Mapinduzi II na ufisadi.

Written by  //  05/12/2015  //  Habari, ZenjiLikiz  //  Maoni 27

FB_IMG_1449365670668
GPS data zinasoma kwamba kuna meli inayoitwa POSCO PLANTEC 13SV01, IMO No. 9708485, Call Sign 51M254, ambayo katika database ya AIS (Automatic Identification System) inaonekana kama MAPINDUZI II, iko Zanzibar kama inavyoonekana katika picha.

Hii ina maana kwamba katika database za Maritime, bado inaendelea kujitokeza kwa jina lake la asili. Sisi walipa kodi wa Zanzibar tuna haki ya kuhoji kama kweli meli ni mpya au reconditioned.

Tukumbuke kuwa IMO number haiwezi kubadilika, hata meli itakapobadilishwa jina, mmiliki au kampuni kwa sababu ni nambari inayotumika kwa sababu za kiusalama na kuondosha udanganyifu katika soko la Marine. IMO ya Mapinduzi II ambayo imechorwa ubavuni, nyuma upande wa kulia ni 9708485. Namba ile ile kama ilivyokuwa katika registration ya jina la POSCO PLANTEC 36SV01.

Tunataka kuamini kwamba ni mpya, lakini hali ya meli yenyewe na information zinazojitokeza zinaendelea kutusuta kwamba ni kinyume chake.

Serikali inapaswa kuliangalia hili kwa jicho pana hasa ikizingatiwa imetumia pesa nyingi sana (dola za Marekani milioni 30.8) na kama ikigundulika kumefanyika ufisadi, basi wahusika wachukuliwe hatua haraka kwa style ya Rais Magufuli.

Wakaguzi wa nje wa Serikali wapo (nitatoka likizoni ikibidi) na wana taaluma ya kutosha katika masuala ya procurement. Watumike hawa kufuatilia hili.

#MagufulificationIsRequired #tusimezeeubadhirifu

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 27 katika "Mapinduzi II na ufisadi."

 1. Mwarubaini 05/12/2015 kwa 6:34 um ·

  Ndio maana hawataki kuachia madaraka kwa vyo vyote vile, sababu moja ni hiyo wanaficha ufisadi wao, Haya masuala ya ufisadi Zanzibar sio kwa watu wa chini tu, bali kuanzia raisi mwenye pamoja na wapambe wake wote na kwa ujumla viongozi wote wa CCM Zanzibar wanashirikiana kufanya ufisadi, na yapo mengi tu Allah atayadhihirisha In sha Allah. Hata hivyo hakuna lisilokua na mwisho.

 2. Feisal Amour 05/12/2015 kwa 6:58 um ·

  siku ya kwanza nilipoiona hii meli iko matengezoni niliwambia kama tushaingizwa “skuli”. Hii meli ni refurbished kama ilivokuwa M.V. MAPINDUZI. Watu wamekula fedha za wananchi.
  Mdude unatoka KUTU halafu tunaambiwa million 30 za kimarekani?.
  Kweli wazanzibari tuwajinga lakini sio kiasi hiki. Baraza lazima liongelee jambo hili japo mwakani.

 3. Nonini 05/12/2015 kwa 7:36 um ·

  Current name: POSCO PLANTEC 13SV01
  IMO: 9708485
  Callsign:
  MMSI:
  Vessel type: PASSENGER/CARGO SHIP
  Build year:
  Current flag: TANZANIA
  Links
  http://www.sener.es
  http://www.foran.es
  http://www.poscoplantec.co.kr/eng/

