Uwongozi:Mzalendo.net

Written by  //  01/03/2016  //  Matangazo, Habari  //  Maoni 23

Huu mtandao sasa umevamiwa na wanakisonge kuja kuwatoa watu kwenye malengo, baada ya juhudi zao hapo nyumba kujaribu ku hacked huu mtandao na kushindwa, sasa wameamua kila kwenye blog kufungua id tofauti kuweza kuhujumu hoja.

Hivyo basi naomba huu mtandao kufanyika marekebisho, maoni yote tuyafanyie approve. Na pia tunawaomba members kuwa wavumilivu, matusi hatutavumilia, tutakufungia moja kwa moja bila ya onyo,tumeshatoa matangazo mengi juu ya matusi.

Mtandao wetu unaanza kupoteza haiba yake yake kutokana na hawa wana maskani. Tunahitaji mabadiliko.

By kiongozi

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 23 katika "Uwongozi:Mzalendo.net"

 1. baalawy 01/03/2016 kwa 2:22 um ·

  NASHUKURU SANA BWANA GHALIB KWA KULETA HIYO RAI MAANA JAMATI LIMEINGIA GOLO

  WAHAFIDHUNA WA KISONGE WAMEJAZANA HUMU HATUPUMUI

 2. Mody72 01/03/2016 kwa 2:48 um ·

  Ni kweli matusi ni mengi mno mpaka unajiskia
  tabu kutoa maoni. Heshma ya mtandao wetu imepun
  gua. Tujifunzeni kuacha matusi

 3. saakasrobo 01/03/2016 kwa 3:11 um ·

  Wafungiwe kwanza wanaoleta sera za kibaguzi ukianza kutowa maoni ya kibaguzi basi hatasemeheka mtu atapakwa tu kwa matusi

 4. ally haji 01/03/2016 kwa 3:30 um ·

  A.aleikum mm c mchangiaji lkn hua naingia na kusoma maoni tu.Kiukweli najifunza mengi sana na napata habari nyingi sana.

  MM NADHANI MUEKE LIMIT TU KUSIWE NA MATUSI WALA KASHFA ILA WATU WAJADILI HOJA KM KAWAIDA.

 5. hafidh ally 01/03/2016 kwa 3:39 um ·

  RABDA HUU MTANDAO MUUFUNGE KABISAA LKN KWA KUTUFUNGIA ACCOUT ZETU BADO HAIJAWA DAWA KABISAAA…..HUMU NDO MLIFANYA CHAKA LENU LA UHUNI,,,,,,UZUSHI,,,,,UFISADI,,,,KUDUMISHA UBAGUZI NA MENGINE MENGI,,,,,,,,,,KWAIYO NAKWAMBIENI HIVI NYIE MIKAFU MMECHELEWAAAA NA TUTAKULA SAHANI MOJA MARA HII..

  MNAVYOTAKA TUPO TAYARI,,,,,HUU MTANDAO WENU UNA HAIBA GANI KWA MFANO ZAIDI YA MATUSI NA KEJELI TENA MPO SW MNA MATUSI KULIKO WASENGE…..HONGERENI.

  #KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

  • Abdul 01/03/2016 kwa 8:40 um ·

   sishangai mzee wa posho unalipwa 7500 na kugaiwa bando za bure , posho itakutowa roho

