Mbunge wetu akifanya vitu vyake

Written by  //  29/04/2017  //  Habari  //  Maoni 6

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 6 katika "Mbunge wetu akifanya vitu vyake"

 1. moyo 30/04/2017 kwa 8:32 mu ·

  Dah! Iko moja nimeisikia kali kuliko yote. ” Nampongeza Mwenyezi Mungu” !

  Hiyo ndio imevunja record, kumbe Mwenyezi Mungu nae hupongezwa!

 2. Kamshuu 30/04/2017 kwa 8:45 mu ·

  Jamaaaa hodari kwa kupongeza !!!!!
  Si muhindi huyo….
  Yuko wapi Raza????

 3. rasmi 30/04/2017 kwa 9:04 mu ·

  Mimi nampongeza pia kwa kumpongeza raisi wetu Modi pale India, inaonyesha hakubaliani na aliyepo…!

 4. Jino kwa Jino 30/04/2017 kwa 9:56 mu ·

  Hakuna mijitu mijinga kama hii Mibungee ikiambiwa na FURAMAa na raisi basi watafuramaaa hata hawajui wanachokifanya leo Tanganyika ingelikuwa na uchumi wa kutisha kutokana nchi zilizopakana nazo lakini wapii kwenye miti hakuna wajenzii inasikitisha sana kuona wakulima hawana soko wakati vitu vyote vinatakiwa Kenya wanachukua Tanganyika na kuuza nje wanaandika made in Kenya kumbe Tanganyika .Leo naona ndimu inatoka brazil super market ,tunashindwa kusafirisha mazao yetu watu wakaneemeka na serikali nao pia ni roho mbaya sana sana.

 5. Papax 30/04/2017 kwa 10:53 mu ·

  Mimi nazani umefika wakati wa kuwajibishana, ikiwa nyei wenyewe wana nchi ikifika wakati wa kuchaguwa mnachanganyikiwa mnaeka utashi mbele kiasi tuone vituko kama hivi

 6. mzeekondo 30/04/2017 kwa 2:51 um ·

  @Papax

  Nakubaliana na maoni yako sana sana,matatizo yetu ni mengi na yako sehemu tofauti, haya uliyoyasema ndio msingi wa sisi kutokujua wapi tunakosea.huyu “heshimiwa” Bhaghwanji Mensuria, hawa wabunge wa bara wamemgeuza kama ‘Kingwendu’ wao mahsusi,au Fadau wao kwa hapa kwetu wa bunge lao,wakitamani au kujiskia kucheka, wanampa jukwaa aje awatumbuize na kuwavunja mbavu baada ya kuchoka kutatua shida za Tanganyika.
  Huyu heshimiwa anataka kujenga bandari Tabora,hii si balaa, huyu hajui kama tabora hakuna bahari wala ziwa,pia ‘nataka BORESHA kila anachokiona machoni’papax umenena hao waliomchagua huko alikotoka ccm sijui jimbo gani, alikuwa akiongea nao KIURDU

  Kweli sisi hatubagui dini,kabila au rangi ya mtu katika chama chetu, lakini huyu ilikuwa aongee na Raza kwanza, wakishaelewana lugha ndio agomee ubunge,sidhani hata ‘heshimiwa’ Raza kama na yeye angelimfahamu huyu Bhaghwanji.bora yule singa singa wetu wa Kikwajuni, mtoto wa mtaani anaongea mpaka Kisukuma kwa kuwa mkewe ni mtu wa huko, wamemkosesha kura bure sasa tunasikiliza na kutizama mchezo wa kihindi bungeni.

  Hongera Bhaghwanji baba, fanya kweli,boresha na lugha yetu huko.

Comments are now closed for this article.