Sauti:Repoti ya Ally Saleh – Uhaba wa mafuta Zanzibar

Written by  //  27/02/2012  //  Podcasts  //  Maoni 2

petrol

Ally Saley,

Serikali ya zanzibar imetupia lawama zote makampuni ya uagiziaji na uuzaji wa petroli kwa uhaba
mkubwa wa bidhaa hiyo ulioikabili zanzibar kwa zaidi ya wiki mbili. kaimu waziri wa fedha dr mwinyihaji
makame amesema kuwa petroli ya kutosha imeingizwa nchini jana, lakini vituo kadhaa leo vilikuwa vimefunga
mikono kwa kukosa petroli ya kuuza kwa wateja

Play

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni yamefungwa.