SERIKAL;I YA MAPINDUZI ZANZIBAR MNALIPI JIPYA MWAKA HUU
Written by ali a mohamed // 31/12/2012 // Habari // 8 Comments
Napenda kuwauliza hawa viongozi wa serkali yetu ya Mapinduzi Zanzibar jee mwaka huu
watatuletea maendeleo gani?
Mana tunasikia na kuona viongozi wengi duniani huwaeleza wananchi wao kuwa wataendelea
kuimarisha hali ya uchumi na kuwafanya wananchi wao wawe na hali bora ya kiuchumi na kuwapatia kazi ili wawe na hali bora ya kimaisha na kiuchumi
Hi serikali yetu kubwa lao ni kuimarisha amani na utulivu na kuimarisha chama na mapinduzi na kubwa kwao ni kufunguwa misikiti
Sasa nawauliza jee hayo ndio yatakayotuokoa kwenye hali hiingumu ya maisha?
Au mwaka huu mtakuja na lipi la kimarisha dini na kucha uhasama?
Nawatakia heri ya mwaka mpya





8 Comments on "SERIKAL;I YA MAPINDUZI ZANZIBAR MNALIPI JIPYA MWAKA HUU"
Kufungua Misikiti si kweli na katika jambo ambalo hawalitaki basi ni hilo kwanza viongozi hao na uislaam ni mbali mbali ama kwa jambo ambalo wanalo katika ajenda zao ni kuzidi kuwakamata watu kwa uonevu basi. Lkn hawa wanaojinasib wote watakamatwa na Allah kabla ya kufa na baada ya kufa kwao inshallah.
@ Star
Hapo umezungumza, kubwa lao ni kuwatia ndani mashekhe, kuwaodhulumu waislamu, kuimarisha makanisa na mapadri wao.
Ndugu wanamzalendo, kuna video za othman maalim katika youtube anaelezea maisha ya sayyidna omar bin khatwaab (1, 2 and 3) kama kuna mtaalamu naomba atuwekee hapa kwenye mzalendo asaa-kheri viongozi wetu wa zanzibar huenda ALLAH akawajaalia wakaona jinsi gani uadilifu katika uongozi unatakiwa uwe ili uweze kuokoka na moto wa jahannam.
Wabbillahi Tawfiq.
1. Hakuna maendeleo itakayoleta kwani UBEPARI hauwezi kumkomboa mtu ila AGENDA walizofikishiwa na America zipo na watazishusha moja baada nyengine kama ilivyopangwa.
2. Hao wanaifunga MISIKITI sio kuifungua, ndio ukawaona wanaipangia mashehe, hutuba wanapeleka ili misikiti isifunguke.
@Star
3. Huyo Sayyidna OMAR RA alikua ni Mtawala wa Dola ya Kiislam, na hao kina Kikwete/Sheni ni waajiriwa wa America.
4. Hali ngumu ya maisha itaondoka tukisimamiwa na UISLAM ikahukumu sheria yake juu ya ugawaji wa rasilimali za umma kama nishati sio kuzibinafsisha.
Mola ajaalie uwe mwaka wa kuanguka UBEPARI – AMMIN.
Tuna matumaini kwamba Wazanzibari watazidi imani yao ya dini kama ilivyooneshwa na ndugu zetu wa Kendwa.
Kutokana na hili tutegemee kwamba serikali itaongeza mizania yake (unbudgetted items) ili kununua mabomu zaidi ya machozi na silaha nyenginezo za kuongeza utulivu, kuwazidishia mishahara wale wataokubali kuzitumia silaha hizo dhidi ya wananchi.
Hali hii itaziidisha khofu katika nchi na hivyo maisha kuwa ghali zaidi. Hayo yote tujitayarishe nayo. Pengine ingekuwa ni wa wazi wangetwambia kuna mikakati gani mengine kwa mwaka huu dhidi yetu na dini yetu. Hili sidhani kama watatwambia kwani itatuweka tuweze kujipanga vyema. Na mtu hafanyi hilo kwa adui yake.
