Takuimu ya wananchi wa Zanzibar ,imebaini kuwa Zanzibar kuna kambi nyingi za Jeshi la JWTZ kuliko Tanganyika.

Written by  //  20/04/2017  //  Habari  //  Maoni 2

IMG_8622

Takuimu ya wananchi wa Zanzibar imebaini kuwa Zanzibar kuna kambi nyingi za kijishi kuliko Tanganyika na asilimia 99% ya wanajeshi hao ni watanganyika .

Wazanzibar wanajiuliza jee kumiminwa kambi hizo kila kona mijini na mashba kupita kiasi lengo kubwa ni nini?.

Wengi wamekua wakisema hii yote ni muendelezo wa kuikalia kijeshi Zanzibar na kuleta vitisho zidi ya Wazanzibar .

Tumeshuhudia uchaguzi mkuu wa 25 october 2015 pale jeshi la JWTz kuvamia uchaguzi mkuu pale Bwawani kwa silaha za moto na kutapakaa mitani ili kulete hofu na vitisho zidi ya wananchi wa Zanzibar ndani ya ardhi yao walio zaliwa bibi na babu.

Hali hii ya JWTZ haikuishia hapo tu,tumeshuhudia mara kazaa kupita mitani wakiwa na silaha mzito na vifaa vya kijeshi bila kutowa tarifa kwa wananchi wa zanzibar na hali hii inawafanya wananchi wa zanzibar kuishi kwa hofu.

Ukisabu kambi zote za zanzibar ningapi na Tanganyika ni ngapi ?utaona Zanzibar kuna kambi nyingi za kijeshi na wanajeshi Asilimia 99 si wazanzibar.

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 2 katika "Takuimu ya wananchi wa Zanzibar ,imebaini kuwa Zanzibar kuna kambi nyingi za Jeshi la JWTZ kuliko Tanganyika."

 1. Mzambarauni Takao 21/04/2017 kwa 2:09 um ·

  Hiyo ndiyo weakness yetu Wa Zanzibari. Kila mmoja anamsukumizia mwenziwe ajitowe muhanga. Bila ya kujitowa muhanga nchi haitogomboka ng’oo.
  Nguvu ya jeshi haiwezi kuipiku nguvu ya Wazalendo wakifura. Lakini inataka wote tuwe kufa kupona.Sio mimi nife wewe bukheir khamsa wa ishirini, Mifano mingi ya majeshi kushindwa kuwashinikiza wananchi wanapoamuwa.

  Poland, Bosnia, Sarajevo, Ethiopia, Tunisia, Egypt, Burma, Brazil, Iran, Gambia na nyenginezo.

  Lakini kukaa Mkunazini kwa Battashi na kucheza keram, zumna na bao na kula mishikaki na mbatata za urojo, na porojojo, basi itakuwa ya guju. Zanzibar itakuwa ni koloni la Bara mpaka atakapo Allah SWT.

 2. Tengoni 22/04/2017 kwa 4:16 mu ·

  Sio JWTZ tu na usalama wa taifa pia TISS. Asilimia kubwa ya hao TISS wapo Zanzibar. Na hayo tumeyataka wenyewe, viongozi wanaojiita wasomi, wakati wa Karume, walikuwa hawapo hao,. Karume alikuwa hataki mambo proper documents inasema hivi au vile, nyerere akafutika documents zake, akijuwa watakuja viongozi baada ya Karume watakaonasa na mtego wa proper documents, ndio hawa, mkataba wa muungano ndio ulivyosema.

Comments are now closed for this article.