Habari kwa ujumla

Matokeo kwa mujibu w CUF : Zingatia sharia ya ZEC
26/10/2015, Maoni 9

Muda mfupi uliopita, mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameitisha mkutano wa waandis ...

Hali ya mambo ilivyo kisiwani Pemba
26/10/2015, Maoni 5

Mambo hayapo sawa kidogo katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana wale ambao wanasema kuwa wanashrehekea ushind ...

Maalim Seif Shariff aibuka mshindi zidi ya mpinzani wake Ali Mohammed Sheni kinachosubiriwa kwa sasa ni tume ya uchaguzi ZEC kutangazia ushindi wake .
26/10/2015, Maoni 5

Hivi sasa wananchi wa Zanzibar wamekua na shamra shamra za sherehe za kumpongeza Maalim Seif Shariff Hamadi kwa kuibuka ...

Breaking news: Maalim aongoza kwa asilimia 52
26/10/2015, Maoni 9

Maalim seif akiongea na vyombo vya habari ametoa results za ushindi, 200,077 sawa asilimia 52 anaongoza. Shein 178,363

Breaking news: Maalim seif aongoza update
26/10/2015, Maoni 15

BREAKING Jimbo la fuoni Shein 889ii Seiff 429 Jimbo la K samaki Shein 4413 Seiff 2989 Jimbo la Malindi ACT – 4 TAD ...