Sauti:Mahojiano na Sheikh Khalid Azani – Muungano

Written by  //  28/02/2012  //  Podcasts  //  Maoni 21

Ally Saleh,

Jumuia kubwa kabisa za kiislamu huko zanzibar ile ya UAMSHO na ya MAIMAMU zimekuwa zikiingia mitaani kutoa elimu ya uraia kuwatayarisha watu kwa ajili ya mjadala wa taifa wa katiba ambao utaanza karibuni lakini kumekuwa na lawama kadhaa dhidi yao. moja ni kwamba wanatumia kukwaa la dini kuwashawishi wazanzibari wakatae muungano kwa karata ya dini lakini pili wanahamasisha wazanzibari wasihudhurie vikao vya tume ya katiba itapokuja Zanzibar, jumuia za UAMSHO na maimamu zinakana kufanya hivyo lakini hazikuficha msimamo wao kuwa zinawataka wazanzibari wote waukatae muungano na wadai kuvunjika ili irudi jamhuri ya watu wa Zanzibar.

Mwandishi wetu Ally Saleh amezungumza na Sheikh Khalid Azani wa jumuia ya uamsho kuhusu mihadhara yao hiyo na kwanza kumuuliza wanawambia nini waislamu wanahudhuria mihadhara yao?

Play

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni yamefungwa.