2 Comments on "Video ; Athari za Zanzibar kukosa huduma za kibenki kuu"
kifuudume17/12/2012 at 6:11 um ·
Mama angu mzazi, mimi hii Video sikuwahi kuina wala hili kongamano hili kulisikia sasa na pata picha kamili kwanini Mh Mansuri alifukuzwa kazi na Mashehe kukamatwa na vyombo vya habari kufungiwa kwani hili kongamano tosha kuwafunuwa wanzanzibari wote na kuitoa nchi haraka iwezekavyo. kwa hivyo ningeomba hii video irushwe kwenye mitandao mengine kama face book
ili wanzanzibari wasikie wamalize maoni yao kwa kishindo.
MAWENI18/12/2012 at 10:12 um ·
Kongamano hili ni lisikia lote. Vedio hii kuisikia mara ya pili nime weza kufahamu kwa undani mbinu za moloni Tanganyika kuimeza Zanzibar. Lo! Naona hata wame mshinda mwalimu wao Mgereza.
WAZANZIBARI TUJIKAZE KIKWELI. WAKOLONI WETU WATA FANYA KILA HILA ZAKUTUVUNJA MOYO . KUKAWILISHA UHURU WETU. HILO LAKUTOA MAONI JUU WA MUSTAKBALI WA ZANZIBAR , NI KHATUWA NDOGO KATIKA SAFARI YETU YAKUTOKA KWENYE ” NAFAQ ” ( TUNEL YA KIZA)

ZANZIBAR KWANZA!