Habari kwa ujumla

Dk.Shein: `Nitaendelea kutumia bendera ya Tanzania nikiwa nje
09/06/2013, Maoni 9

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema watu wanaoshangaa yeye kutumia bendera ya Jamhuri ya Muungano badala ya b ...

Warioba: Serikali ya Muungano haitakopa fedha
09/06/2013, Maoni 8

Dar es Salaam: Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema kama mfumo wa Serikali tatu utaku ...

Atakaye na asiyeutaka Muungano nani wa kuihama Zanzibar?
09/06/2013, Maoni 5

Atakaye na asiyeutaka Muungano, nani wa kuihama Zanzibar? Posted by khelef on Tuesday, April 30, 2013 · Ninashangaa san ...

vuai-ali
Kuongoza watu kwa ulimi badala ya maarifa
08/06/2013, Maoni 5

Na Jabir Idrissa VIONGOZI waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Zanzibar kwa kweli wanachekesha kwa namna wanavyotu ...

Dk. Shein: Siitambui Kamati ya Maridhiano Zanzibar
08/06/2013, Maoni 26

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema haitambui kamati ya maridhiano inayotetea Zanzibar kuwa na mamlaka kamil ...

Warioba: Ikulu kugawanywa
08/06/2013, Maoni 5

Na Fidelis Butahe, Mwananchi Posted  Juni8  2013 Dar es Salaam: Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Jose ...

Katiba mpya, mvinyo mkongwe chupa mpya – JIBU!!!!
08/06/2013, Maoni 16

Shukrani nyingi kwa ujumbe wako mwanana. Kwanza, napenda kukutanabahisha kuwa hakuna usanii wowote kuhusiana na jina la ...