Othman Masoud: Wanaodhani kero za Muungano zimebaki tatu wanajidanganya

Written by  //  30/04/2017  //  Habari  //  Maoni 6

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 6 katika "Othman Masoud: Wanaodhani kero za Muungano zimebaki tatu wanajidanganya"

 1. Jino kwa Jino 01/05/2017 kwa 4:28 mu ·

  Muheshimiwa Othman Masoud mimi binafsi ningependelea uwe replacement ya Maalim katika kuvikomboa visiwa vyetu vya Unguja na Pemba .Unaonekana ni mtu mwenye kipaji cha uongozi na unaonekana ni muadilifu na vile vile ni msomi na unaoelewa mambo ya ulimwengu unavyokwenda licha ya usomi wa sheria ulionayo mimi nahisi wakati umefika kwa maalim kukaa pembeni Wunguja na wapemba tunataka nguvu mpya ya vijana waliobobea wasio na majigamboo.Hizi ni mbio za vijiti bado tupo katika kupokezana kwa hivyo maalim time yako ishafika kumpa kijiti mwenzio. Nafikiria fikra zangu zitawaafikiwa na walio wengi .Muheshimiwa Othman ingia katika harakati ya kuvikomboa visiwa vyetu moja kwa moja. Nakutakieni kila kheri.

 2. Jino kwa Jino 01/05/2017 kwa 7:07 mu ·

  Nimesikia clip yako ni kwamba inaonekana kwamba hakuna muungano kuna dhulma tu na vile hawa wanasiasa yetu ni watu wajinga na majahil kabisa kwa sababu mambo haya ndio ya kuyaeleza kwenye mikutano yao kila wakati wao wantaka madaraka tu .Hatutaki muungano wacheni tupumue muungano huu mbuvu wa dhulmaaaa.

 3. kwaomtu 01/05/2017 kwa 10:01 mu ·

  Nakubaliana na wewe kwa undisclosed percentages. Kwa uchaguzi unaofuata Maalim pumzika tena tumeshaiona jitihada yako lakini nguvu zako na muono wako hauakisi kasi ya mabadiliko ambayo tunayategemea kwa sasa.

  Mtaalam Othman Massoud Othman nahisi anastahiki apokee yeye kijiti panapo majaaliwa InshaAllah.

  Sina haja ya kuchangia alichokisema Ndugu Othman juu ya mambo ya Muungano. Mchangiaji wa juu ndie alienivuta nije hapa.

 4. Jino kwa Jino 02/05/2017 kwa 4:13 mu ·

  @Kwaomtu .Lkn umemsikia Mtaalamu Othman Masoud alivyochambuwa Miungano tofouti ndio maana mtaalamu anamtaka huyo mtanganyika yyote ambae wao wanamtegemea waje wauchambue muungano kwa hoja watanganyika hawataki eti wanasema muungano huu UNIQUE. Yuniki ya mavi mavi .Nakuombeni wenzangu wa Mzalendo net. Tumpigieni chapuo Muheshimiwa Othman Masoud aendelee kutuvusha pale ambapo Maalim ameshafika na itabidi maalim akubali ukweli wa mambo asilazimishe mambo akataka kungangania yy tu itafika wakati lazima ubadilike wende na wakati kwa mfano hivi sasa ni ulimwengu wa Sayansi na informartion na technologiya huwezi kusema hutaki utaachwa nyuma .Cuf hawana vijana madhubuti wa IT ambao walitakiwa kila wakati kutia information ktk computer kwamba ZNZ kuna dhulma kwa ajili kuambiya ulimwengu kitu gani kinaendelea katika dunia ingalikuwa kila wakati wanapeleka video ktk bbc,cnn,na jazira tv na tv nyengine kubwa za ulimwengu lkn wapi wamekaa wanamsubiri Maalim .Tunataka new blood na write person ni Mtaalamu Othman Masoud.

  • Ghalib 02/05/2017 kwa 5:21 um ·

   Kwenye points kabisa sina cha kuongeza, kwa vile Tunasubiri hayo mabadiliko kutoka jumuiya ya kimataifa, hivyo maalim aachiwe kuwepo kwenye nafasi kwa vile ni mshindi halali kabisa, Ispokuwa uchunguzi utakao fuata lazima tupate mtu kama Bwan Othman.

   • kSingga 03/05/2017 kwa 8:41 mu ·

    Ndio mzigo mpya ulofunguliwa huo ..hahaha Mabadiliko kutoka jumuiya ya kimataifa huu kweli mzigo mpya full pamba.

Comments are now closed for this article.