Habari kwa ujumla

UTEUZI MPYA WA DK.SHEIN
15/01/2012, Maoni 2

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 14/1/2012 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein leo a ...

3-af5625a66d
Ni ama serikali tatu au hakuna muungano
15/01/2012, Maoni 3

Inatoka Uk. 1 an-nuur wanataka kuona serikaliya Tanganyika, serikali yaZanzibar na Serikali yaMuungano, kinyume nahayo a ...

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimvisha nishani kijana Mohd Khamis mwenye ulemavu wa akili baada ya kupata ushindi katika michezo ya Special Olimpik kwa ajili ya watu wenye ulemavu yaliyofanyika Morogoro. Hafla hiyo ilifanyika uwanja wa michezo Gombani Pemba.
Olimpik ya walemavu – Gombani Pemba
14/01/2012, Maoni 1

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amekabidhi nishani mbali mbali kwa vijana wenye ulemavu wa ...

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya mfuko wa maendeleo ya watu wenye ulemavu mara baada ya kuizindua kamati hiyo huko Ofisni kwake Migombani.
Twahitaji kufanya ukombozi kuwasaidia walemavu – M.Seif
14/01/2012, Maoni 3

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema wakati umefika wa kuwakomboa watu wenye ulemavu na ...

Misaada ya kigeni kwa Afrika: Neema au Laana?
14/01/2012, Comments Off on Misaada ya kigeni kwa Afrika: Neema au Laana?

Je, misaada ya maendeleo kutoka ng’ambo imezisadia nchi za Kiafrika kupiga hatua mbele au imezidumaza nchi hizo? M ...

Annur:Toleo la ijumaa tarehe 13-01-2012
14/01/2012, Comments Off on Annur:Toleo la ijumaa tarehe 13-01-2012

Shukurani za dhati kwa mwandishi Salma Said na wahariri wa gazeti la Annur. Annur:Toleo la ijumaa tarehe 13-01-2012

Chuo cha Fedha Z’bar kugeuzwa Chuo Kikuu
14/01/2012, Maoni 5

Khatib Suleiman, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inakusudia kukifanya Chuo cha Usimamizi wa Fed ...