 4. Nonini 05/12/2015 kwa 7:42 um ·

  Photographer: lappino [ View profile ] Title: MAPINDUZI II Added: Feb 14, 2015
  Captured: February 14, 2015 IMO: 9708485 Hits: 1,199
  Location: Busan , Korea (South)
  Photo Category: Ships Under Construction
  Description:
  Floating out at Orient shipyard in Busan.
  Vessel Identification
  Name: Posco Plantec 13sv01
  IMO: 9708485
  Flag: Tanzania
  Technical Data
  Vessel type: Passenger/cargo Ship
  Gross tonnage: 12,000 tons
  Length: 90 m
  Beam: 17 m
  Draught: 3.4 m
  Additional Information
  Status: In Build
  Owner: Tanzania Government
  Dar Es Salaam, Tanzania
  Manager: Tanzania Government
  Dar Es Salaam, Tanzania
  AIS Information
  Last known position:
  19°44’18.39” S, 57°5’32.07” E
  Status: Underway
  Speed, course (heading):
  10.5kts, 320° (330°)
  Destination:
  Location: Port_louis
  Arrival: 2nd Oct 2015
  14:00:26 UTC
  Last update:
  9 days 0 hours ago
  Source: AIS (AirNav

  • Ghalib (Kiongozi) 05/12/2015 kwa 8:00 um ·

   Owner ni Tanzania government au serikali ya mapinduzi ya Zanzibar?

 5. Wamtambwe 05/12/2015 kwa 8:14 um ·

  Hapo kimetumika kifungu cha 28(1) kununua meli hiyo, mukileta ujecha hata hizo data za Mtandaoni zitafutwa

 6. kwaomtu 05/12/2015 kwa 8:31 um ·

  포스코가 조선업에 진출한다는 소문이 재계에 파다하게 퍼졌다. 플랜트 설비를 생산하는 포스코플랜텍이 해양작업 지원선(OSV)의 건조를 마무리한 때문이다. 싱가포르 용선업체인 SPO가 발주한 이 선박은 2000만 달러 규모다. 포스코가 처음 만든 선박이라는 점 때문에 소문으로만 돌던 포스코의 조선업 진출이 현실화되는 지 여부에 업계의 이목이 쏠렸다. 지난해 7월 포스코플랜텍은 대우인터내셔널과 함께 탄자니아 잔지바르주 정부의 여객 수송선 사업도 수주해 소문을 더욱 부채질했다.
  Kama hamufahamu niambieni nitawatafsiria ila kiufupi tu ni mshipa mtupu.

  Tembelea hapa utaona wenyewe:1. http://www.sener.es/News/NP–SENER-firma-un-contrato-con-Posco-Plantec/en#.VmM-39LhDrf
  2. http://www.naval-technology.com/contractors/warship/sener/presskeel-laying-ceremony-tanzania-sener.html

 7. Piga nikupige 05/12/2015 kwa 9:40 um ·

  Huu ni mzimu, ya Rabbi stara, Hakuna liwalo.

 8. Hakim 05/12/2015 kwa 10:12 um ·

  mmiliki wa Meli ni Tanganyika ,Soma kipande hiki cha registration,, Zanzibar viongozi ni watoto ,, Magufuli alisema kwa maana yake Bungeni. Watoto ni rahisi kudanganywa.

  MAPINDUZI II – IMO 9708485
  Full Screen – Add Comment – Bookmark this photo – Edit Info

  Get thumbnail code to post in forum, blog or homepage

  New! View the summary page for this ship! Like
  No likes yet

  Photo Details
  Photographer: lappino [View profile] Title: MAPINDUZI II Added: Feb 14, 2015
  Captured: February 14, 2015 IMO: 9708485 Hits: 2,102
  Location: Busan, Korea (South)
  Photo Category: Ships Under Construction
  Description:
  Floating out at Orient shipyard in Busan.

  Vessel Identification

  Name: Posco Plantec 13sv01
  IMO: 9708485
  Flag: Tanzania

  Technical Data
  Vessel type: Passenger/cargo Ship
  Gross tonnage: 12,000 tons
  Length: 90 m
  Beam: 17 m
  Draught: 3.4 m

  Additional Information
  Status: In Build
  Owner: Tanzania Government
  Dar Es Salaam, Tanzania
  Manager: Tanzania Government
  Dar Es Salaam, Tanzania

  AIS Information
  Last known position:
  19°44’18.39” S, 57°5’32.07” E

  Status: Underway

  Speed, course (heading):
  10.5kts, 320° (330°)

  Destination:
  Location: Port_louis
  Arrival: 2nd Oct 2015
  14:00:26 UTC

  Last update:
  9 days 3 hours ago

  Source: AIS (AirNav ShipTrax)

  Ship information by AirNav ShipTrax and GrossTonnage.com. Report error in ship details.

