MAENDELEO YA KIUTAWALA NA KIKATIBA ZANZIBAR – Othman Massoud

Written by  //  01/01/2017  //  Vidio, Habari  //  Maoni 6

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 6 katika "MAENDELEO YA KIUTAWALA NA KIKATIBA ZANZIBAR – Othman Massoud"

 1. Fahur 01/01/2017 kwa 11:06 mu ·

  Hongera Mh OTHMAN MASSOUD. Waamshe vijana wakizanzibar

 2. Papax 01/01/2017 kwa 11:58 mu ·

  Hakionekani kitu wala hakisikilikani, tueleweja aundio janja yenu mpate kutangaza propagandazenu, 2016, imemalizika maalim, bado anakudanganyeni2017, sijui atakuja na dripu gani lakini nnavyojua mie uchaguzi2020, maali asahau urais, na tumeona kuwa hata hapa znz palipo kuwa salama kwa cuf, pemeanza kuharibika

 3. zenji_forever 02/01/2017 kwa 4:25 mu ·

  Papax trust me you have no clue lakini nyinyi ni viumbe mlolaaniwa kwani Allah anajua kuwa mumedhulumu hadharani na hamumjui wala kumhofu Allah.He is giving you enough rope to hang yourselves. Biidhinilah.

 4. Mfalme 03/01/2017 kwa 9:03 mu ·

  MBONA VIDEO IMETOLEWA ; HAKUNA VIDEO WALA SAUTI ???

 5. Mfalme 03/01/2017 kwa 9:13 mu ·

  @ Papax, Akili zenu zimepelekwa mpaka huku tutegemee kitu gani ???

  https://www.youtube.com/watch?v=XtTgkl2pkgI

 6. Mzambarauni Takao 03/01/2017 kwa 8:01 um ·

  Dr. Othman Massoud for President of Zanzibar 2020. He is acceptable by 99% of Zanzibaris. A well educated, well informed lawyer, with a pleasant temperament and a patriot to his country Zanzibar.

Comments are now closed for this article.