WAZANZIBARI WAKATI UMEFIKA WA UWAZI

Written by  //  18/03/2012  //  Habari  //  Maoni 23

Napenda kutowa shukran  zangu za zati kuwashukuro wote waliyo changiya  kimaoni na wanaotaka kujitoyeya  kivitendo. Napenda kuwaeleza niya yangu ipo pale pale na sio kwamba nilileta ile mada au pendekesho  halafu nikaliwacha . ni  ukweli nilikuwa natafuta mtu atakaye weza kutusaidiya zaidi kama tulivyoona wengi walikuwa wapo tayari kuingiya katika filam LAKINI madairecta na watu wenye fani kama hizo  hawakujitokeza  nimewasiliana  na watu kule nyumbani ZANZIBAR  wako tayari kutusaidiya . Nimeona ni vyema kufunga safari na kuelekea  nyumbani ili tuweze kulifanyia kazi . nategemea kwenda nyumbani wiki hii. kwa wale waliyokuwa hawakuwepo au wajuwi nini namaanisha na wasome  chini tuuu watafahamu ahsanteni sana wazalendo

 

A/w
Ndugu wapendwa na waendeshaji wa huu mtandaoo asalam walekum .
KERO ZA MUUNGANO TUZITOWENI KWA VITENDO ;najuwa wewe unajiuliza kivipi ?
kwenye huuu mtandao kuna wasomi wa fani tafauti naamini hilo wamo wenye dplomer, dgree ,master , ect.
sisi wengine tuna fani ya drama na wamo wengine pia. TUKAENI TUANGALIYE JINSI GANI TUTAWEFIKISHIA HUU UJUMBEEE KWAMBA MUUNGANO TENA BASI.
MIMI NAHISI TUTOWENI FILAM ITAKAYO SHEHENI UNYANYAZAJI WA MUUNGANO. MIMI NIPO UK LAKINI HATA KAMA TUTAITOWA HII FILAM MAREKANI BASI MIMI NITAHUZURIYA. tuwafikishieni ujumbe kama huuu , humu wamo madairecta wazuri na wana historia wazuri tuchukuweni hatuwa hiii wazalendo. samahani nimeandika kwa speed kubwa maybe kuna makosa la maandishi lakini yatasomeka

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni yamefungwa.