  Port history
  2015 October 2nd, 14:00:26 UTC Port_louis
  2015 September 18th, 08:30:30 UTC Pebga_singapore

  More Of This Ship

  © lappino
  © lappino

  More Of: This Photographer – This Ship – This Ship By This Photographer

  Photo Comments (2)
  Comments sorting method : Newest First Oldest First
  lappino on Feb 14, 2015 20:09 (9 months ago)
  Thanks for comment, Ralph. I’ve been looking at her under construction for some time now, but did not have any info – only today I saw her IMO number…

  Rgds

  Vlad

  rd77 on Feb 14, 2015 16:51 (9 months ago)
  Very interesting! Read a little bit about this ship a while ago, but otherwise it’s been very quiet around her. Design is Spanish I blieve, by SENER.

  Please Login to add a comment!

  This photo has been shown 2,102 times since it was added to the site.

  Copyright © 2015 All rights reserved View airplanes live at RadarBox24.com! Privacy Policy | Terms and Conditions

 9. Abdul Zakinthos 05/12/2015 kwa 10:14 um ·

  Meli lishaenda tayari kilomita milioni 1 na laki 2 duuh …roho zetu hazina thamani ufisadi huu kisha ccm bado wanamn’gang’ania balozi idi

 10. mumewetu 05/12/2015 kwa 10:44 um ·

  Uchunguzi lazima ufanyike hata kama hawatokuwepo tena madarakani
  Pesa ilotumika ni ya Wazanzibar
  Meli imwenunuliwa kwa Shilingi BILIONI 20
  Lakini pesa zilizolipwa no BILIONI 60
  Kwahiyo BILIONI 40 zimekwenda kwa wajanja waliwemo hawa hapa chini
  Matajiri wakubwa katika Serikali ya Dr Shein
  BALOZI MKAAZI – SEIF ALI IDDI
  WAZIRI WA FEDHA – OMAR YUSSUF
  WAZIRI WA NCHI – MOHAMMED ABOUD
  Hawa watu wana pesa chafu sana kwa ubadhirifu

 11. rasmi 05/12/2015 kwa 10:45 um ·

  Ajabu wale wasomi wao akina kisisina,academi,mpetehalisi hukaa kimya kama hawapo yanapokuja masuala yanayoumiza umma kama haya, wao ni umbea tu ndio huona mada za kujitokeza, hivi hii ndio meli ya hadhi ya kuitwa ya serikali? Iliochukua miaka kutengenezwa? Mukiambiwa miccm munaibiwa akili zenu na viongozi wenu mnavaa jezi za ubishi za kijani. Amkeni miccm kizazi chenu kiko hatarini…

 12. mohamed 05/12/2015 kwa 11:05 um ·

  Mmeli unamapechi maplasta na mabendej kibao, likienda trip moja tu lishaua,
  Huu ni mpango mzima wa kuja kuua watu wa Zanzibar.
  Meli lishaozaa.

 13. Mwarubaini 06/12/2015 kwa 1:35 mu ·

  HIyo sio meli ni pantoon la kuvukia kigamboni na siyo ya kusafirisha watu masafa marefu, enyi mafisadi wa SMZ – CCM mtakuja kuuwa watu kwa tamaa zenu.Ndugu zetu wa Zanzibar jihadharini na meli hilo kulipanda, mjue ni roho mkononi.

 14. mambo2010 06/12/2015 kwa 8:39 mu ·

  Kwa maelezo niliyosoma baada ya kupitia viungo kadhaa, meli hii ni mpya. Tatizo nililoliona ni kuhusu usajili. Ninavyosikia ni kuwa ZNZ ina uwezo wa kusajili meli za kibiashara, kiasi kwamba imewahi kuingia matatizoni kwa kusajili meli kutoka nchi zilizowekewa vikwazo na jumuiya ya kimataifa kama vile IRAN. Inachoshangaza ni kuwa, pamoja na uwezo huo, taarifa za usajili na umiliki wa MV MAPINDUZI II ni hizi hapa:

  [Owner: Tanzania Government
  Dar Es Salaam, Tanzania
  Manager: Tanzania Government
  Dar Es Salaam, Tanzania]

  Hapa uhusika wa SMZ na meli hii uko wapi?

