Matofali yaanza kuadimika Zanzibar

Written by  //  10/02/2017  //  Habari  //  Maoni 3

Baadhi ya vituo vya upigaji matofali vimeanza kufunga biashara zao kutokana na ukosefu wa saruji zilizo na viwango, serikali imepiga marufuku saruji kutoka nje, Zanzibar kwa miaka mingi imekuwa ikinunua bidhaa kutoka nje ya nchi.

Mambo sasa hivi yamebadilika kutoka na Bwana yule kupiga marufuku bidhaa za nje ili bidhaa za ndani ya tanganyika zinunuliwe.

Mfuko wa saruji sasa hivi 15,000 lakini kama unapigia matofali, muda wa siku 3 halijakauka,wapigaji matofali wameanza kupunguza uzalishaji, baadhi ya matofali kama ya kujengea horofa kuanza kuadimika, matofali haya yanahitaji kiwango kizuri zaidi.

Hii ndio Zanzibar, kila lisemwalo tanganyika Zanzibar nayo itekeleze.

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 3 katika "Matofali yaanza kuadimika Zanzibar"

 1. mohamed 10/02/2017 kwa 2:13 um ·

  Tutajengea mikate ya boflo,pumbavu.
  Hapa kazi tu na maisha bora .

  Ccm nuksi kishenzi

 2. makame silima 12/02/2017 kwa 7:33 mu ·

  Bwana Ghalib hio Serekali yenyewe haina kiwango itakua tufali? Kuanzia huko kumeni kwetu mpaka hapa Zanzibar Serekali inaongozwa na gange la Mafya haina tena dira eti Makufuli anahisi Serekali kuikabidhi Jeshi ndio nusura yakua isiporomoke 😁😁yaguju.

  Karne za kutumia nguvu na ubabe zidi ya raia zimepita muda wake angeweza Bush na Trump tena hayo ni mataifa yenye nguvu zakiuchumi lakini wapi ?

  Kwahio Makufuli kutumia mkono wachuma ili kukandamiza wananchi kwa vyombo vya dola na kuteua wanajeshibkuwa wakuu wa wilaya unajidanganya tu kifo cha ccm hakiko mbali tena .

  Ccm yahiari imeshatoweka sasa yakutumia maguvu ndio Makufuli anaidhika .

 3. MAWENI 12/02/2017 kwa 7:29 um ·

  Zumari likipulizwa Maziwa makuu ; watu mpaka visiwani wana hemkwa !

Comments are now closed for this article.