Kilimanjaro 3 imesimama mkondoni

Written by  //  16/05/2013  //  Habari  //  Maoni 8

meli ya kilimanjaro 3 ikiwa iko safarini kutoka dar es salam kuelekea zanzibar imesimama mkondoni ikikhofiwa kwamba imepata tatizo la kunaswa na nyavu kwenye propela.

 

maafisa wa boti tayari wameshatangaza na wamo katika jitihada za kutatua tatizo. wametangaza kwamba watajaribu kwenda mbele na nyuma kuona kwamba inatatuka.

sio mbali sana kutoka bandarini dar es salam. tokea kuanza safari yake imekuwa ikiendaa mwendo wa pole. hata hivyo haijaonyesha tatizo la engini kwani haijazimika wala haikubadili mvumo. inawezq kutembea kwa mzungo

Kuhusu Mtunzi

View all posts by

Maoni yamefungwa.