Sauti:Mbiu ya Mnyonge – Wagonjwa wa akili Zanzibar

Written by  //  15/03/2012  //  Podcasts  //  Maoni 1

Salma Said,

Karibu katika makala hii Mbiu ya Mnyonge na leo tunazungumzia maisha wanaoyokabiliana nayo wangonjwa wa akili katika visiwa vya Zanzibar.Zanzibar yenye wakaazi millioni moja ina hospitali moja tu ya wagonjwa wa akili, ambao idadi yao inakisiwa kuwa ni 3,000 lakini huduma wanazopata ni hafifu jambo ambalo ni ukiukwaji wa haki za binaadam.Kwani licha ya kuwa ni wagonjwa, lakini wana haki zote za msingi kama watu wengine ambao wana afya kamili.Ambatana nami Salma Said katika makala hii

Play

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni yamefungwa.