 6. Truth will set free 01/03/2016 kwa 4:12 um ·

  admin ni bora kuweka approval ya comments kwa sababu wengine hawana hoja za kuchangia isipokua matusi na walikua wanafundishwa matusi ndio km sera au kampeni vile ndio unaona hata maskani zao hata majumbani mwao wanakosa heshima kwa kujengeka kwa matusi.
  hii site sio ya matusi wala mipasho watu wengi wenye heshima zao la lengo sio siasa kama wanavotasfiri hao watukanifu lengo kuu ni kujadili mstakbali wa ndugu zetu wazanzibar na hali ngumu ya unyanyasaji na umasikini ulokithiri ukiwa CCM au chama chrngine hiyo ndio hali halisi ya znz na sio vyama Zanzibar kwanza siasa baadae .
  ni vyema kuchuja comments kuweka heshima hii site sio ubao wa kisonge na kachorora wao wanatumia siasa zilizokuwa zimepitiwa na wakati kuthibitisha hilo angalia sera zao zote katika uchaguzi majukwaani ni matusi baada kuwaambia wananchi watawafanyia nini katika miaka 5 ijayo imekua ni sehemu ya mipasho tuu tena unaweza kujiuliza ivi kweli maneno hayo yanatoka katika midomo ya mashababu au mashoga hatari sana P

 7. hafidh ally 01/03/2016 kwa 4:18 um ·

  NYIE NDO MASHOGA MNOKAA HUKU NA KULETA HABARI ZA KISENGE,,,,,,,MNABANA PUA ATI OOOO “‘KITINE APEW SHANGA ATUNGE”””” KM C UKHANITHI KITU GANI ICHO

  • Abdul 01/03/2016 kwa 8:42 um ·

   posho 7500 unayolipwa kisonge na ccm wenzio mijicho inakutoka kma unatolewa roho

 8. alby 01/03/2016 kwa 4:46 um ·

  kiongozi wachelewa nn ondosha uvundo nnuso humu wanatuharibia….

 9. hafidh ally 01/03/2016 kwa 4:50 um ·

  Km kuharibu mshajiharibia zamani yakheeeeeeeeeeeeeeee,,,,,,,,haa mwata nfuingia kwa kusema kweli aloooo,,,,,,,ela nawambia nimewatilia nia na nipo na nyie VISHTUNDA

  • Abdul 01/03/2016 kwa 8:44 um ·

   mungu akipenda unaweza kudhurika na kupata hofu kutokana na dhamira yako ikiwa ni ya shari na kila mwenye shari kama wewe na wazee wote wa poshoo 7500

 10. zamda Haroun 01/03/2016 kwa 4:54 um ·

  Hapana msibadilishe wazee tujitahidi nasisi kuweka usawa

 11. Truth will set free 01/03/2016 kwa 4:55 um ·

  admin unaona hiyo hali hapo juu ya mipasho tungekua na video confrence basi ungeona kidogo machoni hoja ndio muhimu mipasho humu sio sehemu yake
  comment kwa hoja na wala sio matusi kwani matusi sio deli na kila mtu anajua kutukana lkn tunatakiwa kuchunga ulimi wake na ukitoa matusi sioni kama unaongezwa mshahara wa posho ya kutukana tuwe wastaarabu na heshima sisi wazanzibar ni waungwana sana matusi sio hulka yetu

 12. salali 01/03/2016 kwa 5:16 um ·

  Hapo mtaturudisha katika kuchangia hoja zinazotakiwa kuchangia. Kweli mtandao ulishaingiliwa na familiya ya Jecha dawa yao ni kuzuiyo utumbo wawo usionekane ktk mzalendo net. Niya yao ilikuwa ni kupoteza mada na kwanza kuleta mambo yao ya kisonge. Niafadhali mmewastukiya mabunju maji.

 13. zenji_forever 01/03/2016 kwa 5:25 um ·

  Attention

  Hawa madhalim wanazidi kupazwa. inadhirisha kuwa kumbe ukweli unaotolewa humu ulikuwa unawauma sana.

  Hawa Kisonge laanatullah kuingia humu is not a coincidence bali ni mkakati unaoratibiwa na Ccm .Hao wapo kazini hapa wameajiriwa kufanya kazi hii wapate tonge ! .Ikiwa wanaweza kupita mitaani mchana kupiga raia watashindwa kutukqna humu .

 14. zenji_forever 01/03/2016 kwa 5:30 um ·

  Hawa si wa kuwaonea huruma ni mahayawani
  Kwahivyo ile sera ya Msichokozeke kwenye Mzalendo isiwepo kabisa

  Haraka sana Futa Delete Futa Delete them now .Ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni.

