Maalim Seif akiwa Clouds TV

Written by  //  03/05/2017  //  Vidio, Habari  //  Maoni 6

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 6 katika "Maalim Seif akiwa Clouds TV"

 1. moyo 03/05/2017 kwa 6:24 um ·

  Mimi leo katika mazungumzo haya sitaki kusema chochote, nikisema naona yaweza kuzua zogo ni bora ninyamaze, pengine ndugu yangu Jino kwa Jino atachangia chochote.

 2. Mrfroasty (Ufundi) 03/05/2017 kwa 9:01 um ·

  Sema tuu sheikh wangu, ukisema unaogopa zogo itakuwa kama unatusumbulia.Lengo ni kila mtu awe huru kutoa maoni yake.Mie binafsi nimezitazama zote hadi mwisho.

 3. MAWENI 04/05/2017 kwa 2:54 mu ·

  Je tuseme mkoloni ame fanikiwa ku divert lengo la kupiganiya haki ya wa Zanzibari ya uwamuzi wao wa 20/10/2015 , Sasa priority imekuwa mgogoro wa Lupumba wa kupachikwa?
  Itakuwa na maana gani kuingiya uchaguzi wa 2020 ikiwa watawala ndio haohao ccm. Wamesema katu hawatotowa kwa vikaratasi. Kwa wao uchaguzi ni fashion. Wapinzani ikiwa watakuwapo wawe ni washindikizaji tu.
  Maalim ; maoni yangu , ikiwa nguvu ya umma hakusimama ulimwengu ukaona na kusikiya kuwa Wazanzibari wame amuwa hakipatikani kitu. Tunatawaliwa na majahil sisa za kistaarabu hawazijuwi. Wala vikwazo wao hawajaili. Kwani wao kwa uhakika hawa athiriki.

 4. Jino kwa Jino 04/05/2017 kwa 5:07 mu ·

  Nimeona clip ya Cloud wale watangazaji wamemsonga Maalim kwa masuala ya kipumbavu na yy Maalim kashindwa kuwapa Tarehe ya zanzibar sawa sawa ,wale ni watoto wadogo kabisa hawajui chochote wala lolote isipokuwa domo ya kaya .alikuwa Maalim awape tarehe kabla ya hayo mapinduzi ilikuwa vipi Zanzibar je tulikuwa tunaittegemea bara Je tulikuwa nyuma ktk mambo yetu ya kiuchumi ya kijamii pamoja na mambo ya nchi nzima kwa ujumla ,unajua hawa watanganyika wanatufanya wazanzibari kama vile tunawtegea wao kwa kila kitu na wanaifanya Zanzibar sio nchi na visiwa vyao na yy Maalim baada ya kueleza ukweli anakaa na kujisia yy tu kwamba alikuwa hivi na alikuwa vile lkn mm naona Maalim anajimaliza mwenyewe tu kisiasa sababu watu washachoka binadamu ana kipimo chake si watoto wa kuku kama utakuwa unawadanya kila siku .Cuf maadamu hawezi kuforce mambo si RAHISI KUPEWA NCHI wapige kura Wazanzibari wote waipe cuf basi matokeo watesema ccm kashinda Nakumbuka Karume alisema kura yangu na mke wangu inatosha nini maana yake .Cuf Jecha hawakumuweza na Lupumba naye hawatamuweza sababu cuf they so weak sio wanachama ni wengi lkn hawawezi kulizimisha mambo sio tishio .Maalim alikuwa anajikosha kuhusu ile scandal ya aboud Jumbe sababu wao ndio walikwenda kumchuuza jumbe kwa nyerere na nilivyo sikia Jumbe alikuwa tayri nataka kuvuja muungano lkn wapi leo anamsifia makufuli kwamba annafanya vizuri na mengine hafanyi vizuri .Ndugu zangu mambo ni mengi na hayeshi tutafuteni mbinu nyengine na kiongozi mwengine atakaeweza kupigana kikweli kwa siasa na kwa vitendo hawa ni WAAFIRIKA mdomo mtupu haumsumbui .

 5. abuu7 04/05/2017 kwa 5:32 mu ·

  Nyei ropokeni lakini.maalim anawajibu kidizain.hamjui kama maswala mengine.ni mtego.
  hawawezi kuwajibu watoto wadogo

 6. chatumpevu chatumpevu 04/05/2017 kwa 6:23 mu ·

  Moyo
  Unafahamika kuwa wewe ni wa kukandia tu. hata kama mchangiaji wa mada kasema maneno yenye mantiki na ujumbe, wewe utatofautiana naye. Si bora ukasaidie kupaka rangi ile maskani yenu ya kisonge?

Comments are now closed for this article.