Rais wa Tanganyika au Tanzania?

Written by  //  05/11/2015  //  Kitaifa, Ujumbe maalum, Habari-Picha  //  Maoni 6

151105124056_magufuli_640x360_bbc_nocredit

Mh.Magufuli leo wakati anaelekea kuapishwa ,alibeba Ngao kubwa na mkuki,pia Siku moja kabla kuapishwa,alionekana anawapokea wachungaji wa kikristo maarufu wakitokea Nigeria,ili kuhudhuria tafrija hiyo.

Katika vipaumbele vyake,ikiwemo skuli bure kutoka Nursery hadi Form 4,Ajira kwa vijana,kufufua viwanda mikoani,mahakama ya rushwa n.k hakugusia kabisa suala la katiba mpya au matatizo ya ZANZIBAR.

Hapa tunapata suala au masuala yafuatayo:
Je,waziri mkuu atatoka Zanzibar?
Je,Spika wa bunge atatoka Zanzibar?
Je,Katiba ataipitisha kwa lazima?
Je, mawaziri watakuwa wepya au wale wale?
Je, atatatua mgogoro wa Zanzibar?
Je, kutakuwa na mabalozi na mawaziri kutoka Zanzibar wangapi?
Je,Huyu ni Rais wa Tanzania au Tanganyika?

Akii kichwani mwako

Kuhusu Mtunzi

Teesside University.

View all posts by

Maoni 6 katika "Rais wa Tanganyika au Tanzania?"

 1. zanzibarmyhome 06/11/2015 kwa 9:11 mu ·

  Hili la kualika na kupokea wachungaji wa Nigeria limeniacha hoi…hili peke yake linatupa picha juu ya uwezo wake na uoni wake…
  Hawa wachungaji wanao jidai kufufua watu na kuponesha cancer na ukimwi ndio wamekua role model na ni mtu wa kwanza kupokelewa na yeye mwenyewe…
  Uongozi sio masihara haya kazi wanayo wabongo

 2. znznkwetu 06/11/2015 kwa 9:56 mu ·

  Kumualika huyo mchungaji ni kielelezo tosha serikali ni ya kikiristo

 3. HALIKUNIKI 06/11/2015 kwa 12:04 um ·

  TANGANYIKA + ZANZIBAR = TANZANIA
  -ZANZIBAR + TANGANYIKA = TANGANYIKA.

 4. moyo 06/11/2015 kwa 1:26 um ·

  Kwani huyu kaapishwa au kaapizwa?
  Sijawahi kuona Zanzibar wala Tanganyika raisi kuapishwa bali maraisi wote wa Tanzania huapizwa.

  Unapomshuhudisha Allaah katika uongo huwa unajiangamiza, na hawa maraisi wetu wote huapa kuwa watalinda katiba na wataheshimu utawala wa sheria na watatenda haki kwa kila raia bila kujali dini kabila n.k, haya yote wanayoyaapia hawayatekelezi, tukitazama sheni hivi sasa anaongoza kinyume na matakwa ya sheria na katiba, hivi sasa mashekh wetu wapo ndani zaidi ya miaka mitatu kinyume na sheria, ni kwa sababu ya dini yao tu.

  kwa hio hawa viongozi huapa na wakamshuhudisha Allaah huku wakijua kuwa wayasemayo ni uongo,na yoyote anaemshuhudisha Allah katika uongo huwa anajiangamiza, na ndio maana nikasema hawa hawaapishi WANAAPIZWA na wao wenyewe wakijiapiza.

 5. guzal 06/11/2015 kwa 5:01 um ·

  Magufuli kumamayooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

  laanatullah

 6. bokoboko 06/11/2015 kwa 8:11 um ·

  MIMI NAOMBA ALOKUWA NAYO MAJINA WA WABUNGE WA ZANZIBAR WOTE AWATIE HAPA NAONA HATA AKILINI HAIINGII KABISA MAANA SIJASIKIA WABUNGE WETU NA HUYO ANAYEJIITA RAIS WA TANZANIA KAUPATA WAPI URAIS? MIMI NASEMA NI RAIS WA TANGANYIKA SIO WA TANZANIA IKIWA HAKUNA WABUNGE WA ZANZIBAR, HATA SIJUI ITAKUWAJE MWAKA HUU BUNGENI AU NAONA LABDA WABUNGE WATAKUWA WALE WALE WA ZAMANI KICHEKESHO CHA KWELI KWELI WANAFANYA WATU WAJINGA, WAPUMBAVU NA HAWANA AKILI KWELI HATUKUSOMA LAKINI MUNGU HAKUTUNYIMA AKILI YA KUFIKIRI NA KUAMUA NI TUNATAKA WAZANZIBAR, WAJUE USTAHAMILIVU UNA MWISHO WAKE KUNA SIKU KUNA SIKU WATAONDOKA INSHA ALLAH

Comments are now closed for this article.