SMZ imchukulie hatua alie mdhalilisha mtume Muhammad (S.a.w ) kabla ya waislamu kuchukua hatua

Written by  //  25/12/2016  //  Habari  //  Maoni 14

Alie pembeni ya waziri wa mambo ya ndani, Bwana Abdallah u pande wa kushoto ndio alie mdhalilisha Mtume wetu Muhammad (S.a.w )

Alie pembeni ya waziri wa mambo ya ndani, Bwana Abdallah u pande wa kushoto ndio alie mdhalilisha Mtume wetu Muhammad (S.a.w )

Assalam Alaikum

Tumepokea video hii leo inayo mu onesha bwana Abdallah anae julikana, akimtukana mtume wetu Muhammad (s.a.w ) ,kwa mujibu wa uislamu kwa kosa alilo fanya hukmu yake ni kifo.

Sisi sote waislamu ulimwenguni tumechukizwa sana kwa udhalilishaji huu,nasi umma huu wa kislam tunatakiwa tumlinde na tumtetee mtume wetu Muhammad (s.a.w ) Kama walio tangulia kabla yetu.

Tunalaani sana sana,na tunaiyomba serikali ya mapinduzi ya Zanzibar chini Rais mohammed Shein kuchukua hatua za kisheria kabla sisi waislamu kuchukua hatua mikononi mwetu.

Kila muislamu kwa matendo haya ya kumkashifu mtume tunatakiwa tulaani na tuuchukie na tumlinde mtume Muhammad s.a.w.

Nimeshundwa kuiweka video Wallah..

Maasalaam

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 14 katika "SMZ imchukulie hatua alie mdhalilisha mtume Muhammad (S.a.w ) kabla ya waislamu kuchukua hatua"

 1. msafiri 25/12/2016 kwa 9:09 um ·

  A.aleikum, tunaomba hiyo video ili tujue alilo zungumza. Pumzi tu zinamuhangaisha, Allah amuongoe.

 2. MAWENI 25/12/2016 kwa 9:17 um ·

  Hilo ndilo mmoja ya malengo ya huwo unaitwa muungano ulokuja baada ya uvamizi miaka 50 iliyo pita.

 3. Alhabib 25/12/2016 kwa 10:04 um ·

  Allah atamhukum

 4. shawnjr24 25/12/2016 kwa 11:29 um ·

  Huyu kamtukana Seif Sharif, Mtume (s.a.w ) na M/mungu kwa jumla ukiiangalia hio video. Pia huyo aliekuwa ana mrekodi nae si alikuwa muislam pia kwanini asinge chukuwa hatua badala yake anacheka?
  Waislam wa zanzibar wapole kama maji ya mtungini, Tokea Sophia kawawa kusababisha baadhi ya Wazanzibari kuuwawa na kupata kilema. Tumebaki waislamu majina tu hatuna mipango wala harakati za kuipigania dini ya Allah

 5. Jino kwa Jino 26/12/2016 kwa 5:01 mu ·

  @Shawnjr24 Ni kweli kabisa tumebakiya waislamu majina tu na hakuna woga kama sisi tunapenda dunia kuliko akhera tumekuwa waislamu majina na wa maneno tu na si wa vitendo na hii ndio shida inayotupata Wazanzibari hatuna misimamo leo tumeshindwa hata kuandamana kwa ajili ya uamsho lkn tunaandama kwa ajili ya siasa ,wakati siasa haina mpango wwote na haitupatii jambo lolote si hapa duniani na huko akhera tunakokwenda leo ingalikuwa tunaandama kwa ajili ya ALLAH kwa ajili ya dini yetu basi hata kama utauliwa au utakufa basi utakuwa shahid leo wangapii wameuliwa kwa ajili ya siasa leo wangapi wametiwa vilema kwa ajili ya siasa wangapi wamerepiwa kwa ajili ya siasa ni wengi ni wengi hawasemeki.Tunatakiwa tujitambue na tujue tuko hapa duniani kwa ajili ya nini .Lazima tuwe na MSIMAMO .

