Mahojiano ya DW na Salma Said akiwa kusikojuilikana

Written by  //  18/03/2016  //  Habari, Podcasts, Audio  //  Maoni 7

Kuhusu Mtunzi

BLOGGER/DEVELOPER/JOURNALIST/BROADCASTER

View all posts by

Maoni 7 katika "Mahojiano ya DW na Salma Said akiwa kusikojuilikana"

 1. MAWENI 19/03/2016 kwa 3:58 mu ·

  Ama kweli Zanzibar ni koloni la Tanganyika.
  Kuziba watu midomo, mabavu , vitisho, kihistoriya ya wanaadamu sivitendo vilo weza kuuzuwiya umma wowote unao dai haki yao kushindwa kufikiya lengo lao.
  UHURU , HAKI NA USAWA.

 2. Kamwene 19/03/2016 kwa 5:35 mu ·

  GPS location

 3. kindy 19/03/2016 kwa 5:53 mu ·

  pole sana salma hii hbari inatatanisha kidogo kwa njia alichukuliwa halafu wakampa mawasiliano serikali kama kweli wanajali raia wake basi wanajua wapi alipo pls free salma

 4. abuu7 19/03/2016 kwa 6:01 mu ·

  Watawakamata wengi tu. Tanganyika ni bez ya waazungu wa ulaya inayotumiwa. Inayotumika. Ki political kama kuididimiza haki za waafrika. Tanganyika ni chi moja duniyani ambayo inapata amri kwa wakubwa wote WAENGEREZA. WAMAREKANI. WOTE NI KUITUMILIYA TU. LAKINI SEREKALI INASSIDIWA KIFEZA KINGUVU KIla KITU

  Zanzibar ni nchi yenye waislam wengi. Ndio mana hatupati baraka zote za ki political

  Kwa hapa rabda urusi ije kutusaidiyai. Kuwa tumeingiliwa na majeshi wenye ukiristo mkali eliminate. Kuja kuuwa waislam. Zanzibibar

 5. salali 19/03/2016 kwa 9:39 mu ·

  Wazalendo wote wenye kuipenda nchi yetu ya Zanzibar kesho tubakiye majumbani kwetu hakuna kwenda kuhalalisha haram tuma ujumbe kama huu kwa watu kemi kupitiya mitandao tofauti.

 6. Abdul Zakinthos 19/03/2016 kwa 12:49 um ·

  magufuli atupe taarifa imekuaje

 7. Penda 19/03/2016 kwa 5:54 um ·

  Kiache kifunzwe adabu kim alaya hiki!!!

Comments are now closed for this article.