 15. mmatemwe 06/12/2015 kwa 4:35 um ·

  CCM SMZ wamehatuibia fedha za wanyonge walipa kodi kwa kununua meli iliyo tupwa sehemu ya kuweka mameli mabovu walipojitokeza ccm smz kutaka meli walionyeshwa sehemu hiyo kwa kuambiwa itawezekana kutengenezwa upya na ndipo waungwana hawa ccm na mwanachama mwenzao bwana Omar Yussuf Mzee waziri wa fedha akaidhinisha kutolewa fedha zikanunuliwe meli chakavu iliyoja rasty wajanja wameshakula fedha huku sisi wengine wanyonge tukiendelea kukamuliwa kulipa kodi ili wakubwa waendelee kuishi maisha ya kifahari wakisahau umasikini uliokithiri. Wakubwa siku zote kitu umasikini huona maandishi tu kwenye vitabu au kwenye makaratasi wanayosoma, utasikia tunapambana na umasikini lakini siku hadi siku unaongezeka kwa asilimia kubwa na kuna wakati mwengine wao huwa ndiyo chanzo cha umasikini, kuwabomolea watu nyumba zao, kuwatesa vibaya, kuua na kuwalipisha kodi wanyonge. LIFE IS BURDEN BY YOUR DAMN SELVES CCM. and i used to think i hate this place

  • znznkwetu 07/12/2015 kwa 6:22 mu ·

   Samahani marekebisho kidogo. Sio wakati mwengine, wao ndio chanzo always

 16. zamko 06/12/2015 kwa 7:53 um ·

  @@@@@ WAZALENDO

  SHABASH AMA NYINYI KWELI NI CIZ Iteligent Servoces Officers..

  Mumeweza kufuatilia Data zote ambazo zinaonyesha ni za ukweli kabisa kwamba MELI Hii ni Kongwe..

  Sefu Ali Iddi Ameshazitia Ndani ya Bindo.. Na hii Ndio sababu kumbe Ikawa hawataki kuondoka Madarakani Kwa WIZI Walioufanya..

  Nakubaliana na @ Ghalib kwamba Hapa Panataka Wazanzibari Wafuate NYAYO za MAGUFULICATION To COMBURT CURRUPTION MAN…

 17. Z.I.7 06/12/2015 kwa 8:15 um ·

  @ mambo 2010 hebu na sisi tupe hivo viungo ulivosoma na sisi tupitie kwani wengi hatuamini kwamba chombo hicho ni kipya hata ukiangalia hiyo picha iliohapo juu unakuonesha kuwa ni feriboat lilikuwa linatumika sehemu ya barafu na limepandishwa kufanyiwa sabaganga.

  kwawale wenye umri kidogo wanakumbuka vipi MV MAPINDUZI Original ilikuwaje wakati inaundwa na mpk inafanyiwa majaribio sijuwi balozi mkaazi kama alikuwepo znz maana asingetufanyia ujanja huu. lkn pia nasoma kuwa walaji wanashirikiana na kundi la huku bara
  na ni kundi hilo hilo linaloshirikiana kuifanyia uharamia wa kupindua sheria na kutumia nguvu wakuidamirisha znz ili waitawale milele.

  lkn kwa vile Mh. Magufuli anaonekana ni mtu mwenye kutaka uadilifu boti hili na ununuzi wake ni kadhia mmoja nzuri ya kuanzia. kwani pia ilisemekana kuna nchi ilichangia fedha za ununuzi

  kusema ni jipya details zilizopo zinakataa:-

  a) waliwambia wa znz wananunua meli mpya, waloleta ni ferryboat la kizamani
  b)hawezekani chombo kipya kiwe na majina mawili au record zake ziwe na utatanishi
  c) na kwa wakati huu meli zinazoudwa speed ni kati ya knots 18 – 35 hii tunambiwa ni kts 11
  d)kuna taarifa kuwa feri hili liliundwa na kufanya kazi spain

  e) utatanishi wa mnunuzi na mmiliki wa feri hili kwenye baraza la uwakilishi ilpokuwepo serikali walisema wanananunua meli mpya kama nakumbuka vizuri kwa dola milioni 20 na baadae walisema inaundwa huko korea tusubiri,

  na tena tukambiwa inaitwa MAPINDUZI.