 6. Z.I.7 26/12/2016 kwa 8:25 mu ·

  Admin naomba hiyo vidio USIIWEKE HAPA kwani ni watu tofauti wanaopitia humu ni kama kuitangazia dunia nakumdhalilisha MTUME na UISLAM kw jumla anaetaka aitafute na pia si vizuri kuirusha ktk magroup.

  na tuataulizwa jee! hii ndio jazaa yenu kwa uhai na pumzi tuliokupeni?

  TUOMBE SANA SANA MAGHFIRA.

 7. moyo 26/12/2016 kwa 8:59 mu ·

  Ndugu yangu @jino kwa jino sadaqta.

 8. Hakim 26/12/2016 kwa 11:35 mu ·

  Naomba hii iwekwe kwani, Uislam umetuelekeza kusems kweli. Tuwekeeni alie kuwa nayo. Laanatu llah kwa kashfa zozote alizotoa. لعنة الله

 9. salaam 26/12/2016 kwa 1:59 um ·

  Alosema keshatoa udhuru Na kuomba samshani ya kuwa aloyaosema alikuwa amelewana hakujua kuwa Anachukuliwa video
  Kaomba msamaha kwa ALLAAH Na watu wote
  ALLAAH Ndio snaejua zaidi hukmu yake

 10. salali 26/12/2016 kwa 4:08 um ·

  Bado tu hajakeketwa keketwa huyo m’bwa au kafichwa na m’bwa wenzake?….

  • Hakim 26/12/2016 kwa 4:57 um ·

   Sadaqta maneno yako Salali kafichwa na hao majibwa wenzake kwani ni tabia zao , kwa mfano hai ni huyu mama ambae alirekodi video za aibu huko UINGEREZA alikuja hapa Zanzibar jibwa moja la CCM amemficha kwa kumuoa haswa na aibu zote na laana zote alizofanya ilihali ni mtoto wa KIISLAM.

   Hii inawezekana kabisa , kwani kisonge waliandika CCM HATUNA UCHUNGU NA UISLAM TUNA UCHUNGU NA CCM jee SMZ itafanya nini na kauli zao ni hizi. Na vitendo ni hivyo vya kuoa walio ritadi. Tukumbuke vitendo vyo kwa upande mwengine Padri wa kanisa kauwawa mpaka pesa walipewa FBI na kashikwa muislam hana hatia, sheha wa CCM msako usiku na mchana na sheha kutibiwa INDIA. Hawa ni majibwa tu. wakihudhuria Maulid tuwakatae hawampendi Mtume chochote ni wanafiki tu. VIBAO AU ALSHABABU NDIO HUKUMU YAO KUANZIA SASA,, HUU NI WITO WETU KWA KILA MUISLAM.

 11. abuu7 26/12/2016 kwa 6:28 um ·

  silaha yao kubwa ni huu unaoitwa muungono. juzi Zanzibar kisiwani pemba walikataa kumtaja sheni kwenye hutba ya ijumaa. waakaanza kupiga watu

  ifike wakati sasa kuuandaliwa handaki la kuanza kuwateka moja baada ya mmoja. hii ni najis kubwa kuongozwa na viongozi wenye uris wa firauni ccm

 12. Abdul Zakinthos 26/12/2016 kwa 7:21 um ·

  NIMEONA video mbili moja akiomba radhi na nyengine ya kutengeneza eti askari jamii wamemkamata, hata haielekei

  Akitokanwa Padri juzi tu wamefukuzwa kazi askari bara zaidi ya 7 kwa kumzalilisha Padri
  kwa sie wala msishuhulike ataachiwa anadunda tu anajua anachokifanya

 13. daru 26/12/2016 kwa 7:47 um ·

  =”IMG 2437 – YouTube”

Comments are now closed for this article.