NI KWELI UAMSHO WAMEAMSHA WATU ?

Written by  //  13/07/2012  //  Habari  //  Maoni 32

Salaam,
Hivi ni kweli jumuia ya Uamsho imeemsha watu au bado wamelala ?
Vigoma vya kuamshia daku vimepita na watu wamejikunjulia mashuka vitandani na kuendelea na usingizi?

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni yamefungwa.