Video:Polisi Mahonda apokea rushwa – mbele ya camera!

Written by  //  02/10/2016  //  Vidio  //  Maoni 5

Although Zanzibar was a beautiful place to visit, officials were trying to take bribes from the moment we landed (like the Yellow Fever scammers in Arrivals, then the car hire scammers in the airport car-park). That may explain my frustration at the end of this video.

Although I had a valid ‘Foreigners Driving Permit’, OFFICER ALI here – of the Police Post in Mahonda – stopped us at his roadblock on the second day and demanded a $40 bribe to allow us to drive on. After a long debate, he pockets 60,000 Tanzanian Shillings (about $28) without a receipt – and still tries to shake my hand.

(For those commenting that we should not have paid, the other option was to wait there for TWO DAYS until after Eid, and then pay a court official!) The offence was not carrying my national driving license, even though I had already shown it to get the Zanzibar ‘Driving Permit’.

But the money went straight into his pocket.

By Pete Taylor

JF

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 5 katika "Video:Polisi Mahonda apokea rushwa – mbele ya camera!"

 1. chatumpevu chatumpevu 03/10/2016 kwa 6:13 um ·

  Hao polisi wa znz wamezoea kuwafanyia ukorofi watu wa cuf tu lkn na yeye mwache aone joto ya jiwe. Rushwa na kusahau kutekeleza wajibu ndo kawaida yao na kukubambikizia kesi zisizo na kichwa wala miguu. Kuna siku walinikamata na kosa la kutokuvaa helmet na nikafunguliwa kesi ya kumgonga mtu. Hizo pesa ni ushahidi tosha wa kupokea rushwa. Wanalojua wao ni kuzuia milutano ya cuf isifanyike badala ya kutekeleza wajibu.

 2. Msemaji mkuu 03/10/2016 kwa 7:55 um ·

  Panapo udhia penyeza rupia!!!

 3. Abdul Zakinthos 03/10/2016 kwa 10:11 um ·

  kwanza simuonei huruma babu huyu si wamwanzo tuliona ile video before ya yule Ali nae akipokea rushwa kwa mzungu

  Pili huyu mzungu amesema ameanza kulanguliwa kutoka AIRPORT CHETI CHA CHANJO ,KUKODI GARI NA SASA AMEMALIZIA TRAFFIC

  INAONESHA ALIKUWA ANA NIA MAALUM ILA NI VIZURI SANA JAPO HUYU MZEE ANADUNDA NAMAGWANDA SAIVI

 4. digital 03/10/2016 kwa 10:38 um ·

  Mimi nadhani Hapo Yupo Katika Kukushana Mapato Yandani Na Sio Kuchukuwa Rushwa Kama Wengi Wanavyozania.

 5. Mona 05/10/2016 kwa 7:53 mu ·

  Sio askari tu hata wakuu wa mikono ukitaka kujuwa nenda kauliziye cheti cha kuzaliwa uone huwo mtandao wawo !…

Comments are now closed for this article.