasa inachoma kwenye mwanya mdogo. Hao watanganyika walinywesha maji. Na kinjengetile hadi kufikiria kupigana vita vya majimaji.
Sasa zamu tunywe maji ya ushindi wa mechi hii kupigana halan wajiba na tuwashinde wakoloni watanganyika
@Kishanshudas asante sana kwa majibu yako kwa shamhuna umemfahamisha uzuri sana nini uzanzibari maana yake
“zanzibar ni utaifa sio dini,kila mtu ana dini yake na ukabila wake,wengine wanaasili ya Uarabu,wengine wanaasili ya uafrica,wengine wana asili ya Uihindi mchangnyiko huo ndio unaifanya zanzibar iwe unique”
Huyu shamhuna nafirki sio Mzanzibari bali Mpemba
, kwani wapemba ndio wenye ujinga huo wakuwabagua kila asikuwa na rangi ya kuchanganya
Kwanza Nawapongeza Ma- Bafanner wa Zanzibar tutazidi ku- Appeal kwa FIFA ikubali Zanzibar kuwa member wa Fifa…via Face book . Naomba anaetembelea Face book atume massage yangu mbele.
@ Jabir
Umemamaliza maneno kwa kukumbusha Shamuhuna na Wazanzibari wenye majina ya ki kristo baada ya hizo family ulizomtajia. Nyengine ni familia ya akina Castico wa Kwahani Haerbart wa Kikwajuni…. Dorado ya Vuga na wengi´wengine Nduguzetu wa Kigoa, Wakichina, Waki Hindu n.k…
Mbona Zanzibar inawakristo wengi Sana ambao either familia zao mbili zimezaliwa Unguja au Pemba.
Hata hivyo naweza kutoa mawazo yangu juu ya U-uundwaji wa National Team ya Zanzibar ungefanyika kwa kutoa Star wa Kila Timu katika Visiwa Vyetu vya Unguja na Pemba badala yakua na Wachezaji wengi kutoka upande mmoja wa Kisiwa.
Nafikiri kama sikosei Timu ya Karume kule Wete Pemba, Mkoani, na Pale Chake chake. Zina wachezaji wazuri tu ambao wangependa ku- contribute to their Natinal team.
Congratulation to Zanzibar heros.
Hii ni ishara tosha kuwa zanzibar inaweza kupiga hatua na ina talent katika michezo, ukija katika siasa tuko juu,tatizo ambalo linatusumbua wazanzibari ni muungano wa kikoloni.
Naamini tukija kutoka katika koloni hili, Tanganyika hawatatupata tena kimaendeleo kwa kila nyanja,inshallah zanzibar heros tutawaona katika michuano ya FIFA na Olympic na mengine.
Tunataka kuona zanzibar inapiga hatua katika michezo ya aina zote, vipaji vipo zanzibar tanganyika imevikalia kwa muavuli wa muungano, shame on them.
Jamuhuri ya watu wa zanzibar kwanza.
Jamani tuusishie kuwafunga magoli tu, wakaja kutupiga bao kwenye katiba.
Tuhimize watu wakatoe maoni kwa wingi, huu ni wakati muhimu Eeeeeeeeeeeeeeeeh.
@SHAMUHUNA
hakuna haja ya kumtaka mtu kuleta CD wala nini kama una neno lete ukumbini usitishe watu,,kama una neno lolote la kuthibitisha mawazo yako lete, huyo unaemwambia alete CD pengine atakua hana hivyo haizuii wewe kusema unachotaka.
tunakusubiri utoe tu utumbo wako tukutolee maovu yako manake sisi hatusemei siasa tunasemea reality mambo uliyoyafanya na tunaushahidi kama uko tayari twende hata THE HAGUE.
watanganyika hawajaandika kwenye blog na mitandao yao nini tumewafanya,,nimejaribu kusoma hadi Global publisher wameeleza wamerejea tu lakini nini wamevuna kimya.
mchezo na cha bata.
Pamoja na kuwa hakuto huru tumepambana kiume na madola huru kama Kenya tukaenda nao 2-2 hadi mia na ishirini dakika tukafa kiume kwenye matuta manake pale hapana ufundi.
watanganyika na kutuibia kwao wamepigwa mbili bila na waganda nchi ndogo kabisa ile tanganyika ukipima na Uganda ni kubwa mara tatu,,wajinga watupu.
Tunaomnba Mzalendo mutuletee hiyo Video hizo za timu yetu yaz Znz Heroes au nitumie link ya email yangu Diqae@yahoo.com
NAWAPONGEZA ZANZIBAR HEROES KWA KILA SIFA
Hata hivyo walivyofanya kugawana mapato niko pamoja nao na wenye njaa wakachume vyao ,kama hii ZFA ina nia nzuri wangalipigania Uwanachama wa FIFA