Video: WIZI WA SHILINGI MIL 369, MALI YA CHAMA CHA WANANCHI CUF:

Written by  //  10/01/2017  //  Habari  //  Maoni 4


Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 4 katika "Video: WIZI WA SHILINGI MIL 369, MALI YA CHAMA CHA WANANCHI CUF:"

 1. salali 10/01/2017 kwa 10:23 um ·

  Kumnyimwa mkono wa rais Maalim Seif Shariff Hamad kwa Shein ndio chuki za kiwendawazim za magu na mamluki wenzake kuendelenza kukinyima haki chama cha wananchi CUF.

 2. MAWENI 10/01/2017 kwa 10:31 um ·

  Hivyo ndivyo wanavyo kausha hazina ya Dola ku kuendesha chama chao cha ccm.
  Kumbe huyo proffessor wa uchumi wa yumo kwenye njama hizo. Akipewa uwongozi wa nchi au hata hicho chama itakuwaje?

 3. sadimba 11/01/2017 kwa 9:09 mu ·

  Kingozi wa juu wa nchi ndio taswira nzima ya utawala, toka siku ya kwanza nilipouona uongoze wa pombe nilitegemea mambo yatawenda kilevi tu. Na viongozi wengi walipoingia madarakani walikuja kwa mbwembwe na madaha lakini mwisho hudhihirika uchui wao uliovishwa ngozi ya kondoo.

  Nimemsikia akiwaomba watanzania wamuombee lakini nimeamini kweli anataka kuombewa maana anajifanya anapinga mafisadi lakini ufisadi ndio uliomuweka pale akaanza kutukana watu na kuleta jeuri. Kwana angejitumbuwa mwenyewe maana wizi wote huu unabaraka za ikulu na kwa kumtumia kungwi wao wa mutungi na mwari wao Lipumba.

  Tumeviona vituko vya mmagu kutumia vyombo vya dolla na kuitia katiba mfukoni, ama kweli nyerere hakukosea kukataza mnyamwezi asipewe uongozi. wamekutana wanyamwenzi, na Pumba ikiingia pombe hunuka ndio huu uoza tunaouona sasahivi.

 4. Abdul Zakinthos 12/01/2017 kwa 10:05 um ·

  He? basi hakuna privacy Tanzania kama mambo wazi kama hivo mtu yoyote akienda anapewa details za nini kimetokea bank.

Comments are now closed for this article.