Wanaume wa Cuf wako wapi?

Written by  //  03/11/2016  //  Vidio  //  Maoni 5

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 5 katika "Wanaume wa Cuf wako wapi?"

 1. Ukwelippt 03/11/2016 kwa 10:47 mu ·

  Dah…lini hii na wapi? huyu mwanamke kapona? hii si siasa ni visasi uonevu na chuki.

 2. Abdul Zakinthos 03/11/2016 kwa 11:28 mu ·

  video ya zamani

 3. salali 03/11/2016 kwa 9:41 um ·

  Huyo ndio mwana ngangari hakubali kuona rais wetu wa Zanzibar Maalim Seif Sharifu Hamad kuletewa fujo na m’beba taka tala katika soko la buguruni lazima awapashe hongera sana mwanangangari wa ukweli.

 4. MAWENI 04/11/2016 kwa 9:05 um ·

  Ama kweli wanume wa cuf walikuwa wapi?
  Ahsante dada yetu. Wasitutishe hao vitimba kwiri vya ccm.

 5. alfajiri 05/11/2016 kwa 8:01 mu ·

  Inasikitisha sana ndugu wa damu kuvunjiana heshima na kuhatarishiana maisha. Nakumbuka mnamo mwaka 2012 ndugu Mchangiaji aliposema LIPUMBA ni kibaraka Mbadala wana CUF Mlimjia juu. Ila Ukweli daima hushinda hata kama ni baada ya kuvuja jasho au kuchukua muda kidogo.

Comments are now closed for this article.