Kwa hivyo kwa serikali tusisubiri wala tusitumainie kitu cha kheri kwetu. Chambilecho…kipigo na kuendelea. Hilo halina shaka hata kidogo.
Tamaa yetu yote ya nusura iko kwa MwenyeziMngu. Ya Rabi ujaaliye mwaka huu uwe wa kuwaonesha madhalimu Nguvu Zako na Uwezo Wako.
Ndugu zangu WAZANZIBARI..mimi sina mengi ya kuongeza, kwani wengi mumeshatoa maoni mazitto kabisa kuhusu hawa eti tunanaowaita VIONGOZI{ VIONGOZI MADDHHALIMU}wasio ona haya wala vibaya .mimi kwa ufupi tu, nawaambieni huyu SHENI na baadhi ya wenzake hao tayari Sura zao zinaonyesha ni WAJA WA MOTONI, kama tunavyomuona SALMINI AMURI ameanza kupata adhabu hapa DUNIANI, basi na huyu SHENI nayeye anaelekea HUKO HUKO…{LAANATULLAH} atakufa kafir kwa dhulma wanazotufanyia wananchi……Hawa si watu.. WASHENZI kabisa
@Mwandishi
Kabla hujawauliza Serikali wana lipi jipya mwaka huu ungetwambia wewe umeifanyia Zanzibar lipi jipya mwaka huu? Acha ujinga, panuka kifikra ndugu. Lawama nyengine hazina haja kamwe.
Naomba unijibu ulichoifanyia nchi yako mara hii kiasi ya kuisakama Serikali ikupe jipya ililofanya. Kwanini kila siku tutegemee serikali itufanyie tu, au nchi itufanyie tu bila kufikiri sisi tunaifanyie nini Serikali na nchi yetu. Pevuka, funguka, tambuka, acha kasumba ndugu hazisaidii sana, japo ndizo mada pendwa hapa Mzalendoni.
@Kishanshudas
Niko pamoja nawe, hili jini la lawama litatuna mpaka litatumaliza. Pakukaa tukatathmini njia bora bado tumelaliwa na jini hili.
Kuna mambo chungu mzima ya kufanya Zanzibar, bado tumelala tunaisubiri serikali hali kabisa tunajuwa hawawezi, hawataki, au hawafanyi. Hivi kwanini hatusimami sisi wenyewe tukajifanyia mambo yetu tukenda mbele.
Nakubaliana sana ndugu zangu Ashak na Kishanshudas. Tusitegemee kufanyiwa lolote la maana na kheri na serikali. Hili ni la msingi na la uhakika. Mimi mmoja nishajiandaa kwa hilo.
Wale kama mimi wanaotaka kufanya kitu kwa nchi basi tutahadhari na moja tu. Tusiingize siasa ndani ya mambo tutayotaka kufanya. Endapo tutafanya hivyo basi tutafeli hata hilo tunalolitaka kufanya. tutalolifanya iwe tulifanye kwa ajili ya MwenyeziMngu na nchi yetu…basi.
Ninaposema haya nakusudia mtu yeyote anayetaka kufanya kitu asiwe ‘activist’ kama vile mama Wangari Maathai (aliyekufa mwaka 2011) wa Kenya na liyepata kutunukiwa nishani ya kilimwengu Nobel Peace Prize. Fikra zake ni nzuri kwa Afrika, lakini kwa vile akishindana na serikali zilitiliwa guu juu ya kuwa zilipata msukumo wa kimataifa.
Pili tuwe tayari kutopata kitu ndani yake ila mapenzi ya MwenyeziMngu tu. Mtaniwia radhi kwa wale wataoona haya maneno yana falsafa nyingi, lakini kwa mwono wangu hivyo ndivyo ninavyofikiri. wenye hekima zaidi watupe mwongozo wao zaidi ili tupanuke vichwa vetu kwa kufanya ya kheri kwa nchi yetu.
MwenyeziMngu awe pamoja nasi na atutie ikhalsi katika matendo yetu.