SMZ haina pesa za kuwapa mikopo wanafunzi wa Vyuo vikuu

Written by  //  24/10/2016  //  Habari  //  Maoni 13

FB_IMG_1477313703884

ZANZIBAR: Rais Bandia wa Zanzibar Balahau Shein amesitisha utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mpaka Serikali ijiridhishe na utaratibu wa utoaji mikopo hiyo.

– “Hatutatoa mikopo mwaka huu mpaka hapo tutakapokamilisha kazi ambayo tumeanza kuifanya ya kupitia upya utaratibu wa utoaji mikopo hiyo ili kuhakikisha inatolewa kulingana na mahitaji ya sasa ya nchi na kwa wanaostahili,” amesema Balahau Shein.

Kuhusu Mtunzi

BLOGGER/DEVELOPER/JOURNALIST/BROADCASTER

View all posts by

Maoni 13 katika "SMZ haina pesa za kuwapa mikopo wanafunzi wa Vyuo vikuu"

 1. Papax 24/10/2016 kwa 1:26 um ·

  Kusema keli hii smz, inasikitisha ikiwa hata pesa za kuwa somesha watoto wao elimu ya juu hawana , halafu wanakaa wakiuponda muungano haliya kuwa hawajiwezi kwa lolote

 2. Mona 24/10/2016 kwa 1:45 um ·

  Si muuze mbata na wani kama mmeshindwa kuwakopesha vijana pesa za masomo ambao ndio viongozi wetu wa sasa, pesa za wananchi mnampatiya domo kupinda kwenda kwa wahanga kumroga Rais wetu Maalim Seif Sharif Hamad. Ili muendelee kutawaliwa na Tanganyika. Wawo wenyewe jikoni kulala paka itakuwa nyiye sharmuta / (slampa).

 3. moyo 24/10/2016 kwa 2:19 um ·

  Kazi ya uhakiki wa wanafunzi wanaostahiki kupewa mikopo haiwezi kuchukua mwaka mzima, balahau kama huna pesa za kuwapa wanafunzi ni bora ukasema kweli, msema kweli ni mpenzi wa mungu kama asemavyo bosi wako.

  Sijui na hio mishahara inapatikana kama kawaida au ndio nayo mtazuia mpaka upite uhakiki wa utaratibu wa utoaji wa mishahara?

 4. Shakush 24/10/2016 kwa 2:30 um ·

  Allah wajalie waZNZ wajue wapi wamekosea.

 5. Sina Ubaguzi 24/10/2016 kwa 3:15 um ·

  Hongera Kwa Kukiri Kuwa Huna Pesa. Na Vip Laki Latu Ulizotuahudi Kutulipa Wafanya kazi Mwaka Ndo unamliza huo na mwenzi wanne unakaribia…..!

 6. sale 24/10/2016 kwa 4:43 um ·

  Walitegeme kuuza fungu mbaraka wapate kulipa watu lakini jitihada basi haijakamilika

 7. mohamed 24/10/2016 kwa 4:44 um ·

  Aah kwani si mumeungana na tanganyika. au vipi?
  Juzi tu Magufuli katatua kwao,nyie kaeni tu.Watu wanajenga nchi sisi tunajenga chuki.

 8. Kwetu 24/10/2016 kwa 5:25 um ·

  Hahahaaa hana kitu balahau cheni na balozi mkaazi

 9. huzurungi 24/10/2016 kwa 7:35 um ·

  Khaaaa tobaaaaaq sishangai kuahamna pesaaa Hanna zakuwalipa mshahara wafanyakazii walimu madaktari mavkosi ila wakubwa waserlali mnakopeshana magari mamilioniiii NA kujengaaa majumbaaa nchi hiii Dhulmaaaa tuuuuuu .

 10. Jitu kali madevu 24/10/2016 kwa 8:40 um ·

  Ndiyo maana sisi tukaitwa watu wa kuzimu, maana yake watu tulio kufa,nchi za wenzetu wanafuzi wana soba bure, na mapesa wana lipwa ,kwani wanajua watapo pata elimu, nchi itakuwa na uwezo wa kujitegemea na kujenga uchumi, kwa kile ulicho kisomea,angali wenzetu chaina juzi tu,walikuwa masikini,lakini sasa ndiyo tajiri wa dunia, kiuchumi na technology, sasa hivi wanajenga (lift) ya kwenda kwenye Mars,badala ya kwenda kwa Rocket.
  Sisi kilasiku malumbano ya kijinga tuu.Trunp anasema Afrika hatuna akili nilazima tutawaliwe
  Tena.kama mwanzo,naami hiyo nikweli.maana Deveva mzuri niyule ambaye anaona hawezi kuivusha lori kwenye daraja mbaya,au bovu akasema wacha nimuachie anae waza ,aivusha salama.

 11. Z.I.7 25/10/2016 kwa 8:41 mu ·

  WAO wanasema ndio wenye haki ya kutawala na kuwa ndio serikali sasa hao apo vyeo wamejipachika ofisi wamekalia lkn hakuna linalokuwa kwa sababu serikali ni ya wanaadam na kwa mabavu haiwezi kusimamia na kuendesha mambo ya wanaadam labda pengine ya wanyama.

  kwa mustakbal wakidunia leo lazima ukubali kujumuika na ukubali kuwa wamoja na ukubali wewe ni sawa na wengine na uwe unawaza positive sio kila leo kuwaza mbinu chafu na umimi vyenginevyo utaikimbia ofisi huku unaitaka kama vile chui anavyotolewa mbio na mbwa mwitu kwenye windo lake , anakimbia huku shingo imegeuka nyuma anatizama hajuwi nini kimetokekumbe ni nini!

  ni uroho na ubinafsi wake.

  kama alivosema mchangiaji mwengine hao wanafunzi ni mamilioni mangapi wanaotaka kuhakikiwa mpk ichukuwe mwaka?

  hilo lishabuma na DONGO linakuja kama lilivoombwa.

 12. Abdul Zakinthos 25/10/2016 kwa 9:37 um ·

  wakachukue 4.5 yao ya mgao,halafu si juzi tu Mohamed Aboud alisema TRA pesa ya Zanzibar yote inabaki ZNZ sasa na watumie hiyo.

 13. Asili haipotei 26/10/2016 kwa 2:32 um ·

  eee balahau achia ngazi hamna mnachokiweza mmefeli zamani tu mkajinasibu majukwaani na kuwapumbaza wachache waliokua bado hawajaamka wanaokusupportini aaa misada yakuekewa vikwazo hamuitaki mtajiendesha wenyew kwa kipi mlonacho baraka yakutujazia maskani tu kuwafanya wanachamawenu wachache walolala wazid kulala mara hii wazanzibari wamewaumbua nyie seif sharif katulia mdogo mdogo mlitaka aamuru wanachama wake waingie barabara ili mpate kuuwa watu ila kakuwezeni kakushindeni kwa mengi tu co kwa kura tu saiv mlipo mpo madarakani ila taabani nafsi zenu seif sharif anawakereketa kwenye roho zenu na km imeandikwa yakwake kua bac itakua tu hata mfanyeje just is the matter of time and time don’t lie

Comments are now closed for this article.