  leo tunaletewa feri la sabaganga lililoundwa spain miaka 15 iliopita na lishafanya mizunguko inayofikia masaa 1,2 millioni na bei imekuwa DOLA milioni 30 jina mapinduzi II lkn mmiliki wake ni tanzania government hapa vip? yaani hawa kundi la majambazi wametengeneza songombingo la aina yake, lkn kwa mh. magufuli ni pahala pazuri pakunzia kz hawa wamefurutu ada hawajali sisi raia wanatuona kama paka tu!

  tena ni kz rahisi sana ya kuupata ushahidi wa kuwatia nguvuni boti lipo waliounda wapo waliofanya ukarambati wapo .

  kama hawa hawatochukuliwa hatuwa itanivunja moyo sana kufuata sheria za nchi yetu hii.

 18. ssba 07/12/2015 kwa 4:24 mu ·

  Mhhhhh

 19. ssba 07/12/2015 kwa 4:54 mu ·

  A.alaykum
  hivi smz hawajui kama hapa znz kuna watu wana ma master ya mambo ya marine?
  Sasa niwajuze kidogo kuhusiana na feryboat hili!
  Kwanza naanza na bei hapa pamepita ubadhirifu wa kimataifa fery hili kwa uhakika halizidi dola 1.7 mpaka linafika zenj leo tunaambiwa 30.4 jamani jamani msibebane namna hiyo AIBU
  jipya si jipya ????
  SI JIPYA nawez nikatoa ushahidi huu hapa
  1.meli mpya huchomewa yote mpaka ikamaliza ndio ikaanza kupakwa rangi picha inaonyesha ina chomewa juu ya rangi nyeupe.
  2.life boat imeshapakiwa kabisa inaoneka hapo juu vipi meli iwe inatengenezwa life boat iwekwe kabisa?
  3.ukiangalia kwa undani zaid utaona baadhi ya plate za ubavuni zimeshabonyea bonyea na zinatoja kutu meli mpya plate hazitoji kutu namna ile
  4.picha zote ziliomo kwenye mitandao utaona zinafanana hii inamana hakuna picha au video inayoonyesha tangu inaanza kutengenezwa na mwisho kabisa jina halisi linaandikwa kwa plate sio la kuandika kama ubao wa kisonge.
  Mimi namshauri makufuli achukuwe fery lake hii sio meli mpya tuloahidiwa na SMZ.
  Hayo ni maoni yangu binafsi ingawa sijaweka yote lakini kimtazamo yanatosha kuwafahamisha kuwa ile sio meli ni ferry boat.

 20. Abdul Zakinthos 07/12/2015 kwa 9:23 um ·

  Nimejaribu kumtafuta mpiga picha wa hii meli nijue ukweli
  maana hata watunwalicomment kuwa hii meli mbona haina history? Sasa kuna link ikapostiwa kuwa

  ni design imetengenezwa na hiyo kampuni ya posco plantec. .hii kampuni imeipa tenda Senec sjui kwa kuwa kampuni yenyewe imeshafilisika..

  nikipata jibu nitaweka

 21. Msumari 08/12/2015 kwa 7:08 mu ·

  Meli au ferry kama mnavyoliita ni mpya wakuu na sio used. Tuache ushabiki usio na maana. Cha kujadili hapa ni malipo ya hiyo meli ni stahiki au ufisadi ndio umepita? Maana kama MV Mapinduzi enzi hizo ilicost 7 mil USD, basi hili ferry lilitakiwa liwe chini ya hiyo tena kwa sana. Sasa mwenye kujua details za malipo na bei za meli kama hizi aweke hadharani ili serikali iwachukulie hatua wahusika. Kama hatuna details zenye uhakika basi namwomba admin afunge mjadala.

Comments are now closed for this article.