Kuhusu hati ya muungano.

Written by  //  14/12/2016  //  Habari  //  Maoni 8

Kumekuwa na hati ya muungano ambayo inasambazwa katika mitandao ya kijamii, hii hapa, halafu naomba muangalie hii video vizuri, hati iliyo tolewa na serikali, utaiyona saini ya karume, wakati hati original hakuna sahihi. IMG-20161212-WA0017

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 8 katika "Kuhusu hati ya muungano."

 1. Asili haipotei 14/12/2016 kwa 4:42 um ·

  duhh hawa jamaa wezi wala hawaoni vibaya kuwaibia wazanzibari hati mpya km ivo yataisha tu haya one day halaf huyu mpumbavu anasema watu wataendelea namambo yamsingi inamaana kuitawala nchi yawatu nakuiba utaifa wa watu co jambo lamsngi kitaeleweka tu one day in shaa Allah

 2. abuu7 14/12/2016 kwa 5:09 um ·

  wewe usipate tabu .kutafuta makaratasi halafu mkayamwagiliya chai kavu.ili karatasi iyonekane ya zamani. yanii yote haya. hebu jaribuni kuwauliza wa zanzibari mnauta au hamuutaki basi bila ya muda utapata hati kamili haina haja kukumbatiya makaratasi machafu.
  nyi

 3. makame silima 14/12/2016 kwa 5:30 um ·

  Ukweli haudanganyiki na wala haubadiliki hawa watu ujambazi umo ndani ya mishipa yao watawadanganya kuku na ngombe lakini si wananchi wa Zanzibar ,basi tuone basi wawadanganye na Waengereza awalio ikalia Zanzibar kipindi chode hicho ?

  Wataimbuka tu hawa tena wataimbuka vibaya kwa froud zao zakununi mambo ili tu waitawale Zanzibar kimabavu.

  Tunawasubori jumuia za kimataifa ikiwemo UN kutupa jibu la wazanzibar kuhusu Zanzibar na haki za wazanzibar ?

 4. Abdul Zakinthos 14/12/2016 kwa 10:03 um ·

  kabla kujadili hati, jiulize, Kiongozi gani wa Zanzibar na Watanganyika aliwahi kuiona? mara ngapi marais wa Zanzibar NA Mawaziri waliulizwa na wakasema hawajawahi kuiona.

  Msekwa aliulizwa akasema hajawahi kuiona ililetwa barazani kama sheria kuwa ipitishwe lakini haijaletwa hati.

  Umoja wa mataifa haijapelekwa hati nao wamethibitisha sasa eti OMBENI SEFUE Ndio peke yake kaiona hiyo hati.

  Wa kwanza kushitakiwa awe ni huyu OMBENI kisha Kikwete kwa kuwadanganya Wazanzibari

 5. Abdul Zakinthos 14/12/2016 kwa 10:13 um ·

  sku izi kuna mashine za mionzi ikiangaliwa tu itajulikana muda gani wala wasijidanganye, na pia hata kama iwe ndio, still ni batili kwa maana haijapitishwa na baraza la Mapinduzi na walioko hai ZNZ wamethibitisha hilo

 6. Feisal Amour 15/12/2016 kwa 4:33 mu ·

  Tupo macho na tunaijuwa kama haipo.

