Habari kwa ujumla

Maalim Seif akutana na Balozi wa Ungereza
06/10/2013, Maoni 9

ZANZIBAR 04/10/2013. Uingereza imeahidi kuwa itashirikiana na Zanzibar katika kuwajengea uwezo wananchi katika sekta ya ...

JK: Hoja ya Zanzibar irudishwe bungeni
05/10/2013, Maoni 11

*Apinga maandamano ya wapinzani *Awakaribisha Ikulu kwa majadiliano *Amshushua Tundu Lissu, asema mzushi *Kuvunjwa Tume ...

MTOTO WA AJABU AZALIWA ( tuisome hii kisha tuichambuwe kwa umakini)
05/10/2013, Maoni 30

Mtoto wa Ajabu Azaliwa. Azungumza Akiwa na Miezi Miwili. Alipewa jina akiwa Tumboni. Asema Vifo Vingi kutokea Zanzibar. ...

Nyumba takriban 100 kuvunjwa Zanzibar
04/10/2013, Maoni 8

Na Khamisuu Abdallah MAMLAKA ya Maji Zanzibar imevunja nyumba nyengine 39 za makazi katika maeneo ya Mwanyanya wilaya ya ...

Gesi, mafuta yaivuruga Katiba
04/10/2013, Maoni 3

Waandishi Wetu Toleo la 318 2 Oct 2013 Utiaji saini kati ya Zanzibar na kampuni ya Shell – Dk. Shein ‚Äėamalizana‚ ...

KWA HAYA YA CHIKAWE,BALOZI SEIF ALIISEMEA SERIKALI IPI?
04/10/2013, Maoni 4

Hilo ni suali linalohitaji majibu kutokana na kuzuka mkanganyiko ambao sasa umepata majibu juu ya kuzuka tafrani bungeni ...

Jaji Warioba Afafanua Kauli ya Bulembo.
04/10/2013, Comments Off on Jaji Warioba Afafanua Kauli ya Bulembo.

Na Mwandishi Wetu Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa ufafanuzi kuhusu kauli mbalimbali zilizotolewa na baadhi ya wanasi ...