Al Bashir: Sudan haitaanzisha uhusiano na Israel ‘ Zanzibar inaikumbatia Israel

Written by  //  23/09/2013  //  Kitaifa  //  Maoni 4

Rais wa Sudan ametangaza kuwa nchi yake kamwe haitakuwa na mahusiano na utawala haramu wa Kizayuni. Rais Omar al Bashir amesema kuwa Sudan haitaanzisha uhusiano na Israel kwa hali yoyote ile.

Rais huyo amesema Marekani na nchi nyingine nyingi zinaiwekea mashinikizo nchi yake ili ianzishe uhusiano na utawala wa Kizayuni, lakini akasisitiza kuwa Khartoum haitasalimu amri mbele ya mashinikizo hayo. Ameongeza kuwa nchi hizo zinasema kuwa zitaisaidia Sudan kumaliza mgogoro wake wa kiuchumi iwapo itaanzisha uhusiano na Israel, lakini akasema kwamba wananchi wa Sudan hawahitaji msaada wa aina hiyo.

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni 4 katika "Al Bashir: Sudan haitaanzisha uhusiano na Israel ‘ Zanzibar inaikumbatia Israel"

 1. chucky 23/09/2013 kwa 9:33 um ·

  Upumbavu utupu! Sisi hats SI nchi enotambulikana duniyani lakini wakanza kutafuta maadui. Yani kama Zanzibar ilikuwa huru alafu tukanzgumza mambo ya kushirikiyana na Israel ilikuwa itakuwa angalau maneno hayo yana thamani

  lakini nchi gains uhuru alafu tunakuja kuumpa mkoloni sababu yakusema “wazanzibari ni anti-semetic people niye mnatetea adui wenu sisi ni rafiki wenu”

  ukoloni huu unesaidiwa bcuz of poor international relations toka enzi ya abdurhaman babu, na uamsho na sasa kujingiza kwenye vitu Haiti husu.

 2. MAWENI 23/09/2013 kwa 10:02 um ·

  Mwaka 1948 Taifa la Israel lilpo buniwa kwa nguvu za dola za maghatibi hasa UK, wafalastina walitimuliwa kwenye ardhi zao na majumba yao. Wazanzibari kwa imani yao ya kidini wali chukia jambo hilo. Waziri mkuu wa Israel siku hizo Goldameir alikuja tembea Zanzibar akafanyiwa maadamano na wazazanzibari kufunga vitambaa veusi kwenye mikokono kunesha solidariti yao juu ya msiba ulow afika waislamu wenzao huko Falastiin. Hapo ndipo Zanzibar ilipo tiwa Tag.
  Zilipo anza sisa za kudai uhuru kutoka kwa wakoloni wa kingreza na kuanzishwa vyama , Israel ikawa ina kisaidia chama ASP. Siasa zao hao mabwana wakizikubali. Uhuru zuiya!
  Kwa hivyo ni uhusiano wa kale.
  Juu ya hivyo ikiwa hao viongozi wa sasa hapa Zanzibar wana uchungu na nchi yao na wanataka Zanzibar kurejesha uhuru wake na mamlaka yake kamili ; hiyo hiyo Israel itawasaidia sana kimataifa.
  Lazima tujifunze kutumia mahusiano ya kimatafa kwa maslahi ya taifa letu sio venginevyo.

 3. mzaliwa 24/09/2013 kwa 11:01 um ·

  Naona hadisi za paukwa pakawa,zanzibar bila dodoma hina uamuzi sasa inakuaje kwenye majangwa ndio munaitumbukiza,kwanini ikumbatie israil na utoke umoja wa kislamu, inaleta picha lakini hii!!!

Comments are now closed for this article.