Habari kwa ujumla

CUF Watoa Tamko Jipya……Wampinga Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Aliyesema jana kuwa Kuna Amani ya Kutosha Zanzibar
17/03/2016, Maoni 6

Thursday, March 17, 2016 Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara) , Magdalena Sakaya akionyesha picha ya mhanga wa vipigo zanziba ...

Mansour aswekwa rumande kwa tuhuma za kuchomwa kisonge
17/03/2016, Maoni 7

Wakati wananchi wa Tumbatu wakidai kuchoshwa na madhila wanayofanyiwa na vyombo vya ulinzi na kusababisha baadhi yao kuo ...

Jaji Mkuu Makungu athibitisha Zanzibar hakuna Rais wala Viongozi halali
17/03/2016, Maoni 4

Licha ya kuwa mfurukutwa Jaji mkuu wa Zanzibar Othman Makungu amethibitisha kuwa Zanzibar hakuna Rais wala viongozi wala ...

Mambo ya upigaji kura ya tarehe 20 yanauhusiano gani na utumishi wa kazi?
17/03/2016, Maoni 1

Kupiga kura si shurti ni hiari ya mtu kutaka au kukataa hio ndio demokrasia.

1
Waziri Kitwanga Afanya Mazungumzo Na Wakuu Wa Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Zanzibar….Akanusha Wazanzibar Kukimbilia Nchi Jirani Kwa Kugopa Vurugu
17/03/2016, Maoni 9

Thursday, March 17, 2016 WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amewataka wananchi wa visiwani Zanzibar kuji ...

Magufuli Polisi na Jeshi lako ulilopeleka Pemba lina njaa
16/03/2016, Maoni 8

Polisi watuhumiwa kupora mali za wananchi kisiwani Pemba. Katika hali isiyokuwa ya kawaida Jeshi la Polisi ambalo inasem ...