 15. rasmi 01/03/2016 kwa 6:16 um ·

  Ingelikua hawa watu wana mawazo ya kujenga, hoja zinazokijenga chama chao mbona wangejijengea heshima, yupo mzee Kondo hapa mbona havunjiwi heshima licha ya kuwa yeye ni ccm?

  Mimi nahisi hawa wengine huu mfumo wa vyama vingi wameupokea shingo upande, kwanini uwe ni adui ikiwa uko upande haki? Chagua chama unachopenda ila simamia haki, tatizo linakuja pale unapoikandamiza haki ya mwananchi na kutumia nguvu up end we kwa lazima!

  CCM isijidanganye kwamba itawavutia watu kwa mbinu chafu na kuitegemea dola kuficha maovu. Njooni kwa hoja, iwapo lengo letu no moja, ama ikiwa lengo lenu ni fujo basi sina budi ila kusapoti hoja ilioletwa.

 16. Abdul Zakinthos 01/03/2016 kwa 6:37 um ·

  Bwana @Ghalib na wachangiaji wengine tumsalie mtume kwanza mi maoni yangu ni haya…

  1. Kila mtu awe huru kuchangia anachotaka.. bila kuwajua hawa akili zao tutashindwa
  kuwadhibiti..

  na ndo maana uchaguzi huu tukawashinda kwa sababu tuliwasoma miaka yote tukajua upeo
  wa akili zao..wengi waliuliza hiyo mikakati ya uchaguzi tupewe ,kumbukeni makongamano
  Mazrui akasisitiza na Jussa hatuwezi kuitaja sasa ,kwa kuwa wataijua…

  2. Sasa ikija mtu kutokana , apewe onyo mara moja mara ya pili afungiwe

  lakini asifungiwe mtu kwa kutoa maoni yake as long as hayana matusi

  KUMBUKENI HATA BATTERY INA + NA –

  Kwa hiyo huwezi ku improve kama hujapata critics

  tunaomba tusiwafungie hawa kwanza ni mtu yule yule maana hata uandishi wao unajua wanarudia yale yale

  Tukiwafungia tutakosa kuwajua level zao..

  ahsanteni

 17. Mrfroasty (Ufundi) 01/03/2016 kwa 8:21 um ·

  Salaam,

  Utaratibu uliopo (kuhusiana na kadhia ya matusi na lugha chafu) ni kuwaripoti kwenye inbox ya admin@mzalendo.net.

  Tunaomba mtu aeke jina la mtumiaji na chapisho alilofanya ukiukaji wa matumizi ya kutoa maoni.Njia mbadala za kiufundi kueka pingamizi la utoaji maoni zipo na zimekuwa zikitumika mara kadhaa.

  Shukran

 18. Taabu 02/03/2016 kwa 2:00 um ·

  Nashukuru uongozi kwa kuliona hili nidhamu ni kitu katika umri wa mwanadamu,

 19. Abdullmalik 02/03/2016 kwa 8:33 um ·

  Ushauri wangu kila mtu aachiwe kutoa mada au kukosoa mada kwa mtazamo wake, kila mmoja ana utashi wa chama chake, jambo muhimu la kuzingatiwa tusiwe na matusi. ikiwa wewe ni CCM na mimi nI CUF sote ni Wanzanibar na ni WaTanzania.

 20. sadimba 09/03/2016 kwa 7:07 mu ·

  Tuwe waungwana jamani maneno ya bandarini au marikiti hayasaidii kitu, hivi kama mtu ni mchunga lakni yeye mwenyewe amekata kamba itakuwaje. Tuwe waheshimiwa wa kujiheshimu sio wa vilemba vya ukoka.
  Mtu unaweza kutapika kuondosha dukusuku lako na hii ndio democrasia ya kweli sio tena kuanza kupanda juu ya kinu.

Comments are now closed for this article.