 7. MAWENI 15/12/2016 kwa 12:26 um ·

  Kwanini iwe Confedendtial na jambo lilo husu umma na nchi yao. Kwenye kitendo kilo salimisha kili muhimili wa dola yake kwa nchi nyengine. Hiyo ni dalili ya uwovu wa kitendo hicho.
  2- Hiyo saini ya huyo mjanjanja , Nyerere ,mbona ya kutendenezwa na wino ni wa karibuni.
  3- Saini ya karume mbona haiyoneokani. Au wameshindwa kumpata wa kufoji ?
  4-Hilo sharti la ( viii) la makubaliano la huu unoitwa muungano halija tekelezwa mpaka hii leo upande wa Zanzibar. Hao wana jiita wansheri na wana siasa wana taka uthibitisho gani tena ya kuwa Wzanziibari hawa utaki muungano huu?.
  Serikali ya Wa tawala wa Tanganyika wanao ikaliya Zanzibar kikokloni wanajuwa kuwa Wazanzibari wana haki kuhoji muungano huu. Kubadilisha makubalano yake hata kuukataa moja kwa moja
  5- kukaa kwa zaidi mika khamsini halafu ndio kudhirihisha waraka kama huwo. Tuseme walikuwa hawajuii uko wapi au wakingoja generation yote iliko wakati huwo iwe ishamalizika kwa upande hasa upande wa Zanzibar?
  Allah ampe umri mrefu na afya njema . Ameeen! Salum Said Rashid alie kuwa katibu mkuu wa mwanzo wa Baraza la mapinduzi Zanzibar. Amesema na kuthibitisha suala la kuidhinisha au retification ya hizo article zinazo itwa za Muungano hazija wahi kuletwa kwenye kikao cha Baraza la mapinduzi . Kuanzia wakati huwo mpaka leo hilo halija tokeya.
  KWA NINI HAWA JAMAA WANA HANGAIKA SANA ?
  Tatizo hili ni rahisi kulitatuwa. Kwa taratibu zilo kubalika kimataifa na shariya za kilimwengu.
  LA MSINGI NI KUWAACHILIYA WA ZANZIBARI WA AMUWE MUSTAKBALI WAO NA NCHI YAO.
  NI HAKI YA KIMSINGI HAKI ZA BINA ADAMU.
  IYITISHWE JURA YA MAONI ITAYO SIMAMIWA NA TAASIS ZA KIMATAIFA ; UN, COMMONWEALTH , EU NA KADHALIK.
  WAISIMAMIE FROM A to Z.
  Katika refrundum hiyo Wazanzibari waulizwe .Kwani, malalamiko ya dhulma hii iko zaidi upande Wzanzibar. MUUNGANO HUU NA TANGANYIKA WANAUTAKA AU LAA. NA IKIWA WANA UTAKA NI WA AINA GANI. HUWO NDIO UWAMUZI WA HIKMA NA KISTAARABU.
  MSIUBABAISHE UMMA KULETA NYARAKA HII AU ILE.
  ZANZIBAR KWANZA !

 8. mpemba halisi 15/12/2016 kwa 7:24 um ·

  @maweni umenidaka.
  1)kwanza angalieni kwa makini kalamu rangi blue imetumika katika saini ya kafiri nyerer na katika kuandikia mwezi wa upande wa kafiri huyo.wino huo huo wa blue ukatumika kuandikia tarehe upande wa karume.na hati ni za mkono ambazo zilitumika kuandika mwezi.jee type writer haikuweza kuandika mwezi mpaka uandikwe kwa mkono?
  2)nyerere alitumia peni blue ambayo muonekano wake si wa kawaida namaanisha ni wa karibuni kabisa.upande wa karume ni mweusi istoshe weusi wake ni kopy.mfano ukienda kutafuta passport tanzania unachukuliwa finger print katika a4 paper na unatia saini katika karatasi hiyo.inapokuja passport yako unakuta finger print ipo na saini yako pia ipo katika passport.jee ni kifaa gani kinachotumika kuhamishia saini yako katika a4 paper na kukaa katika passport.hii namasnisha kwa saini ya karume imechukuliwa sehemu na kubandikwa kama saini ya passport.jambo zuri zairi wameshindwa kuweka rangi blue katika saini ya karume na kukaa nyeusi.inawezekana walifanya mbio mbio.
  3)sefue anasema watatoa kopy ikae makumbusho.nakumbuka nilikwenda makumbusho zanzibar nikafanya mahojiano wa watumishi wakaniambia wanahifadhi nyaraka ambazo zimefikia miaka thalathini jee hii hati ilikua haijafikia?wakati nyaraka za babu yangu ambazo si muhimu nilizikuta.
  watanganyika musijidanganye bure muda wenu umekwisha.

Comments are now closed for this article.