Latest news : Press Conference kesho in shaaAllah live saa 4 asubuhi

Written by  //  03/04/2016  //  Matangazo, Habari  //  Maoni 6

12963869_805801409552521_5968062557377788001_n

Kurugenzi ya Habari, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma ya The Civic United Front (CUF-Chama Cha Wananchi)

Inawatangazia wazanzibari wote kuwa kesho, jumatatu tarehe 04/04/2016 kitafanya Press Conference (Mkutano na waandishi wa Habari) kutangaza Azimio la Baraza Kuu la Uongozi la CUF kwa lengo la kutoa msimamo na mwelekeo wa Chama katika harakati za kuendeleza vuguvugu LA kudai haki ya wazanzibari kutokana na maamuzi waliyoyafanya tarehe 25/10/2015.

Mkutano huo utakaojumuisha viongozi wote wa kitaifa utarushwa live na kituo cha radio cha 102.9 SWAHIBA FM kuanzia saa nne kamili asubuhi.

Unaweza Kusikiliza Matangazo ya Redio moja kwa moja kwa kubonyeza hapa na bonyeza Swahiba FM

Kuhusu Mtunzi

BLOGGER/DEVELOPER/JOURNALIST/BROADCASTER

View all posts by

Maoni 6 katika "Latest news : Press Conference kesho in shaaAllah live saa 4 asubuhi"

 1. abuu7 03/04/2016 kwa 8:58 um ·

  In sha Allah kheri. Kidini maalim seif sharif hamad is the president of zanzibar. Ki haram dr sheni.

 2. salali 03/04/2016 kwa 9:30 um ·

  Tutaendeleya kudai haki yetu wananchi wa Zanzibar tuloporwa tarehe 25/10/2015 na serikali ya Kikwete & Pombe kwa kuwatumiya Jechi pamoja na Jecha ,Tunawaomba viongozi wa CUF na wanachama pamoja na wapenzi wa Zanzibar popote pale walipo tuitishe tena maandamano Tanganyika & Zanzibar na Dunia mzima kwa ujumla kuishindikiza serikali ya Tanganyika kuacha kuitawala Zanzibar kimabavu. Na tuwapongeze wafadhili walochukizwa kwa uharamiya wa kubaka demokrasi Zanzibar.

 3. Piga nikupige 03/04/2016 kwa 10:45 um ·

  Nawashauri viongozi wa CUF dua ni muhimu, katika hiyo mipango ya kudai haki naomba zisomwe dua zitakazo washirikisha wote walio dhulumu na sio kuchagua mashekhe maalum pia suala la funga liwep[o kwa kila mwananchi anaetaka kumshitakia M/Mungu juu ya udhalim tulio fanyiwa na DicSheni pamoja na kaumu yake.

 4. bokoboko 04/04/2016 kwa 12:29 mu ·

  NASEMA HIVI KAMA CUF WASIJE KUKAA NA CCM KWA NJIA YOYOTE ILE KUTUFANYIA UJANJA HAO WASHENZI KAMA WATATAKA MAZUNGUMZO LAZIMA MATAIFA YAINGIE KATI NA LAZIMA WASHINIKIZE UCHAGUZI URUDIWE PAWE NA SERIKALI YA MPITO KWANZA MAANA WATAJIDAI KUMUITA MAALIM SEIF KIJANJA MAMBO YAKIWAZIDI HAO WSHENZI NA CUF WASIKUBALI KATU KAMA ANATAKA KWENDA BASI MABALOZI NA WATU WENYE HESHIMA WASHIRIKISHWE HAKUNA TENA SIRI MARA HII TUMECHOKA UJINGA WA CCM NINA UHAKIKA SERIKALI HAIWEZI KWENDA MARA HII MWEZI HAUJAMALIZA WANAANZA KULIZANA SISI TUNASEMA ALUTA CONTINUA ,,,, HAKI SAWA KWA WOTE

Comments are now closed for this article.